Search results

  1. N

    Asante mh. Mbowe kwa kuliona hili,huu mkoa umefanywa shamba la bibi.

    Elewa nini kinazungumzwa, mbona kwenye migodi wananchi waliozunguka wanafaidi mrejesho japo ni kidogo sana, cha mlima kiko wapi??
  2. N

    Mheshimiwa Ndesamburo mbunge wa Moshi Mjini,tunaomba utusikie wana CHADEMA

    Wazo la CDM kuwa na Redio au Tv ni zuri, lakini kinachotakiwa ni umakini wa hali ya juu, kinatakiwa chombo ambacho hakitabase upande wowote ule kiwe kinatoa habari na sio ushabiki kama gazeti la Uhuru na TBCCM, kiwe ni kwa ajili ya Watanzania wote, na kuweza kukosolewa pale itakapohitajika...
  3. N

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

    Je waliokosa dawa iweje hukumu yao tumia akili sio mkumbo.Hakuna dawa wala vipimo.
  4. N

    Revealed: Kumbe JK na madaktari Ikulu waliongea haya...

    Madokta ni wasomi, wana hekima vilevile, never argue with a fool people might not notice the difference, ujumbe umefika wananchi wanapoamua inawezekana, hongereni :hand:
Back
Top Bottom