Search results

  1. J

    Mchungaji Cherehani mweka hazina shupavu wa chadema dmv

    CUF na UISLAM UISLAM na CUF...Nimekuwekea huo mfanano ili utambue hilo uliloandika hapo juu ni propaganda...badili mtazamo wako.
  2. J

    Jambo wanalo kubaliana CCM na CHADEMA!

    mkuu jaribu kufikiri upya kwa ulicho kisema maana hata mtoto anatambua ukweli ni upi.
  3. J

    Dunstan Tido Mhando Mkurugenzi Mpya Mwananchi Communications Limited

    taarifa hiyo ni ya kweli.cloud fm kupitia kipind cha jahazi wametoa taarifa hiyo ni kweli....hakuna wa kupinga Tbc ilngara kwa sababu ya tido.ngoja haende wao walzani wanamkomoa kumbe ndio wanaiiua tbc.
  4. J

    UTABIRI: CHADEMA Kuparanganyika na kuwa HIstoria, CCM Fanyieni kazi haya.........

    huyu jamaa aliye post hii mada nazani hajitambui vizuri.ni ngumu kukiua cdm.kwani wa-tz wanajua ukweli,hakuna chama mbadala ambacho kitaleta ukombozi wa nchi isipokuwa cdm...jaribu kujitathimini kabla ya kuleta mjadala wako hapo japo ukweli unaujua..mungu bariki tanganyika na cdm.
  5. J

    ITV wana agenda ya siri dhidi ya CHADEMA??

    kaka angalau itv kidogoo wanatuonyesha...KALI ZAIDI NI HAO TBC.TANGU KAMPENI ZIANZE SIJAONA TAARIFA ZA KAMPENI ZA CDM.or me nina bahati mbaya wakilusha cku hiyo ninakuwa sijaangalia habari. kwani tbc ni ccm?
  6. J

    kamwene wana jf!!

    ndi mnofu mnyalukolo,be mnyakwii?vaungilage kukaye.
  7. J

    kamwene wana jf!!

    tupo pamoja mtani,..ubarikiwe.
  8. J

    kamwene wana jf!!

    thank...mapigo mtwa..
  9. J

    kamwene wana jf!!

    thank for u reply.aman kwako.
  10. J

    kamwene wana jf!!

    ndauli mtwa.makasi bee.furaha sana kupata salamu yako.cku njema.
  11. J

    kamwene wana jf!!

    amani sana ndugu.thank.
  12. J

    kamwene wana jf!!

    nashukuru sana wote kwa kunikaribisha.japo nimetumia lugha ya kwetu nashukuru tumeelewana.asante sana.Mungu awabariki.
  13. J

    kamwene wana jf!!

    thank josip.tupo pamoja.
  14. J

    kamwene wana jf!!

    ndi mnofu bee,makasi bee!waungilage kukaye.be blecd.
  15. J

    kamwene wana jf!!

    nichukue nafasi kujitambulisha me jf mpya...thank kwa kuwa mtanipokea.
  16. J

    hodi wana jf.(watu wa fikra mpya )

    heshima kwenu wana jf kwa michange yenu ambayo imekuwa na manufaa kwa wote..nichukue nafasi hii kujitambulisha kwenu kama mwana jf mpya.naomba kuwapa salamu.thank.
  17. J

    Majina tata ya matawi ya CUF!!

    mimi nadhani hayo ni majina tu.hayana shida kwetu,tunataka chama kiendelee kujiimalisha.
  18. J

    Mrithi wa Dr. Mponda mnamjua??

    kama ni kweli,basi naibu wake awe yule mchungaji wa mjengoni(G.L).
Back
Top Bottom