Search results

  1. R

    Nifanyeje ili niwe na uwezo mkubwa wa kufikiri?

    kweli kabisa, inahitaji uwe mpembuzi wa mambo pia la sivyo utapata uwezo wa kufikiri negatively, na itakuwa kwa hasara yako, na wenzako pia!!
  2. R

    ku add gadgets kwenye GOOGLE sidebar pls

    njia gani ya ku add gadget ya jamiiforum kwenye google sidebar, ya laptop, ZINAKUJA NYINGINE TU za NJE na mimi nataka za habari za hapa nchini tz zaidi, AU JAMIIFORUM KWA UJUMLA, that's my point!
  3. R

    Wanaharakati wa kujitegemea waandaa maandamano kupinga mgomo wa madaktari

    LAKINI IPO SIKU TU WATANZANIA TUTAGUNDUA KIINI CHA HAYA YOTE! Ushauri wangu ni kwamba mara tutakapogundua, IWE NI MUNGU, au MTU tuliyemkosea, basi tusiogope KUREKEBISHA naye!!! Hivi ninyi hamwoni????!! Ingekuwa hili ni gari nadhani tungelikataa kulipanda, zaidi sana pale ambapo tunajua wazi...
  4. R

    Ningekuwa rais

    Inahitajika hekima ya MUNGU sana kwa swala hili.Pande zote kunaonyesha hatari fulani!LAKINI LAZIMA MOJA LIFANYIKE!!Sijui ningekuwa Raisi ningemwendea nani anipe HEKIMA KAMA YA MFALME SULEMANI!!!
Back
Top Bottom