Search results

  1. A

    Waliopinga Ushindi wa Lema Mahakamani Arusha wajiunga CHADEMA

    Makada wa CCM watatu (3) waliopinga Mahakamani matokeo ya Ubunge wa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA), mmoja wao Happy Kivuyo akiwa na wenzake 7, jana katika mkutano wa hadhara wa mgombea udiwani kata ya Osunyai Jirusha jini Arusha wametangaza kuhihama chama hicho na kujiunga na...
  2. A

    BAKWATA yakerwa na lugha za matusi

    BARAZA la waislamu {Bakwata}wilaya ya Arumeru mkoani Arusha wamewaonya wanasiasa kuacha kutumika kutoa matamkoa anayoweza kuleta machafuko nchini. Kiongozi wa Bakwata wilayani humo,Sheikh Haruna Husen alitoa Tamko hilo mbele ya viongozi wa dini hiyo katika msikiti wa mji Mwema ,Usa River...
  3. A

    Mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite apanda kizimbani kwa utapeli ,atupwa magereza

    Mfanyabiashara maarufu wa Madini ya Tanzanite mkazi wa jijini Arusha,Eliakimu Daud Molle(45),amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha akikabiliwa na shitaka la kufanya utapeli na kujipatia madini ya thamani ya shilingi milioni 15 kwa njia ya udanganyifu. Ilidaiwa...
  4. A

    Mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite apanda kizimbani kwa utapeli ,atupwa magereza

    Mfanyabiashara maarufu wa Madini ya Tanzanite mkazi wa jijini Arusha,Eliakimu Daud Molle(45),amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha akikabiliwa na shitaka la kufanya utapeli na kujipatia madini ya thamani ya shilingi milioni 15 kwa njia ya udanganyifu. Ilidaiwa kuwa...
  5. A

    CCM Arusha yampigia magoti mfanyabiashara Thomasi Munis, Mbio za Ubunge

    CHAMA cha Mapinduzi ccm jimbo la Arusha,,kimeanza mchakato wa kusaka mgombea ubunge kijana atakayechuana na mbunge wa sasa godbless Lema. Aidha tayari mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite Thomas Munis, anatajwa katika kinyang'anyiro hicho baada kuonekana walioonyesha nia hadi sasa ni wazee na...
  6. A

    CCM Arusha yampigia magoti mfanyabiashara Thomasi Munis, Mbio za Ubunge

    CHAMA cha Mapinduzi ccm jimbo la Arusha mjini ,kimeanza mchakato wa kusaka mgombea ubunge kijana mwenye uwezo wa kuchuana na mbunge wa sasa Godbles Lema,,baada ya kubainika kuwa kuwa walioonyesha nia hadi sasa hakuna mwenye mvuto wa kumng'oa waliooneysha nia hadi sasa niwazee. Taarifa...
  7. A

    Mchuano ubunge Arusha ni Kim, Munisi na Lema, Monaban hana nafasi

    Kuna taarifa na mpango wa chini chini unaofanywa na makada wa ccm kumwomba mfanyabiashara kijana wa madini Thomas Munis kugombea Ubunge ,baada ya kuonekana kada Philemon Molle aliyejitokeza ni mzee na hawezi kumwangusha Lema.
  8. A

    CCM Arusha yataka mgombea ubunge kijana wa kuchuana na Lema

    Chama cha mapinduzi, CCM, jimbo la Arusha, kimeanza mchakato wa kusaka mgombea ubunge kijana mwenye mvuto na ushawishi kwa wananchi ili kulikomboa jimbo la Arusha mjini, na tayari mfanyabiashara wa madini, Thomas Weraufoo Munis ameanza kutajwa katika kinyanga'anyiro hicho.
  9. A

    Kamati Kuu kukata jina la Lowassa

    Taarifa za ndani toka cc ya ccm, zinadai kuwa Lowasa hata akifurukuta vipi kwa sasa ccm haiwezi kumpitisha kutokana na masuala mbalimbali yanayomkabili.habari za ndani zimedokeza kwamba jina lake litakatwa mapema kabla halijaingia kwenye uchaguzi wa wajumbe,ambako anadaiwa kuwa na nguvu ya zaidi...
  10. A

    Lowassa kuwa rais sawa, lakini kwanini anahonga?

    TEAM Lowasa inafanya kila njia kuhakikisha inaungwa mkono kila sekta,kwa sasa Team hiyo imewaweka mfukoni baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari na waan dishi wao ili taarifa zake ziweze kutoka kwenye magazeti hayo bila kugugumizi tena kwa uzito wa aina yake huku taarifa mbaya isipewe...
  11. A

    Kimenuka: Rugemalira kutiwa nguvuni ndani ya siku tatu

    haya sasa kazi hiyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
  12. A

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Pamoja na mbunge wao Mrema kuwapigania watu wa mji wa Himo wamekosa shukrani,wamemsaliti mbunge wao na kukimbilia vyama vingine kikiwemo cha mapinduzi ,kwa mantiki hiyo, TLP Himo ni kama imefutika .
  13. A

    Waziri Nyalandu umewakosea nini wamiliki wa gazeti Jamhuri?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa kila toleo la gazeti Jamhuri lakini kwa takribani matoleo zaidi ya kumi ya gazeti hilo yamemkosoa waziri Nyalandu kwa kumshambulia ,hivi hakuna habari zingine za kuzifuatilia ispokuwa ya Nyalandu?
  14. A

    Mwandishi TV1 Arusha anaongoza kwa kuomba pesa kwa viongozi

    Mwandishi Jeny Edward anayeripoti kituo cha TVI hapa arusha amegeuka mwiba kwa viongozi wa ngazi mbalimbali serikalini wakiwemo mawaziri,kwa kuwakwida wampatie fedha huku akitumia kivuli cha kuwafanyia mahojiano( interview). Mfano halisi ni juzi waziri mkuu ,Mizengo Pinda alipokuwa kwenye...
  15. A

    Mwandishi TV1 Arusha anaongoza kwa kuomba pesa kwa viongozi

    Mwandishi Jeny Edward anayeripoti kituo cha TVI hapa Arusha amegeuka mwiba kwa viongozi wa ngazi mbalimbali serikalini wakiwemo mawaziri,kwa kuwakwida wampatie fedha wanapokuwa kwenye ziara mbalimbali za kikazi huku akitumia kivuli cha kuwafanyia interview. Mfano halisi ni juzi waziri...
  16. A

    Nabii Geor Davie asababisha ndoa kuvunjika

    Nabii maarufu wa kanisa la ngurumo ya upako,Geor Davie amevunja ndoa ya msaidizi wake baada ya kumppora mke wake. Wiki hii mahakama ya Arusha imethibitisha pasipo shaka kuwa Nabii huyo alikuwa akizini naambaye alikuwa mke wa msaidizi wake. hivyo ilikubali kuvunjika kwa ndoa hiyo .
  17. A

    Kiwanda cha vyandarua cha A TO Z Arusshachakithiri kwa mauaji ya wafanyakazi wake.

    serikali imeombwa kukifungia kiwanda cha kutengeneza vyandarua cha A to Z kilichopo kisongo ,Arusha kufuatia kufururiza wa matukio ya kuuawa kwa wafanyakazi wake kwani tangu kuanza kwa mwaka huu wafanyakazi takribani watano wamefariki dunia katika mazingira tata. KIWANDA hicho kimeingia katika...
  18. A

    Halmashauri ya jiji la Arusha yabomoa kanisa lililokuwa likipiga kelele

    Askari wa jiji zaidi ya 10 wamebomoa kanisa la kiroho la Israël mkombozi la Nabii Ernest katika eneo la Njiro lililokuwa likilalamikiwa kwa kufanya maombi nyakati za usiku n'a kupiga kelele kwa wakazi jirani n'a kanisa hilo.waumini walia kwa sauti kubwa n'a kujitupa ovyo wengine wamwaga maombi...
  19. A

    Jiji la Arusha kuhamisha makaburi ya stand kuu ya mabasi

    Mkurugenzi wa jiji la Arusha ,Rashird Juma Idd ametangaza kuondoa makaburi zaidi ya 2500 yaliyopo katikati ya jiji la Arusha. Alisema hakutakuwepo na fidia kwa ndugu wa marehemu ila watapewa kifuta machozi cha kawaida.
  20. A

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Mji huwa haukui ila kiumbe hai ndo huwa kina kua,sema unahitaji mabadiliko ya aina gani hapa Moshi, kwanza badilisha hapo kwako then tupia lawama kwa mwenzio,moshi ni yetu na kiLa kitu tunachokihitaji tunapata .
Back
Top Bottom