Search results

  1. M

    Majina ya Radio zinazosikilizwa sana mikoani

    Habari wadau. Napenda kujuaa majina ya Vituo vya radio vinavyosikilizwa sana Mikoani na vinafaa kutuma matangazo. Mikoa ninayoitarget ni hii 1. Morogoro 2. Tanga 3. Moshi 4. Arusha 5. Babati 6. Tabora 7. Mbeya 8. Iringa 9. Mara 10. Katavi Asanteni
  2. M

    MUHASIBU ANAHITAJIKA

    Habari Jukwaani. Tunatafuta Muhasibu mwenye level ya Degree kwa ajili ya kazi za Kihasibu. Maomba yanaweza kutumwa mwenye email csmsola@gmail.com au Kwa whatsup number 0713664912. Hakikisha umeambatanisha CV na Vyeti. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15 November. Karibuni
  3. M

    Natafuta Marketing Officer

    Can you kindly assist to get one?
  4. M

    Natafuta Marketing Officer

    Habari. Natafuta Marketing Offier kutoka Kenya (Awe Kenyan). Sehemu ya Kazi ni Dar-es-salaam. Qualification ni Bachelor in Marketing with 3 years of experience. Most awe dedicated and results oriented Reach me through email csmsola@gmail.com or Whatsup Number +255713664912
  5. M

    Nahitaji watu wa kuandika bussinessplan na hesabu kwa ajili ya mkopo

    Kichwa cha habari kinajieleza. Nahitaji msaada huo kwa mtu mwenye uwezo wa kuandika bussiness plan pamoja na hesabu kwa ajili ya kuombea mkopo anitafute. Nitumie ujumbe kwa namba 0713664912 au Whatsup message kwa namba hiyohiyo.
  6. M

    Plot4Sale Eneo zuri linauzwa kibaigwa Dodoma

    Barabara isikutishe kiongozi. Eneo Lipo nje ya road reserve kabisa. Wilaya ni Gairo na Kong wa. Mpwapwa yes ni wilaya ya Dodoma lakini ipo mbali kidogo. Karibu inbox coordinates na specific details tutashare. Eneo bado Lipo karibuni wadau Cc Chillah
  7. M

    Plot4Sale Eneo zuri linauzwa kibaigwa Dodoma

    Wakuu eneo bado Lipo. Karibu inbox au piga hizo namba tuzungumze
  8. M

    Plot4Sale Eneo zuri linauzwa kibaigwa Dodoma

    Mkuu njoo inbox kama upo serious. 50M hapana. Hapo kwa was tani kila plot 1 ina 10000sqm. Na umeona barabarani hapo kabisa. Kibaigwa ni mjI unakuwa na uko very potential. U po katikati ya will aya 2. So uwekezaji wa hapo utalipa. Plot zipo kwenye prime location. Karibu
  9. M

    Plot4Sale Eneo zuri linauzwa kibaigwa Dodoma

    Wanabodi amani iwe kwenu. Kuna eneo ( Plot) zuri sana liauzwa. Lipo mji wa Kibaigwa Dodoma. 1. Lina ukubwa wa heka 7 2. Lipo pembezoni mwa barabara ya Dodoma-Dar 3. Limepimwa na lina hati miliki 4. Zipo plot 3 kwenye eneo lote 5. Linafaa kwa matumizi ya shell, chuo, shule au Hotel. 6. Bei...
  10. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu asante kwa fursa. Nina swali moja, hivi kwa templerfx unaweza kudeposit kwa pesa. From your mobile to trading A/c. Ntashukuru kama unatuelekeza deposit and withdraw za templerfx kwa mpesa
  11. M

    Natafuta trakta ya kukodi

    Wakuu amani iwe nanyi. Natafuta trekta ya kukodi kwa muda wa miezi 6. Iwe ni hp 75 na 4wd. Kwa mwenye nayo tufanye biashara
  12. M

    Kufanya mazungumzo na Barrick Badala ya ACACIA - Tanzania tumekosa Great Thinkers

    Hoja ya mleta mada ipo sawa. Tatizo watu wanakimbilia kueleleza yasioyoulizwa. Swali ni hili. Kama barick ndo majority shareholders, na kama barick haohao wapo kwenye mazungumxo na serikali. Je iweje accacia waende kuishitaki serikali mahakamani za kimataifa ingali bado ma boss wao wapo kwenye...
  13. M

    NAUZA SEMBE KILO 25

    Amani iwe kwenu. Mimi ni mzalishaji wa sembe bora. Nepeleka dar-es-salaam na Moro. Napokea oda za sembe kwa mfuko wa kilo 25. Sembe ni nzuri na nyeupe. Bei ya jumla ni tsh 26000tsh kwa kilo 25. Napatikana kwa namba 0627964598. Karibuni.
  14. M

    CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Vipi mkuu umetekenywa nini. Kama kina kitu kinakupekenya
  15. M

    CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Mkuu Kwa case Kama Hiyo seller inabidi umpe bank details zako ili akurudishie pesa zako. Seller anakuwa Hana PayPal account yako ambayo transfer ya pesa huhitaji username tu. By the way Ile visa/ master card yako, details zake Kama Ac number, card number Na zile three digits za nyuma ni Siri...
  16. M

    Namtafuta Mtanzania anayeishi California Marekani

    Mkuu sio lazima kuweka biashara wazi. Hizo conditions za wapi? Kuna jamaa Ali promise kunilink na mtoto wake. Hapo ninaweza kumtumia pm na docs za Hiyo biashara. Sasa wewe unaulizwa njia gani nipote unasema Sema unaenda kwa Nani kwanza. Pathetic
Back
Top Bottom