Nashukuru kwa taarifa@mkombozi, unaweza kufahamu gharama zake kwa muhimbili na kinapatikana kitego gani; muhimbili unaweza kwenda bila kupewa rufaa? Nitashukuru kama una taarifa zaidi.
Wanajamii, ikiwa kama kuna mtu anafahamu sehemu ambayo naweza kupata kipimo kizuri cha uchunguzi wa Tumbo au Vidonda vya Tumbo. Naomba anifahamishe, inaweza kuwa Dar au nje ya Dar.
Nasikia kuna kipimo unaingizwa mrija ambayo unakuwa na kamera na kufanya uchunguzi wa Tumbo hasa kunapokuwa na...
Tecno wako poa sana, nimetumia galaxy s nikiwa na techno n5; kwa kweli samsung wanazidi kwenye camera, lakini tecno wanazidi kwenye uwezo wa batry japokuwa zote zinatumia os android. Kwa kweli samsung galaxy s inaboa sana kwenye charge.
Nampongeza Magufuli kwa kauli hii, watza tunapenda super profit na hatuendeshi biashara kitaaluma; walipaswa kutafuta njia mpadala ya kupunguza operation cost, kusafirisha mzigo kuna midle mans zaidi ya watatu, kukata tiketi ya basi ndio usiseme yaani basi la kwenda morogoro kwa nauli ya sh 5000...
Hata nami nimebahatika kusoma kitabu cha Da-Vinci Code na mwisho ana-conclude kwa tahadhari kwamba kila mtu anuhuru wa kufikiri au kuchambua zaidi katika jambo lolote; uchambuzi wake umebase kwenye mambo ya kufikirika zaidi.
Rafiki yangu ni mwajiriwa wa serikali na elimu yake ni Degree ya pili (masters). Kipato chake ni kama mil. 1.5 kwa mwezi. Wanaishi maisha ya kawaida ya mtanzania mwenye kipato cha kati, kwani wana gari 1 aina ya Verossa kwa ajili ya usafiri na wanaishi kwenye nyumba ya kupanga hapa mjini Arusha...
Mkuu MAKINYA kweli kabisa jeshi letu la polisi halina msaada sana kwa wananchi kwa sasa, unaweza kupata namba za ofisi za sumatra hapa http://www.sumatra.or.tz/index.php/contact-us/list-of-addresses
Nilifanikiwa kuwasilina na SUMATRA - MBEYA na wametoa ushirikiano wa hali ya juu, kwani waliwasiliana na Manager wa HOOD - Mbeya naye alichukua uamuzi wa kunitafuta ambapo kwa sasa nilisharudi Dodoma, alitaka kufahamu kilichojiri na baadae aliniomba msamaha na kuwa tayari kunirejeshea gharama...
Nasikitika kwamba mpaka siku naondoka Mbeya, tarehe 09.08.13 polisi hawajafanikiwa kuwasiliana nami kama walivyahidi; siku moja kabla ya kuondoka nilikwenda kituoni na kuuliza juu ya kinachoendelea na askari aliyepo hapo alinitaka kuwasiliana na OSS, niliwasilina nae na kunieleza kwamba nimpe...
Nakushukuru Mkoroshokigoli, nitatuma email hood; bali nashindwa kuelewa kwanini kwa muda mrefu tunashindwa kupata kampuni la usafirishaji lenye huduma za uhakika na endelevu; kwani makampuni mengi hutoa huduma nzuri kwa muda mfupi haswa mabasi yanapokuwa mapya.
YAH: UNYANYASAJI WA ABIRIA
Nimekuwa nikisafiri na mabasi yaendao mikoani na mara kwa mara nimekuwa nikishuhudia unyanyasaji wa abiria kwa namna moja au nyingine kutoka kwa wahudumu wa mabasi hayo, pamoja na lugha chafu; kwa sasa kumekuwa na tabia kwamba makondakta ndiyo wenye mamlaka juu ya...
OBAMA kaona fursa.......!!!, sasa ubuyu utaanza kupelekwa USA halafu yataletwa mafuta TZ.....!!!?
Aliyetuloga.....alishakufa....!!!?, wanasayansi au wataalamu wetu huona madhara katika bidhaa za ndani tu...? Hakuna kitu kisichokuwa na madhara....., bali katika kuleta maendeleo, wataalamu...
Watanzania wanavyokosa haki zao kwa kutokujua sheria na wewe unasema ni mwanasheria, umeweza vipi kutumia taaluma yako katika kuwasaidia watanzania. Tatizo wengi hutanguliza maslahi yao kwanza, ndio maana unazunguka au unakaa bila kazi. Huwa nashindwa kuelewa mtu anaposema hana kazi ndani ya...
Kero za muda mrefu ndani ya ndoa, ambazo zimekosa suluhisho husababisha hili; kuna wanawake huwa hawajali na kujihesabia haki, hivyo hata mume anaposhauri au kueleza jambo kama ni kero huwa hawajali; mwisho wake wanaume wengi sio wepesi wa kuongea mara kwa mara na badala yake anabaki kuishi...
USIJARIBU IKIWA UNA MALENGO YA KUENDELEA NA MASOMO (KUPATA DEGREE)
Binafsi nilichukua uamuzi kama unaotaka wewe kuchukua mwaka 1999, japokuwa sikupata marks nzuri za kunifanya kupata nafasi ya kidato cha 5 kwa shule za serikali (wakati huo) mzazi wangu alikuwa tayari kunipeleka private school...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.