Jamani kaeni vzr na simu zenu kwani leo Tanuri Media Group wanapigia watu simu kwa ajili ya interview.......mie wamenipigia na kunambia kesho sa tatu asbh ni intervew,gud luck to each other
Nlisagn kana CASHIER,sio siri nimechemka,Iam nt rate myself at low thats y nimeweka upumbavu huu mezani kuwajuza na wengine wasije jua kuna ishu uku ACCESS
Jamani,mwenzenu nliitwa interview ya CASHIER J5 hii na Jana nikaitwa kuanza kazi,Niliexpect kutakuwa na training flani kwa ajili ya hii kazi,ila walichonifanyia ni kunipa buku(1000/=) na kunambia niende kigamboni kutafuta wateja,hii leo nipo tandika na nimepewa tena buku........najiuliza mimi ni...
Inategemea unajiunga kama professional ama elimu ya kawaida......Kama elimu ya kawaida usizidi miaka 25 na kama professional miaka yeyote,usiwe na ulemavu wa aina yeyote ikiwemo kuwa na kitovu kikubwa,kutokuwa na uvungu kwenye mguu(miguu flat haitakiwi-huwa haiwezi mazoezi makali),matege,BP...
haiwezekani,kuna kitu........hatakama bikira uweza toka yenyewe ila sio kwa kipimo cha kuona uwazi namna hiyo,bikira ni kitu kidogo sana ambacho ikitoka kwa kawaida( bila kuingiliwa).....haiwezi toa hiyo hali .nashaur akamwone DR,kuna kitu
Umepona kaka wala usiwe na shaka,nenda maduka ya kiasili uliza SHABU,ni elfu moja tu.Ipo kama chumvi.... chota kiasi weka kwenye kikombe tia na maji iwe ndo deodorant yako........UTANAMBIA,Au kama una kishupa cha deodorant kilichoisha weka iyo shabu kiasi na maji then unajipaka kila...
Habari za asbh DR.mimi ni Mrs,ni mwaka wa nne sina mtoto na tumejaribu kwenda hsp mbalilmbali na majibu tuliyopewa ni kwamba: mimi nipo sawa kabisa ila mwenzangu no Spermatozoa seen ila checkup zengine yupo sawa,Dr Tunaweza kupata watoto? Tusaidie tafadhali.........Aksante sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.