Search results

  1. Jamani mbona si poa

    Kikwete safarini TENA!

    Hii nchi ngumu sana mwacheni mkuu akapumzike jamani halali eti usiku kucha anawaza jinsi ya kutatua matatizo yetu. Ila tunajadili na hili pia tutawapa taarifa.....teh teh teeeh!
  2. Jamani mbona si poa

    CHADEMA yazindua Mtwara kweli kweli

    teeeeteteteeeee teteteee
  3. Jamani mbona si poa

    Nimeamini Mwalimu Nyerere alikuwa anaona mbali sana...Tazama hii!

    Bado tunajadili hili la mwalimu! ila kwa ufupi kikao chetu kimesha kwama kwani mwalimu alikuwa ni wa pekee kabisa katika tasnia ya utawala wa nchi yetu. Na wakati anaondoka madarakani alisema wazi kwamba "Ni muda mrefu sasa nimekuwa napenda nipumzike kuuongoza nchi yetu ili kuwapisha wa tz...
  4. Jamani mbona si poa

    Bank Kuu Tanzania: vyombo vya usalama fuatilia mtu huyu Salva Kazimoto

    Kuna tetesi za baadhi ya maofisa wa BOT kujihusisha na rushwa kwa kutoa vibali vya biashara ya non banking kwa watu wanaokopesha watanzania wenzao kwa riba za juu sana na kuchangia umaskini kwa mtanzania. Pana mtu anaitwa Salva Kazimoto ndiye mhusika mkuu mla rushwa naomba vyombo husika fanya...
  5. Jamani mbona si poa

    Mimi kabla sijany'ongwa nakunyonga wewe - Balozi Kagasheki

    te te te teh tehh tehhh..... tunajadili bdo.
  6. Jamani mbona si poa

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    teteeeeeee te teteh! tunajadili na hili!!!!
  7. Jamani mbona si poa

    CAG ashauri Serikali ivunje ATCL

    Hata kama wataanzisha shirika jipya si kweli kuwa ndo litakuwa na tija. Cha muhimu ni serikali iamue kwa ukweli kwamba sasa wanalifufua shirika hilo kwa kugharamia mahitaji yake yote ya mtaji mpya wote unaohitajika na madeni yake yote yalipwe. kuwepo na usimamizi na ufuatiliaji wa karibu wa...
  8. Jamani mbona si poa

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    Aende hatumtaki ndani ya ccm na walionyuma yake waende tunawajua wako wengi tu kwani wao ndio sababu yha ccm kushindwa chaguzi mbalimbali nchini.
  9. Jamani mbona si poa

    Tanzania: Tatizo la ajira kwa vijana ni kubwa sana, lisifanyiwe masihara!

    he is wasting his time.........EL is a time bomb himself....
  10. Jamani mbona si poa

    Nyerere: Tunataka mtu anayejua kuwa huko ni upumbavu na ni hatari

    duuu eeee bwana mzee ni noma sema ndo ivo tena
  11. Jamani mbona si poa

    Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

    eeeeeh duuu ayaaa wee Kinani?
  12. Jamani mbona si poa

    Angalizo hukumu jimbo la segerea.

    haya bana cdm, ingawa si pouwa kabisa yaani ccm hatuna chochote tunafanya kweli? tunajadili....
  13. Jamani mbona si poa

    Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    ccm twajimaliza wenyewe kwa kesi hata kama tunashinda mahakamani tuna wapromote cdm bureee. tumekweishaaa.
  14. Jamani mbona si poa

    Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    ccm twajimaliza wenyewe kwa kesi hata kama tunashinda mahakamani tuna wapromote cdm bureee. tumekweishaaa.
  15. Jamani mbona si poa

    Vicent Nyerere nenda kampeni tena ARUSHA

    ccm twajimaliza wenyewe kwa kesi hata kama tunashinda mahakamani tuna wapromote cdm bureee. tumekweishaaa.
  16. Jamani mbona si poa

    Mukama amtetea Lusinde; adai alikuwa anajibu mapigo!

    ------------------------------- upuuzi kabsaaaa......
  17. Jamani mbona si poa

    USHAURI: Si lazima ufe mwana CCM!

    Umenena hebu tutodokeze masharti yenu kabla hatujahamia CDM
  18. Jamani mbona si poa

    Wazee wa CCM hatarini

    Nawaomba wazee wa ccm wanaohisi chama kutofanya vyema kutokana na malengo ya uanzishwaji wake wajitoe ccm kuwekea mkazo kwa vitendo kama ishara ya kulazimisha mabadiliko ndani ya ccm.
  19. Jamani mbona si poa

    CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

    Kwakweli inabidi tuendelee kumshauri mwenyekiti wetu mheshimiwa sana Kikwete ili tuweze kushindana kwa uwazi na kwa uhakika na wapinzani wetu wakuu Chadema. ki uhalisia chama chetu cha mapinduzi kinahitaji mabadiliko katika falsafa nzima ya itikadi kwa umma,siasa zake katika jamii na utumishi wa...
Back
Top Bottom