Ucheleweshaji wa mishahara ya wafanyakazi wa Taasisi ya Chakula na Lishe ni kubwa sana. Tatizo hili ni kubwa na ni la muda mrefu. Hili Janga kubwa. Uongozi wa taasisi umebadilika lakini tatizo hili halija pata ufumbuzi kabisa. Katika vikao malalamiko ya mishahara kuchelewa ni moja ya kero zinazo...
Ni masikitiko makubwa sana. Wafanyakazi wa taasisi ya chakula na lishe tulikuwa tukunufaika sana na mikopo kutoka benki ya Azania. Mikopo hii imetusaidia sana katika mambo mengi. Mambo kama kujiendeleza kielimu, kununua vyombo vya usafilki, kujenga nyumba na kujiandaa kustaafu kwa kuanzisha...
HABARI kuhusu uteuzi wa dkt. Wilbard Lorry aliyeteuliwa kuwa mshauri wa Rais masuala ya lishe kama ilivyo tolewa kupitia mtandao wa jamii forum tarehe 19/7/2012 ni PROPAGANDA zinazofanywa na baadhi ya watu. Ndio maana hiyo habari haikuwa na ufafanuzi wowote kuhusu huo ugonjwa alionao...
HABARI kuhusu uteuzi wa dkt. Wilbard Lorry aliyeteuliwa kuwa mshauri wa Rais masuala ya lishe kama ilivyo tolewa kupitia mtandao wa jamii forum tarehe 19/7/2012 ni PROPAGANDA zinazofanywa na baadhi ya watu. Ndio maana hiyo habari haikuwa na ufafanuzi wowote kuhgusu huo ugonjwa alionao licha ya...
Tangu apate barua ya kuwa aondoke katika taasisi ya chakula na lishe yapata wiki mbili sasa Bwana Ndossi anaendelea kuzura zurura katika maeneo ya taasisi hiyo kwa kisingizio kuwa anafunga mizigo na kuandika ripoti. Wakati inafahamika kuwa mtu yoyote anapokaribia muda wa kustaafu miezi sita...

Bonge la sherehe kupita sherehe nyingine zote katika taasisi hiyo kuwahi kutokea, imefanyika siku ya Jumatano kufutia kuondolewa kwa aliyekuwa mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Godwin Ndosi. Mara baada ya kutangaza rasmi kuwa anastafu siku ya ijumaa tarehe 16/3/12 shamra shamra zilianza mara...
Hatimaye jibu la kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania limepatikana. Ilikuwa ijumaa siku ambayo wengi wao hawakutegemea kuwa hayawi hayawi YAMEKUWA. Taasisi kwa kipindi kirefu ilikumbwa na dhoruba kubwa sana ambapo wafanyakazi wengi walitamani siku...
Hatimaye jibu la kilio cha muda mrefu cha wafanyakazi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania limepatikana. Ilikuwa ijumaa siku ambayo wengi wao hawakutegemea kuwa hayawi hayawi YAMEKUWA. Taasisi kwa kipindi kirefu ilikumbwa na dhoruba kubwa sana ambapo wafanyakazi wengi walitamani siku moja...
Migogoro na migomo mingi huwa inasababishwa na kulea matatizo. Laiti matatizo yangekuwa yana tatuliwa maramoja yanapotokea migogoro ingepungua sana. Kuna taasisi moja katika wizara ambayo hivi karibuni kulikuwa na mgomo ule wa madaktari kuna matatizo makubwa sana ambayo kwa kiasi kikubwa...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.