Search results

  1. Mystery

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Hakika ni Mwendazake peke yake aliendana na huo ubabe wake Ndege wanaofanana, huruka pamoja
  2. Mystery

    Albert Chalamila atishia kumuweka ndani mkandarasi wa Mwendokasi

    Umegonga penye mshono Hivi wanaotoa hizo kandarasi, ni vyama vya upinzani? Inakuwaje ikiwa ni hiyo hiyo serikali inayoongozwa na CCM, ndiyo iliyompa mkandarasi huyo, halafu CCM hiyo hiyo itishie kumfukuza mkandarasi huyo??🙆
  3. Mystery

    Faris Burhan wa UVCCM Hujajiuzulu?

    Huyo Mwenyekiti wa vijana wa mkoa wa Kagera, anapaswa ajiuzulu, bila kuchelewa Kitendo cha Bosi wake, Katibu Mkuu, Dr Nchimbi, kukemea kauli yake na kuiita ya kijinga, basi hapaswi kuwepo tena ofisini kwake.
  4. Mystery

    NSSF Mnachokifanya kunyanyasa na kudhulumu wachangiaji sio sawa.

    Mungu anawaona nyie NSSF🙆
  5. Mystery

    Waziri Mchengerwa: UVCCM 'msiwaache salama' wanaokuja kueneza uchochezi Rufiji

    Hivi Mchengerwa ana maana gani kwa kutoa kauli kuwa "wasiachwe salama" hao wanaotoa kauli hizo? Au anataka kuturejesha kwenye utawala wa Mwendazake?🙆
  6. Mystery

    Makonda hakutakiwa kutamka lile tamko mbele ya Rais

    Kiukweli kauli Ile, ni sawasawa na kuichimbia kaburi CCM
  7. Mystery

    Ni kwanini kushambuliwa Kwa risasi Mbunge Sendeka, kushughulikiwe Kwa haraka na Polisi, wakati lile la Tundu Lissu halishughulikiwi kabisa?

    Tukio la kushambuliwa Kwa risasi gari alilokuwemo Mbunge Ole Sendeka, ni baya mno na linafaa Jeshi la Polisi lifanye uchunguzi ili kuwabaini waliotenda uovu huo. Hata hivyo Kwa taarifa zilizotufikia zinasema kuwa tayari hivi sasa, kuna timu ya wataalamu, kutoka Jeshi la Polisi, limetumwa...
  8. Mystery

    Matinyi anasema waziri Ndumbaro alitania, wakati mhusika alisema 'Hatutanii'. Inaondoa uaminifu kwa Serikali

    Tena Cha ajabu, eti huyo Ndumbaro, tunaaminishwa kuwa ana shahada ya PhD ya Sheria! Hivi inawezekanaje Kwa mtu kama huyo tunayeaminishwa kuwa amebobea kwenye Sheria, atoe matamshi, ambayo anajua fika kuwa ni kinyume Cha Sheria?🙆
  9. Mystery

    Nchi zilizoendelea kiongozi akituhumiwa kwa rushwa anajiuzulu, Tanzania viongozi wanakamatwa na vidhibiti lakini hawatishiki hadi watumbuliwe

    Ni ajabu na kweli! Hiyo inaweza ikaingizwa kwenye maajabu makubwa ya duniani! Eti mwizi wa mabilioni ya pesa, anaombwa ajitafakari?😙 Wakati Mtumishi wa kawaida serikalini, anafukuzwa kazi Kwa upotevu wa shs 50,000 tu
  10. Mystery

    Nchi zilizoendelea kiongozi akituhumiwa kwa rushwa anajiuzulu, Tanzania viongozi wanakamatwa na vidhibiti lakini hawatishiki hadi watumbuliwe

    Kwa kweli inasikitisha sana. Hebu imagine, Kwa mfano yule Mbunge wa Manyara, hadi clip zipo zinazomwonyesha akimnyanyasa yule kijana wake, hadi kumwingiza chupa ya soda sehemu za Siri, lakini yule mama hakujizuru, hadi pale Mheshimiwa Rais alipomtumbua!🙆
  11. Mystery

    Rais Samia atengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Wakurugenzi wa TTB na NCAA

    Hivi unakwendaje na Dereva, Secretary na Mlinzi wako, tena wahaya wenzako, kama vile hutawakuta wafanyakazi hao, huko uendako? Inawezekana hizo habari zili-leak hadi ofisi kubwa ya nchi na ndiyo ikawa sababu ya kutumbuliwa kwake.😁
  12. Mystery

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kwa kweli inasikitisha sana! Wanatugeuza watanzania wote kuwa ni wajinga sana, tusioweza kuhoji upuuzi wa Hilo Bunge letu, lililopitisha huo muswada. Hao wabunge, mbona hawataki kutatua matatizo sugu ya mifuko hiyo ya jamii ya kikotoo, Kwa wafanyakazi waliofanya kazi katika maisha yao yote na...
  13. Mystery

    Benki ya Dunia imefichua ukweli kuwa lindi la umasikini linaongezeka kwa watanzania!

    Huyo atakuwa miongoni ya wale chawa wa Mama, ambao wao ni wanufaika wakubwa wa mfumo huu wa utawala😅
Back
Top Bottom