Search results

  1. aswilecom

    2Pac Shakur - Hip hop giant legacy thread

    ni kweli muziki hubadilika na hata wasanii nao hubadilika kulingana na wakati na mahitaji ya soko, Buster rymes wa fire ni tofauti na yule buster rymes wa baby give it to me vivo hivyo kwa ja rule, R.kelly nk. Lil wayne, 50 cent, T.I na wengineo wa kizazi hiki hawawezi kuimba hip hop za...
  2. aswilecom

    2Pac Shakur - Hip hop giant legacy thread

    Songs= 2 of american most wanted who do you belive in if i die 2nite holla at me heartz of men i wonder heaven got a geto film: poetic justice documentally: resurection
  3. aswilecom

    Wenye hoja mbadala dhidi ya nondo za T. Lissu uwanja wenu huu

    subili dogo mbona una haraka, kwani Ritz ameonekana pande hizo kimya kirefu kina mshindo na mi niko chimbo nafukunyua data na mkuu wa kaya alishasema serikali 3 labda mpaka atakapoondoka madarakani
  4. aswilecom

    China yasema tatizo la ujangili si la wachina pekee, afrika na dunia nzima tusaidiane kulitokomeza

    kweli na mimi niiona hiyo habari kwenye tv (channel ten) leo asubuhi lakini tanzania haikutajwa
  5. aswilecom

    Watangazaji wanaokubalika katika Idhaa za Kiswahili

    huyo abdul shakur ana undugu wowote na hayati 2pac shakur?
  6. aswilecom

    Joram Kihango vs Willy Gamba

    Tuwa si zama za shigongo? mbona yeye akumbukwi! au ndo nabii akubaliki kwao
  7. aswilecom

    Sahara Communications mnatia aibu

    na dj fredwaaa sijamsikia kabisa
  8. aswilecom

    Nikiona chupi ya msichana tu nachanganyikiwa

    ah ah mi nikiona mistari ya pindo tu mjomba lazima asimame
  9. aswilecom

    Picha; Huyu NDIYE MWANAMKE Mwenye UMBILE la KIPEKEE na ni la KISASA zaidi DUNIANI...

    ah ah kama sio toch basi lazima uwe na sim ya toch ili usipotee njia
  10. aswilecom

    SWALI: Mkoa gani Tanzania ni mzuri kwa kuishi?

    ila ajiadhali na tindikali mkuu
  11. aswilecom

    Watanzania lioneni hili

    teh teh alafu wanalinda mabillion dollars
  12. aswilecom

    Vyoo vya Uwanja wa Taifa

    msubilieni obama atakapokuja kuhutubia uwanja hapo labda ndo watakumbuka kuvifanyia usafi
  13. aswilecom

    Simu yangu inapata moto

    kuna vitu viwili vinavyoweza kusababisha tatizo hilo kwanza simu yenyewe au betri peke yake, kwa upande wa btri maelezo ni hayo kama walivyokupa waliotangulia kwa upande wa sim ni la kiufundi zaidi inabidi ukamuone mtaalam aliebobea ktk matatizo ya namna hiyo kwani si mafundi wote wana utaalam huo.
  14. aswilecom

    Rafiki wa mume wangu ananitaka

    nimesoma hapa hapa jf jana kwamba kuna mtu kawekewa sumu kwenye pombe kisa kutembea na mke wa mtu tuepushe matatizo kwa kujifunza
  15. aswilecom

    Uke wake unatoa harufu mbaya, Nimuache?

    harufu ya samaki aka shombo
  16. aswilecom

    Kumbe sina kabila

    ahhh ubahili una utani na watu weye
Back
Top Bottom