Search results

  1. Red Giant

    Tatizo sio CCM bali jamii nzima ya mtu mweusi

    Imani za kishirikina zinatufanya tusiwe na akili ya kuchunguza matatizo na kuyasolve.
  2. Red Giant

    Tuitazame Ilani ya ukomunisti(The communist manifesto)

    "Ujamaa haumnyimi mtu yeyote uwezo wa kujipatia mali; unachofanya ni kumnyima uwezo wa kutumia nguvu kazi ya wengine katika kujipatia huko mali."
  3. Red Giant

    Tuitazame Ilani ya ukomunisti(The communist manifesto)

    "Imepingwa na kusemwa kuwa, baada ya kukomesha umiliki binafsi wa mali, kazi zote zitakoma, na uvivu utaingia kwenye dunia nzima. Kwa mantiki hii, jamii ya kibepari ingekuwa imeshatoweka sababu ya uvivu wa kupindukia; sababu watu wake wanaofanya kazi hawapati chochote, na wale wanaopata chochote...
  4. Red Giant

    Tuitazame Ilani ya ukomunisti(The communist manifesto)

    Anatetea ubinafsishaji kwa kusema kuwa mtaji ni mali ya nguvu ya jamii. Kwamba mtu mmoja peke yake bila kunyonya wengine hawezi kujilimbikizia mali. Hivyo wanapotaifisha mali hawamnyang'anyi mtu mali binafsi, maana hajaipata kwa nguvu zake.
  5. Red Giant

    Tuitazame Ilani ya ukomunisti(The communist manifesto)

    "Nguvu za kisiasa, na zimeitwa nguvu kwa usahihi kabisa—si kitu kingine bali mpango wa tabaka moja kukusanya nguvu ili kunyonya na kukandamiza lingine."
  6. Red Giant

    Tuitazame Ilani ya ukomunisti(The communist manifesto)

    Kwenye hii sura Marx hasa alikuwa akijibu shutuma za mabepari dhidi ya ukomunisti.
  7. Red Giant

    Tuitazame Ilani ya ukomunisti(The communist manifesto)

    Sura ya pili. II. MAKABWELA NA WAKOMUNISTI Wakomunisti na makabwela wana uhusiano wa namna gani? Wakomunisti hawaundi chama cha tofauti kikiwa dhidi ya vyama vingine vya tabaka la wafanyakazi. Hawana maslahi mengine mbali na yale ya makabwela Hawaundi kanuni zao wenyewe kwa kujitenga na...
  8. Red Giant

    Msanii Joslin anauza chipsi Sinza Kumekucha

    Nipo hapa na pale mkuu. Humu bado nipo.
  9. Red Giant

    Je, WWI ilipiganwa katika Ardhi ya Tanganyika?

    Vita haikupiganwa Rufiji tu. Hata huko ziwa Tanganyika ilipiganwa. Wajerumani waliibadili hiyo Liemba kuwa meli vita na ikawa inatawala ziwa Tanganyika. Waingereza walileta boti mbili, zikapita Congo ya wabelgiji hadi ziwa Tanganyika. Lengo ni kupambana na Liemba. Wajerumani walipoona mambo...
  10. Red Giant

    Je, WWI ilipiganwa katika Ardhi ya Tanganyika?

    Ilipiganwa sana. Tena ilikuwa kali. Ndiyo kisa cha kuzamishwa kwa MV Liemba ili isikamatwe na maadui. Manowari ya kijerumani iliyoitwa Konigsberg iliharibiwa kwenye mto Rufiji ilikokimbilia. Kuna vitabu vinaelezea vita hiyo, kama Mimi and Toutou go Forth na General wa kijerumani wakati huo...
  11. Red Giant

    Tuitazame Ilani ya ukomunisti(The communist manifesto)

    Kulingana na Marx na walioanzisha ukommunisti(Tuite sawa na ujamaa) alisema kuwa haiwezekani kufikia ujamaa bila kupitia ubepari. Na kuna chapter alikemea sana wanaofikiri watafikia ujamaa bila ubepari, akiwaita waota ndoto. Mtu kama Nyerere, wakina Mao na wengineo, waliamini wanaweza kujenga...
  12. Red Giant

    Je, nchi zinaanza kukimbilia dhahabu kama pesa? Tanzania tuna akiba kiasi gani cha dhahabu?

    Habarini. Habari za nchi kukimbilia matumizi ya dhahabu zimekuwa nyingi sana siku za karibuni. Ghana baada ya kuzidiwa na madeni na kuishiwa akiba ya fedha za kigeni, imeamua kutumia dhahabu kununua mafuta. Kuanzia mwezi huu makampuni ya kuchimba dhahabu yatatakiwa kuiuzia benki kuu ya Ghana...
  13. Red Giant

    Tuitazame Ilani ya ukomunisti(The communist manifesto)

    "Na mara tu mfanyakazi anapokwisha kunyonywa na bepari, mara tu anapochukua mshahara wake, idara zingine za kibepari nazo humshukia, mwenye nyumba, muuza duka, dalali, nk."
  14. Red Giant

    Tuitazame Ilani ya ukomunisti(The communist manifesto)

    Marx anasema, dini na sarakasi za siasa ni mifumo tu ya unyonyaji inayojivika vilemba ili ionekane mizuri. Lakini ubepari unanyonya bila aibu. " Kwa maneno mengine, sehemu ya unyonyaji uliojivika kilemba cha dini na viini macho vya kisiasa, umeweka unyonyaji wa wazi, katili na usiojua aibu."
  15. Red Giant

    Tuitazame Ilani ya ukomunisti(The communist manifesto)

    Anasema Marx, "Serikali za kisasa si kitu kingine zaidi ya kamati tu za kusimamia masuala ya mabepari."
  16. Red Giant

    Tuitazame Ilani ya ukomunisti(The communist manifesto)

    Pengine ukitoa Biblia na Quran, hakuna kitabu kingine kilichokuwa na impact kubwa katika maisha ya watu kama The communist manifesto. Miaka ya katikati ya 1800 wakomunisti ndiyo walikuwa magaidi wa enzi hizo. Basi katika mikutano yao ya siri wakampa kazi bwana Karl Marx kuandaa ilani yao ambayo...
  17. Red Giant

    Tuitazamane Ilani ya ukomunisti(The communist manifesto)

    Sorry mods, nimekosea jukwaa. naomba kufuta hii post.
  18. Red Giant

    Tuitazamane Ilani ya ukomunisti(The communist manifesto)

    Pengine ukitoa Biblia na Quran, hakuna kitabu kingine kilichokuwa na impact kubwa katika maisha ya watu kama The communist manifesto. Miaka ya katokato ya 1800 wakomunisti ndiyo walikuwa magaidi wa enzi hizo. Basi katika mikutano yao ya siri wakampa kazi bwana Karl Marx kuandaa ilani yao ambayo...
  19. Red Giant

    Documentary: TAZARA railway, the 52-hour journey through Tanzania and Zambia

    Kusema ukweli, wamekuza udangerous wake.
Back
Top Bottom