Search results

  1. K

    Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Angeondoka kabla ya kufukuzwa angeonekana ni shujaa.................
  2. K

    Dk. Magufuli aliposimama kuzungumza na Wanatunduma

    Na lipate mpini basi tuone
  3. K

    Joyce Kiria funga mdomo wako,hujui lolote wewe!

    Babu alisema bila utafiti, huna haki ya kusema, na yule mwingine wa siku alishasema kama wewe ni msafi sana na basi uwe wa kwanza kurusha jiwe kwa mzinzi. Kuna pesa nyingi sana zinaletwa na wamagaribi kwa ajili ya kulinda haki na maslahi ya kina mama, lakini hakuna hata senti tano kwa ajili ya...
  4. K

    Huu hapa ukweli wa sakata la kutoweka rais wa tahiliso na bugando

    Na mimi sasa inabidi niseme. Mimi ni kile chama hasimu na mke wangu wa chama kingine hasimu na changu, lakini tunapendana sana. Sasa mke wangu hajarudi nyumbani mpaka sasa hivi, na kulikuwa na tetesi kuwa wazee wa chama chake hawataki mama anihudumie kwa sababu za chama changu, hii sio haki...
  5. K

    Ameondoka nyumbani

    Joda hakuna cha mchawi hapa wala nini, ni mawazo yako tu. Ameumia sana, ameteseka sana, amefadhaika sana kwa tabia ambayo wewe umekuwa ukiionyesha bila wewe mwenyewe kujua. Mfariji, mwambie afunguke aongee, wakati wote mwambie akuambie umekosea nini ili ujirekebishe, na vile vile mwambie kuwa...
  6. K

    Nataka nipate raha ya ukweli japo siku moja

    You are forgeting a very basic principal in life: Toa ili upate, Raha ya tendo ni pale unapoingia kwenye tendo ukiwa na lengo la kumfurahisha mwezi wako. Tafuta mtu ambaye utampenda sio kwa mavazi tu (actually mavazi mafupi kiubongo yana mvuto wa muda mfupi sana wanawake wengi hawajui hilo...
  7. K

    Je! huyu bwana alichowafanya mabinti hawa wasomi ni sahihi?

    Eeh Baba wasamehe hawa mabinti kwa sababu ulimbukeni wao huu unawafanya wasijue kabisa lile walitendalo, kwa sababu kwa hasira tu baba wanaweza kukutana na mtu mwenye hasira kama wenzangu wanaocomment kwenye thread hii na wanaweza wawekea madawa fulani na kuwalowanisha wote mbele na nyuma na...
  8. K

    Emmanuel Mbasha nje kwa dhamana

    Nilishangaa kuona na housegirl eti nae kaingia kwenye kesi. Sasa hivi mkeo akichukuliwa na kukuacha na housegirl na mdogo wake wewe ukale wapi na kitu kimesimama usiku, unakituliza kwa neno bado kimesimama tu? Ukizingatia kuokoka kunamfanya asionekane kwenye viunga vya dada pooozi
  9. K

    Halima Mdee amlipua Mbunge Leticia Nyerere wa CHADEMA

    Mtu anaongelea hali ilivyo Kwimba, wa Dar es Salaam anarukia. Ni hayo hayo ya mwenyekiti wa Chadema Kwimba akimping Mwenyekiti Chadema taifa, anafukuzwa uenyekiti bila kujali alichaguliwaje. Ila yule aliyesemea na kusifia kwa mbwembwe kwamba katembea kote...na kusema mnyonge mnyongeni ila haki...
  10. K

    Uchaguzi Mwenyekiti Taifa CHADEMA Juni 29, 2014

    Sasa kwa habari hii utasema Riz alikosea kuwasema waandishi kama hawa, habari inaanza na mipasho tu
  11. K

    Sumu kwa ems kutoka korea

    Katika pita pita yangu Mitaani Leo nimekutana na habari za Waziri wetu kuagiza sumu Kali kwa njia ya EMS kutoka Korea. Haraka haraka nikaitafuta habari hiyo humu Naona imeishaoondoka. Ukiachilia Mbali madhara makubwa aliyoyapata aliyefungua mzigo pale EMS ili kuukagua, Swali ni kuwa kumbe...
  12. K

    Zitto tena kachafua hali ya hewa bungeni

    Dhambi ya pesa za Barrick zitaendelea kumtafuna mpaka kifo
  13. K

    Masha athibitisha Vijana wengi hawaipendi CCM

    Mshahara wangu umesomesha watoto ??? Ni lazima uwe Mbunge kufanya hili? Hivi kazi ya Ubunge ni ipi? This is too cheap, kwani kwa biashara zako tu ungeweza kusomesha watoto wengi zaidi ya hao Mr. Masha, well kubali kuwa ulishindwa kuzikonga nyoyo za wakazi wa Mwanza, next time if there will be...
  14. K

    Mahakama na kesi za UHUJUMU UCHUMI (UFISADI)!

    Bunge linaongozwa na CCM, Mahakimu wanachaguliwa na Uongozi wa CCM, Polisi, PCCB na wengineo ni Waajiriwa wa CCM, Na NAPE ni kiongozi wa CCM. Hivyo basi ufumbuzi kwa sasa hivi uko CCM YEEEEEEEEEEEEEE
  15. K

    Zitto Kabwe: The Bottom 30m

    People in mining areas are also poor because of the ‘oppositionpoliticians' like Zitto who earned recognition as a local supporter to thepoint of being invited by people affected by mines to be their representative,instead they use the opportunity to receivea generous financial...
  16. K

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Nilijua Wassira hatatoka salama JF kwa jinsi alivyomtandika Mbowe
  17. K

    Shibuda asisitiza yeye ni Rais 2015

    Shibuda mpaka atawatoboa tu mtake msitake
  18. K

    Polisi wapora maiti waliyoua kwa risasi mgodini Tarime

    Watawaaua sana kama hawaamuki, ukali kupiga wanawake tu halafu hao polisi na walinzi wa mgodi wanawaua kama SISIMIZI
  19. K

    Mhe. Wassira anapokua msemaji wa CHADEMA...

    Baba yako na Babu yako ni wazuri kiasi gani kwa nini wao wasiajiriwe hapo
  20. K

    namwachia house girl nyumba nimechoka

    Unamzidi kwa uzuri, unamzidi kwa usomi, unamzidi kwa akili, unamzidi kwa ku-socialize, unamzidi kwa kila kitu inakuwaje akuzidi 'hapo tu' ? Jifunze na ubadirike mwanamke usiwe jiwe
Back
Top Bottom