Search results

  1. S

    Mtu gani alikuja katika maisha yako alikusaidia na kuondoka

    Hakuwa binadamu wa kawaida, nguvu na maono kama malaika japo alikuwa katili sana na maamuzi kama ana moyo wa chuma, hakuna zaidi yake Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni SI mwingine ni JOHN POMBE MAGUFULI
  2. S

    Kwanini engine za Toyota zenye herufi zinazoishia FE zinadumu sana (roho ya paka)

    uko sahihi japo sijawahi itumia, lakini pia hakuna engine ya piston 3 inayodumu zote ni chamgamoto nadhani zinazidiwa na mzigo
  3. S

    Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

    Kwangu mm nasema "HAKIKA MUNGU WETU YUPO(YU HAI) BILA SHAKA YEYOTE PHYSICALLY AND EMOTIONALLY LAKINI HIVI VITABU TAKATIFU(VIWILI) TULIVYOLETEWA VINA UBINADAMU NDANI YAKE TENA MWINGI TU" USHAURI WANGU: TAFUTA NAMNA BORA YA KUWASILIANA NA MUNGU WAKO DIRECT hakika utanikumbuka.
  4. S

    Naombeni ushauri

    Wote walioshauri hapo juu wanasahau /kupitiwa kuwa kuna LAANA Mali ni zake japo kachuma na mama yako huna haki kuzikatalia Pia huwezi jua baba na mama yako mahusiano yana changamoto gani au mama nae anamapungufu huwezi yasema hapa au huyajui.. Ushauri wangu usithubutu kumtishia...
  5. S

    Watanzania tusiogope bali tuwekeze. Kuna Fursa za biashara zenye faida katika sekta ya mafuta na gesi Katika Taifa letu

    Kwa majibu hapa !! tokana na matusi hayo !!! hakika kweli wewe ni Meneja ulioiva unastahili zaidi ya umeneja, Hongera kwa Busara yako Bila hiyana muhudumie vema huyo mteja mtarajiwa wako ......
  6. S

    Tuache kudanganyana hakuna gesi iliyowahi kuuzwa na kusafirishwa kwa bomba kwenda nje ya Tanzania

    Kweli tayari nimeshachanganya naomba majibu sahihi ya maswali yangu kuhusu CNG na LNG ni ipi bora zaidi kwa magari ? gharama na pia magari ya CNG yataweza kutumia LNG ?
  7. S

    Tuache kudanganyana hakuna gesi iliyowahi kuuzwa na kusafirishwa kwa bomba kwenda nje ya Tanzania

    Shukran sana kwa hiyo elimu nimekuelewa vema Pia nimeona huko kwingineko dunian yapo magari ya LNG na CNG Je wale waliobadili gari kutumia CNG na baadae hiyo mitambo ya LNG kukamilika hayo magari yataweza kutumia hizo zote gas ? au itabidi kubadili tena kwenda LNG ? Na ni ipi...
  8. S

    Tuache kudanganyana hakuna gesi iliyowahi kuuzwa na kusafirishwa kwa bomba kwenda nje ya Tanzania

    Shukran kwa kutujuza, naomba kujua tuna aina ngapi za gas Mtwara ? Nasikia ipo LNG, kama ulivyotaja je hii inayojazwa kwenye magari huku Dar CNG inatoka wapi ? ni nini uhusiano wake LNG na CNG ?
  9. S

    Kwanini engine za Toyota zenye herufi zinazoishia FE zinadumu sana (roho ya paka)

    Kwa ujumla tu karibia engine zote za toyota hasa za petrol zinadumu sana nipe mfano wa engine moja tu ya petrol yenye matatizo isiodumu ?
  10. S

    Je, ni busara kujenga nyumba kwa milioni 150 kisha kukusanya kodi laki 6 kwa mwezi?

    Theory za wahasibu zinavyowadanganya, mbaya zaidi zinawaharibia maisha kbs, hadi aningia kaburini akiamini Ardhi pengine na nyumba zina appreciate in value, its a profitable ,Risk free Assets..
  11. S

    Siku ya sensa maduka ruhusa kufunguliwa?

    Mbona kariakoo baadhi ya watu wanakamatwa ?
  12. S

    Siku ya sensa maduka ruhusa kufunguliwa?

    SIKU YA SENSA MADUKA RUHUSA KUFUNGULIWA? Tafadhali wekeni wazi maduka mitaani ni ruhusa kufunguliwa leo? Tunajua wafanyakazi leo ni mapumziko je sector binafsi hasa mitaani maduka nini utaratibu?
  13. S

    Kilimo cha ndizi kitakachokupa matokeo bora

    shukran na wewe , na mimi ni mkulima tu wa kienyeji uzoefu tu sina taaluma hiyo
  14. S

    Kilimo cha ndizi kitakachokupa matokeo bora

    Madam kidogo uko nyuma, kwa sasa mashimo ya migomba ni futi 3 round dia., kina futi 2 na umbali wa shina na shina mita 2.5 to 4 tegemea na aina, migomba mirefu sana inahitaji nafasi pana
  15. S

    Kuweka ukomo uingizaji gari bandarini si sawa

    Ombi langu wafanye utafiti kwanza kujua yafuatayo: 1. Ni magari yapi(ya miaka ipi) yanayo tumika kwa wingi kuchangia uchumi kwa ujumla hasa jamii Fuso 1984, Dala Dala Hiace 1996, Nissan civilian zote zilizojaa Dar , mwz nchi nzima hakuna ya 2005 ukiipata leta nikupe zawadi...
  16. S

    Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

    Mbona siku hizi waislamu nao WANAMFUATA / NIWAFUASI WA YESU ! ! kila kukicha wanashinda kuisoma BIBLIA kuliko hata Quruan yao ? ? Tena waislam in future watakua wakristu bora sana kwa mujibu ya BIBLIA kwa maana ya bidii ya kuisoma na kuyatekeleza ipasavyo
  17. S

    Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

    Alifanya kwa vile wayahudi wenzake walivyokuwa wanafanya kwa mujibu wa mila na desturi zao (wewe unadhani ni uislam) ? Tofautisha dini na mila na desturi
  18. S

    Agricultural lime - Chokaa mazao

    Ndio bado tunaihitaji sana sana tupe bei, weka picha hapa na mawasiliano ya kibiashara.
Back
Top Bottom