Kwa jimbo la ubungo changamoto ya miundombinu ya barabara ni kubwa mathalani wakazi wa makabe hadi msumi hali ni mbaya mno.
Kama mbunge atapitia huku ajue nayo itakuwa kipimo cha 2025
Nauli za ndege kwa mkoa wa kigoma ziangaliwe upya. Sababu ipi inafanya mkoa.huu kuwa na nauli kubwa kushinda mikoa mingine ? Nauli iliyopangwa kama ni kweli, haiwezi kuleta tija ya maendeleo kwa wananchi wa mkoa huu. Mhe. Zitto na wadau wengine wa maendeleo kwa mkoa wa Kigoma naombeni mmpaaze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.