Search results

  1. G

    Nauza set ya vifaa vya gym (body building) - locally made

    Bei yako iko juu sana umeshasema local made it means ni kama vile vya gerezani fanya laki na nusu nivichukue.
  2. G

    Nahitaji laptop urgent

    Wana JF Nahitaji Laptop haraka iwezekanavyo kwa bei nafuu sana, hata kama ni used lakini iwe imesimama no scraches,Uwezo wa Battery 2hrs plus,Details Ram 2Gb au zaidi,Processor kuanzia 1.8GHZ na kuendelea.aliyenayo tuwasiliane kwa 0754 364363.
  3. G

    magari

    Nahitaji Gharama ya kuagiza gari aina ya Honda HR-V ya mwaka 2003,Trans Aut,Grade 4.0,RHD,Engine CC 1500-1600,AC,Music System,FM radio etc. Naomba gharama ya Bandari ya DSM tu. CIF Dar. my Contact # 0754 364363
  4. G

    Nauza Gari Corsa

    Weka Picha na details kwa uwazi usiwe kama mgeni kwenye jamvi hili.
  5. G

    Laptops and Mobile phones for sale

    Wacha usaniii wa kishuleshule wewe, ulinipigia na kunieleza unayo Toshiba Laptop tukaelewana bei,nikakuambia uniletee hapa kitega uchumi hukutokea na kila nikupigia hupokei simu, sijui ulikuwa unavizia ya mtu uipige, halafu dili likabumbuluka,kama auko makini na unachokitangaza kwanini usikae...
  6. G

    laptop HP 6910p inauzwa 390,000/

    Cash 3.0 ninayo unasemaje???
  7. G

    Nissan patrol inauzwa bei poa.

    Hapana nilibadilisha rangi kwasasa ni nyeusi lakini kadi bado sijabadilisha ila kama uko interested kulichukuwa tukakubaliana nitabadilisha tu pamoja ownership hilo halina mjadala.
  8. G

    Laptop Bei poa inatafutwa.

    Nimekupata lakini mbona inaeleweka tu ni tsh Laki tatu na Nusu (350,000) una la ziada???
  9. G

    Nissan patrol inauzwa bei poa.

    Nissan Patrol 4 sale details zote ziko hapo chini bei 17m but its negotiable for genuine buyer tuwasiliane kwa cell # 0719757700
  10. G

    Laptop Bei poa inatafutwa.

    Nimekupata mkuu lakini si wakuja kivileee siuziwi mbuzi kwenye gunia kama unavyofikiri ni mtaaluma,ni mkongwe kwenye fani naelewa nini nafanya.
  11. G

    Laptop Bei poa inatafutwa.

    Nimekupata mkuu lakini mimi si wa kuja kivilee siuziwi mbuzi kwenye gunia ni mtaaluma,ni mkongwe kwenye fani naelewa nini nafanya.
  12. G

    Laptop Bei poa inatafutwa.

    Wanajamii mwenye laptop ya bei poa tsh 350,00 anijuze kwa 0719 757700
  13. G

    Laptop Bei poa inatafutwa.

    Natafuta Laptop ya bei poa Ram 2Gb Processor 2.0GHZ-240GB au zaidi offer yangu 350,000/=
  14. G

    RAV 4n RAV 4 RAV 4 RAV4

    Mkuu bado hiyo?? nataka kuiona weka contact yako au nipigie 0719 757 700
  15. G

    Rav4 milango 5 iko sokoni

    Weka details unakuwa kama mgeni jamvini.
  16. G

    Magari hayo sokoni (GX100, Toyota Gaia, Opa, Carina)

    Mkuu adjust kidogo bei zako ziko juu.
  17. G

    Nokia N900 Natafuta

    Urgent Natafuta Nokia N900 kwa bei nzuri kwa yeyote aliyenayo contact m on 0719 757700.
  18. G

    Jumba Lenye Underground Linauzwa bei chee.

    No ipo kwenye tangazo lenyewe.
  19. G

    Jumba Lenye Underground Linauzwa bei chee.

    Ndivyo ilivyo.
Back
Top Bottom