Search results

  1. M

    Maxmalipo msaada jamani

    Naomba kwa mtu anayefahamu ofisi inayohusika na uwakala wa maxmalipo anielekeze ili niombe kuwa wakala wa maxmalipo. Ajira zenyewe ndio hizo, ni vizuri nijiajiri wenzangu. PIA NAOMBA MSAADA WA NAMNA YA KUWA WAKALA WA KUUZA MITUNGI YA GESI YA KUPIKIA YA SONGASI NA ORYX NIPO ARUSHA PLEASE!
  2. M

    Je kua Mtanzania mwenye damu ya Kitusi ni dhambi au kosa la jinai?

    KAULI YA KIKWETE YA KUWAKAMATA WAHAMIAJI HARAMU NI SAHIHI, LAKINI SHIDA INAKUJA PALE WATUSI WOTE WANAPOONEKANA NI AMA WARUNDI AU NI WANYARWANDA. HII INANIUMIZA SANA KWAKUWA UNYANYASAJI HUU WA HII JAMII YA WATANZANIA WENYE ASILI YA KITUTSI.kwa wasiofahamu karibu nusu ya wapiga kura wa mh Zoto...
  3. M

    Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    watusi hawako rwanda tuu! Nenda Kigoma, karagwe,na kwinginepo utawakuta na watanzania kuliko wewe! ACHA UKABILA WEWE! WATUSI NI BABU KUBWA> USIRUDIE KULETA UKABILA HAPA.
  4. M

    Hali ya kisiasa mkoani Kigoma

    acheni kuongea polojo, mpaka leo hon.zitto anakubalika kigoma, watu wanasafiri toka vijiji vya mwamgongo mpaka kalinzi kumsikia zitto anapokuwa na mikutano!!!!!! Mtasema sana, mara kigoma ni wakimbizi,mara wakongo!! Zitto ni kichwa mtachemka sanaaaaa!
  5. M

    Mashamba ya maua chanzo cha ukosefu wa mvu jimbo la Nasari

    Nimepata sikia wananchi wakilalamika kuwa wamiliki wa mashamba ya maua wanaoendesha shughuli hizo katika maeneo ya Usa River,Majani ya Chai na maeneo mbalimbali ya wilaya hii, kuwa ni chanzo cha ukosefu wa mvua. Wamiliki hawa wanatuhumiwa kuwa na technologia ya kusambaratisha wingu linalotanda...
  6. M

    Mwalimu akutwa mtupu shuleni Lindi

    WANA JF HII IMEKAJE? MWALIMU Mkuu wa Shule ya Msingi Rutamba, Wilaya ya Lindi amekutwa akiwa na nguo za ndani pekee katika usingizi mzito kwenye kibao cha shule hiyo huku akiwa hajitambui kwa madai ya kilichomkutana kinahusishwa na imani za kishirikina. Tukio hilo limetokea juzi usiku baada ya...
  7. M

    Ni uzembe wa hazina au serikali ya JK imeshindwa kulipa mishahara?

    lakini mbunge wa meru ni cdm amesema lolote?
  8. M

    Ni uzembe wa hazina au serikali ya JK imeshindwa kulipa mishahara?

    Lakini mbunge wa meru ni cdm. Amechukua hatua gani?
  9. M

    Ni uzembe wa hazina au serikali ya JK imeshindwa kulipa mishahara?

    kama kweli wanahusika hazina, mwezi wa kumi ilitokea na mkuu wa pm akaahidi haitajirudia tena, na sasa imerudia hatua zipi zimechukuliwa kwa huo uzembe? Watu wanalala njaa na kukopakopa na waliofanya uzembe wanaendelea kupeta duuuu!!!!
  10. M

    Ni uzembe wa hazina au serikali ya JK imeshindwa kulipa mishahara?

    Inasikitisha sana kuona wafanyakazi wa serikali hasa walio chini ya halmashauri wakiwa hawajalipwa mishahara ya mwezi Novemba.sababu zinazotolewa ni kuwa wafanyakazi hawa account namba zao hazionekani na wametakiwa kuzipeleka tena kwenye ofisi ya uhasibu na kwa afisa utumishi.suala hili linaacha...
  11. M

    Africa's 100 top universities 2012

    sokoine university sijaiona!!!! Pia vigezo gani!
  12. M

    Serikali yashindwa kulipa mishara ya mwezi wa kumi

    wawaeleze watanzamia,sababu n nini? ukimya huuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!! HASIRA ZA WATU!!!!!!
  13. M

    Serikali yashindwa kulipa mishara ya mwezi wa kumi

    KWA VYOVYOTE HELA IMEENDA BUNGENI NA KULIPA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU WALIOFUNGUA MAPEMA MWEZI WA KUMI,WAFANYAKAZI ENDELEENI KULALA NJAA NA KUKOPAKOPA MITAANI,NA WENGI WENU TARAJIENI KUAMBIWA COMPUTER IMERUKA MAJINA NA KUKOSA MISHAHARA SABABU TRA WANAOSURIWA WAPELEKE MAKUSANYO YA MWEZI...
  14. M

    Mazoezi ya Viungo....(Angalia kwa makini)

    hiyo software unayotumia kuchezesha hayo mauongo, ingekuwa vema ungeitumia kufanya uzalishaji zaid!
  15. M

    Peter Serukamba: Kukataa Posho ni Unafiki

    SERUKAMBA AMECHOKA, AJIANDAE KUNG'OLEWA ALIKUWA ANABEBWA NA MAKAMBA BABU, SASA HAYUPO TENA ASIPONG'OLEWA NDANI YA CHAMA UPINZANI JIMBO WATABEBA.jianda baba mm mwenyewe nimeshatangaza nia endelea kulopoka ili unilainishie njia
  16. M

    Ajira za TANROADS: Kuna Harufu ya Ubaguzi na Upendeleo

    umri una nafasi sana hasa katika nafasi ya kufanya maamuzi na uadilifu,graduate mwenye miaka 23 si rahisi kuogopa rushwa ukilinganisha na mtu mwenye miaka 37 ambaye tayari anategemewa na familia.n uwazi kuwa hii kazi ina majaribu,na wakati mwingine sehemu za rushwa hata watu wa juu yako...
  17. M

    Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    KISA KATANGAZA MWAKANI SHULE BINAFSI ZINAPANGIWA ADA ZA KULIPISHA, MMEANZA KUMSAKAMA, MUACHENI APIGE KAZI.na wale wote wanaohofia watoto wao kufeli mtihani waform two na kurudia kidato mmeanza kujambajamba.MUACHEN JEMBE APIGW KAZI
  18. M

    PICHA: Katibu wa BAKWATA mkoa wa Arusha aliyejeruhiwa kwa BOMU

    tunakutakia afya haraka na mapema, ANAYESEMA WAISLAM HAWANA MCHANGO AKAPIMWE MILEMBE.YESU AKUPONYE HARAKA NA MAPEMA.
  19. M

    Haniridhishi jamani

    ulipaswa ushukuru ushamba wake hiyo ndio dalili kuwa ni bikra(hajafanya hayo mambo),na ww unaposema jitunze msirudie huo mchezo mpaka muoane HANA SHIDA YOYOTE ILA USHAMBA TU na ndio mwanaume mzuri.mkioana usiache kumwambia kuwa hauridhiki na hali hiyo ivo ajitahidi kuchelewa,atazoea.
Back
Top Bottom