Search results

  1. K

    Mkutano mkubwa wa UKAWA Moshi Mjini katika Picha.

    Uzuri buku kumi kila mtu anayo tayari mfukoni mwake, akitoka hapo hata asiporudishwa anapitia mitaani kusalimia ndg na jamaa ambao hajaonana nao kitambo
  2. K

    Mkutano mkubwa wa UKAWA Moshi Mjini katika Picha.

    Jamaa wana hela hawa, wameajiri watu kuposti upuuzi kwenye mitandao, angalia hii picha ni nini kama siyo fujo, watu wamechoka
  3. K

    Kikwete ni kiongozi mzuri sana kwa mtazamo wangu, lakini ushkaji sasa..

    Anachokifanya JK ni sawa, huwezezi kiongozi kuamka na kukurupuka kufukuza watu, nchi ni yetu sote, pamoja na wale tunaowapenda na tusio wapenda( wezi na mafisadi pia) ni part ya raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
  4. K

    Fideline Iranga amekuwaje?

    hellow, friends si vibaya kama tutamuachia mwenyewe, kuja na kutujuzisha km ana tatizo lolote!
Back
Top Bottom