tusimhukumu kanumba huyu binti ni muongo sana hata polisi aliwadanganya umri anasema ana miaka 18 ili aonekane ni mkubwa kisheria!inawezekana kabisa alimdanganya hata umri kanumba,ikiwa alikuwa anaendesha na gari na leseni anayo alikwezaje kuipata hii leseni kama hakudanganya umri,yaani ana...
kwanza huyu baba wa lulu naye awe na hekima ni baba gani anashindwa kumpeleka binti yake shule akapate elimu? Eti alitegeme kanumba ndio awe mwalimu wake wa kumfunza!!!kumfunza nini? Wewe umemtelekeza mtoto kajiamulia kujilea mwenyewe nahiyo ndio ajira na matunda aliyovuna ndio hayo.
Pili...
tuwe makini tunapoleta habari JF! nini unachotueleza hapa yote tunayasoma ktk magazeti hata clouds walimuweka hewani Msipi na isitoshe Shibuda alishasoma barua ya baba yake kanumba.
Sidhani kama ni sahihi kutumia matunda kama ndimu au limao kujisafisha uke kwani yale matunda ni makali mno na yanaweza kusababisha michubuko sehemu za ukeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.