Search results

  1. mzushi

    Nilitahadharisha hapa kuwa 'Kesi' imemkalia vibaya 'Mwamba' na hachomoki kirahisi nikaishia Kushambuliwa

    Sasa wewe unaona haki imetendeka,kesi ya jambazi Sabaya unailinganisha vipi na kesi ya Mbowe
  2. mzushi

    Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi - Sept 17, 2021

    Aibu ndogo ndogo hizi Chifu angeweza kuziepuka , Mambo ya gaidi kupewa nyama choma na Mo energy wapi na wapi 🙄🙄🙄
  3. mzushi

    Hii ni Familia ya Kanali Hans Pope

    Umesoma vizuri nilichoandika au umekurupuka tu
  4. mzushi

    Hii ni Familia ya Kanali Hans Pope

    Acha kupotosha nyau wewe ,Hans alikuwa hajachanja na mzigo alitoka nao huko Kigoma kama Mwalim Kashasha.unapotosha ili upate faida gani wakati mtu na familia yake nzima inateketea 😏😏😏
  5. mzushi

    Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

    Nyau wewe Dar es salaam Magereza ya mahabusu ni Keko na Segerea ,kama hujawahi kukaa jela Kaa kimya sisi tunajua uchungu wa jela
  6. mzushi

    Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

    Ukonga ni gereza la mahabusu ?jiulize kwanza hilo ndiyo ujue kuwa Mbowe yupo death row
  7. mzushi

    Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

    Space imenoga kwa kweli ,Lema anazidi kutema cheche..ila Mama ni zaidi ya Magu yaani, unamweka mtu kwenye death row hata hukumu bado 😳😳😳😳
  8. mzushi

    Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

    Zingeanguka migombani kama zimekunywa mbege
  9. mzushi

    Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

    Iran Shia wale hawana muda na Taliban Sunni ..Madege hayo watawaachia watoto wachezee tu
  10. mzushi

    IGP Sirro, huyo ni mtoto wa nani?

    Na angeuwa raia jamaa angepata upenyo wa kutema nyongo Ila sababu ameuwa polisi imeonekana wazi kabisa alikuwa na chuki na polisi,shida hili jambo halitazungumziwa tena maana wameshajua shida ipo wapi.
  11. mzushi

    #COVID19 Leo ni siku ya 23 tangu nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa Covid-19

    Mama Mwingira alipigwa na wimbi la pili ilipokuja delta wimbi la tatu likammalizia.Akili kichwani mwako pata chanjo au endelea kumsikiliza Gwajima
  12. mzushi

    Tuweke rekodi sawa majina yenu mlijipa wenyewe. Haji Manara is taking you for a ride

    Acha ubaguzi wewe Kolo FC ,tulieni dawa iwaingie umesahau anayecheka mwisho ndiyo mshindi.
  13. mzushi

    Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

    Mtu alishabanwa kwenye kona kulikuwa na haja gani ya kumsogelea ,kifupi alikosea
  14. mzushi

    Mungu hafichi ukweli: Mama Samia leo umejionea ubovu wa askari wetu wa Jeshi la Polisi

    Bomu la machozi lilimpoteza Ila jamaa anaonekana alipitia mafunzo
  15. mzushi

    #COVID19 Kama hali yako ipo hivi, taafadhali kapate chanjo ya COVID-19

    Ndiyo maana amesema ushauri mbona wanadamu mna nongwa sana 🙄🙄🙄
  16. mzushi

    Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

    Aisee pole sana ,wameshaiba catalyst kimbilia polisi tu maana hapo wameshauwa gari
  17. mzushi

    TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

    Aisee kweli Delta yamoto maana mtu hujui kama kesho utatoboa
  18. mzushi

    Utata juu ya Rais Samia kuingilia kati tozo mpya za miamala

    Tengeneza tatizo halafu litatue , mule mule kwa Mwendazake in copy and paste.
Back
Top Bottom