Search results

  1. B

    Mbunge Atakayepitisha Kodi ya Uchakavu Anyimwe Kura

    Loh ila nimeshangaa kweli sijui SoNotorious aliwaza nini jamani kukwambia eti wewe used, sijui alikuona sijui anakujua dah, mambo yooooote sawa lakini used!!!!
  2. B

    Mbunge Atakayepitisha Kodi ya Uchakavu Anyimwe Kura

    Loh bibie Faiza Foxy mbona wanishukia mimi wakati nimeuliza tu!!! SoNotorious jibu la swali lako hilo hapo....
  3. B

    Mbunge Atakayepitisha Kodi ya Uchakavu Anyimwe Kura

    Eti Faiza Foxy, kuna mtu anasema hapa eti wewe ni mtumba, je ni kweli haya?? samahani kwa kuuliza.....
  4. B

    Watanzania ni wazuri katika mambo gani?

    Nimekuwa nikijiuliza swali hili muda mrefu, nikaona si vibaya nikipata mawazo toka kwa watu mbalimbali, je sisi watanzania ni mambo yapi ambayo tunaweza kujivuna au kama ni mabaya tunaweza kusema tumewazidi watu wengine afrika mashariki, kusini, au hata ulimwenguni. Mimi nitaanza A. Mazuri 1...
  5. B

    Kwako rais Kikwete

    Mkuu nambie ni kwa namna gani serikali za majimbo zinaweza hili??
  6. B

    Kwako rais Kikwete

    Tunaona na yazidi kuendelea, kwa kifupi ninaiona Tanzania yenye maendeleo makubwa ya kielimu, miundombinu, nishati na mengineyo...thanx for tips.
  7. B

    Kwako rais Kikwete

    Mkuu pengine shida ni taarifa, yapo maboresho mengi sana ambayo yamefanyika katika elimu ya msingi na sekondari, shida watu hawaoni na hata wakiona wanadharau. Shule za msingi na sekondari ni nyingi saana, zinahitaji majengo, walimu, maabara, vitabu na vitendea kazi vingine. Kuwepo kwa...
  8. B

    Kwako rais Kikwete

    Mkuu mawazo yako ni mazuri zipo jitihada nyingi tu zinafanyika kuboresha mazingira ya kazi ili walimu wafundishe kwa moyo, ni kweli yapo makosa ambayo tumeyafanya kama nchi ambayo matokeo yake ndio haya tunayoyaona leo. Walimu wengi wa serikali walipwa karibu sawa na wahitimu wengine kulingana...
  9. B

    Mapinduzi makubwa sekta ya anga

    Aaaahaaha mkuu kumbe ww unapandaga kunguru wakati wenzako wanapanda ungo....
  10. B

    Kwako rais Kikwete

    Kwanza nikupe pole kwa majukumu ya kila siku, pili nikupongeze kwa yale uliyoweza kuyafanya katika utawala wako na kwa yale uliyoshindwa ujitathmini na kuchukua hatua. Binafsi sijawahi kuleta maoni yangu ya aina yoyote kwako hivyo kupitia mtandao huu najua utaletewa taarifa. Mimi ni mdau mkubwa...
  11. B

    Business Opportunity, Training and Consultancy

    Nahitaji unijulishe training zenu ni zipi na pia gharama. Je hiyo huduma ya integrated consultancy ni ipi ina vitu gani ndani? Nitashukuru kwa details utakazotoa.
  12. B

    Gari za Mikopo

    More details na useme unapatikana wapi including personal contacts.
  13. B

    Agri-storage business

    Hi kindly contact me as soon as possible, humble2080@yahoo.com
  14. B

    Asili ya maneno 'Shikamoo' na 'Marahaba' ni utumwa, kwanini tunaendelea kuyatumia?

    Huu ni ukweli mchungu ambao itachukua miaka 5 - 20 kufa. Nakubaliana na mtoa mada na nina uhakika kwa kizazi hichi hii salam inakufa anaebisha alete utafiti ambao umefanyika au unafanyika kuhusiana na salam hii. Binafsi nikiamkiwa shikamoo siitikii labda ibidi kabisa. Wito wangu kwa mamlaka...
  15. B

    Special for all graduates in dar-es-salaam

    Hope wahusika wataitumia nafasi hiyo vizuri, thanks mkuu for your contribution to the society.
  16. B

    Japan yaitangaza Tanzania kuwa Kitovu cha Uwekezaji, viwanda. Honda kujengwa nchini

    Guys, personally siipendi CCM, lakini kama tutatuliza akili zetu na kuwa positive na kutumia fursa hizi vizuri bila ubinafsi na rushwa, Tanzania ya miaka mitano mpaka kumi ijayo itakuwa yenye maendeleo na uchumi imara. Kuna watu hawaelewi ni kwa nini 5 Asian tigers kama Korea Kusini, Malaysia na...
  17. B

    tufanye research: unemployment & youth

    Ni pm for more discussion..
  18. B

    Ni nunue lipi kati ya discovery 2 ; ford escape ; nissan x trail ; etc

    Bei gan mkuu?? Ni PM na tuma na picha.
  19. B

    Natafuta mwanasheria wa familia

    Mkuu tuna huduma inakaribiana na hii ni PM for more discussion.
Back
Top Bottom