Search results

  1. N

    Katibu CCM afichua Siri ya Mnyika kumzushia Mama Kikwete

    Yani umeona hilo ndo la maana kuliko nchi yako inayouzwa na hao unaowatetea! Achana na sisi wewe, Huna tofauti na Ombaomba anayeomba hela yake mwenyewe kwa kuililia ka siyo yake. Badilika basi hata kama ulipewe takrima ya kanga!:mad2:
  2. N

    Heshima na Hongera SUNRISE RADIO FM Arusha

    Inapendeza sana sis watz kuamka na kuonesha wazi kuwa tunaweza kuikomboa nchi kutoka kwa wakoloni mafisadi wanaojipandikiza kana kwamba nchi hii wao ndo walizalïwa kwanza na kupewa madaraka ya kututawala. Bigup wana Arumeru.
  3. N

    Chadema yashida arumeru mashariki

    Hongera kwa kuchambua vizur na ni kweli yote uliyosema. Ushauri: jaribu kupitia maneno yako yote kabla ya kupost coz yana makosa mengi ya kiuandishi.
  4. N

    Bwana Jairo na Ngeleja

    Kweli hiyo kali mkuu!
  5. N

    Bwana Jairo na Ngeleja

    mheshimiwa Jk
  6. N

    Bwana Jairo na Ngeleja

    Watanzania wanawadai!, nadhani we Sio mtz ndo maana haufuatilii mambo ya nchi yako hasa kwa viongozi mazembe!:crazy:
  7. N

    Bwana Jairo na Ngeleja

    Hivi sakata lao limeishia wapi? Au ndo msamaha wa Baba Mwanaasha umepita?:cool2:
  8. N

    Mgombea wa Chadema athumiwa Kubaka. Polisi wa wamlinda

    Kama we ni mwandishi inabidi utafute mhariri pia kwa sababu huko kukosea kumepitiliza!
Back
Top Bottom