Search results

  1. D

    UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

    Itapendeza sana kama Lulu atatoka kwani haiji akilini kwa binti huyu kufanya kosa hili. Nahisi yalikuwa ni matatizo ya kiafya kwa marehemu tu, iweje awe na uhusiano na watoto kimapenzi wakati ye mtu mzima, ameifundisha nini jamii yetu? Tukae mkao wa kula kushuhudia hukumu itakavyokuwa.
  2. D

    CCM imeishiwa sera? Ya Vicent Nyerere, Dr. Slaa yatawasaidia nini wana-Arumeru?

    Kuna umuhimu gani kusema Visent Nyerere si ndugu wa marehemu Mwl J K? Ya nini maneno ya kuwa Dr. Slaa kafukuzwa kwa sababu ya kuiba fedha za ujio wa marehem Pope Yohane paulo wa pili-1991? Hii ni dalili tosha kuwa ccm imeishiwa Sera za kuifanya iendelee kuwa madarakani hasa kwa kutoa ahadi...
  3. D

    Tatizo ni bodi ya mikopo au vyuo?

    Pouwa bana, lakini ni ngumu kwa sasa kudai haki kwani hatuna uongozi wa kutetea madent bali ........@Ghani
  4. D

    Kwa nini ujiue kwa kutemwa na mpenzi wako?

    Kukosa taarifa nzuri, hasira na maamzi yasiyo ya busara yanapelekea wengi kujiua/kujinyonga/kunywa sumu pindi tu wanaposalitiwa na kuachwa na wake/waume zao. Kwa nini uchukue uamuzi huu hatari wakati kuna mbinu kibao.
  5. D

    Tatizo ni bodi ya mikopo au vyuo?

    Inasikitisha kuona kuwa tunaanza semista ya pili wiki ya pili sasa (udom) bila kuwa na chochote katika akaunti zetu kwa wale tunaoitegemea serikali kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB). Wanachuo wengi wanageuka kuwa ombaomba kwa ndugu, jamaa na marafiki huku idadi kubwa ikihaha kupata...
  6. D

    Tutaweza kumaliza tatizo la ukataji miti na umaskini wetu wa-tz?

    Habari; pamoja na juhudi mbalimbali za kutoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira hususani upandaji wa miti, bado tutaendelea kuwa waharibifu wakubwa wa mazingira kwani wananchi wengi hasa wa vijijini hawana uwezo wa kutumia nishati mbadala kama vile solar power, HEP, Gio gas, nk, hata kama...
  7. D

    Zitto ndani ya Mwanza

    Anapaswa atafakari awatendee nini wananchi kwa mapokezi na ukarim kwake
  8. D

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Nipe matokeo mapaka sasa niaje mnyama anaongoza kwa magoli mangapi.
  9. D

    Vicent Nyerere: Hakuna polisi aliyepata kuwa mkuu wa wilaya

    Vicent kafanya uchunguzi na kuligundua hilo, juenda wengi wao (police) hawaipendi ccm that1s why hawateuliwi.
  10. D

    Bado natafakari kauli ya Malima kwamba zile silaha ni mtaji mkubwa wa maisha!

    Huyu kaudanganya umma, kwani huenda alikuwa na nyaraka za serikali ambazo kuna wizi umefanyika. Ili kuua soo apitishie kwa kusema ameibiwa vitu vyake vyote. Kama serikali imekerwa na uongo huu, imfikishwe mahakamani ili aeleze kwa nini amiliki kizembe silaha ya kivita?
  11. D

    Yanga Vs Azam

    Hawa wachezaji waliompiga mwamzi wamekosea njia, walitakiwa kwenda kwenye Masumbwi badala ya mpira wa miguu kwani kwenye football hatuna ngumi zaidi ya mchezo wa kirafiki na kindugu (fair play). Kwa mwendo huu bongo tusahau kupata mafanikio ktk mpira wa miguu bila kuwajenga wachezaji wetu...
  12. D

    Polisi wa arusha wapigwa marufuku kwenda arumeru

    Hii ni Tz ya 2012 wala sina wasiwasi wowote hata kama FFU kutoka Arusha watazuiliwa kwani watakaokuja wakisimamia haki, wananchi wataiadhibu vizuri tu CCM. Police ni walewale hata wakitoka Moshi, Mara, Shy, Mtwara hawana tofauti. Mbinu hii haisaidii chochote kama wananchi wameamua kubadili...
  13. D

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Kiukweli kula mlo kamili inasaidia sana kuongeza nguvu za kiume, ingawa kuwa na mawazo kunapunguza sana nguvu za kiume. Chemical si nzuri kiafya, ikikulazimu sana basi tumia. Stamina ni kwa kufanya mazoezi mengi tofautitofauti kama vile pushapu nyingi kila siku, kukimbia, na kucheza michezo...
Back
Top Bottom