Search results

  1. I

    Mtoto wa Wassira ajiunga Chadema

    ww unaesema CDM wanaokoteza huna akili. ww CCM walikuokota???
  2. I

    Zitto na Wabunge, Zitto na CHADEMA, Zitto na Urais...

    Mmesahau Kaburou??? Yuko wapi leo??
  3. I

    Adhabu kwa waliopinga matokeo ya Lema Mahakamani

    Mbali na kuwazomea adhabu nzuri zaidi kuwapa kura sifuri pale uchaguzi wowote utakapofanyika! Tuhamasishane nchi nzima watu tuwe na mwamko kama wa Arumeru. Pesa zao za kifisadi tuzile maana ni zetu; lakini kura tusiwape!!!!
  4. I

    Je ni Mapambano gani anayoyazungumzia Lowassa?

    Whether fit or unfit, capable or uncapable; yeye na genge lake lote la Mafisi hadi... hawafai. Richimond-Dowans-Symbion; RADA; EPA; MADINI; WANYAMAPORI;... leo tuko gizani!!! Watanzania bado mnaseme wanafaaa; Kweli sisi WADANGANYIKA
  5. I

    Lissu ni lazima ujibu tuhuma-mahakama

    Usikasirike!! Watanzania wengi ni wavivu kufikiri; kusoma; na kusimamia haki zao. Hii huwa ni sera ya makusudi ya ..M kuwajaza waDANGANYIKA ujinga ili waendelee kutawala daima. Shule za kata zintoe elimu au zinajaza wnafunzi ujinga??? Amkeni WaDanganyika. Oneni Wazenji Milioni moja wana Wabunge...
  6. I

    Waliompora Malima Morogoro wanaswa, vitu vyapatikana.....

    Tuliangalie kwa jicho tofauti! Mbona watu wengi tu wanaibiwa na hakuna kinachopatikana? Ina maana polisi hufanya kazi nzuri akiibiwa "kigogo" tu?? inatia shaka sana!!!!! Kuna jambo hapa.
  7. I

    Serikali funga kampuni ya tigo

    Inaudhi kuita mawazo ya mtu mwingine ukenge wakati ya kwako yaweza kuwa ukenge zaidi!!!!
Back
Top Bottom