Search results

  1. S

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Regia mtema ebu peleka na hii ya kero za pantoni. kwa maelezo zaidi soma kwenye jukwaa la siasa sms yenye heading MAWAZO YAKINIFU KUHUSU KIVUKO (MV MAGOGONI NA MV KIGAMBONI) Chonde Chonde fanya hivyo tafadhali.
  2. S

    Mawazo yakinifu kuhusu Kivuko (MV kigamboni na MV magogoni)

    Nadhani chimama nitakutafuta tuunde tume ya ku draft barua nzuri na kuifikisha mahali husika.kwani hizi ni dhama za uwazi na ukweli. tutaenda na kujitambulisha na kufikisha malalamiko yetu kama abiria. kwa sasa tuwape muda. kama hakuna mabadiliko tutajipanga kijana. Kero kwenye pantoni zimezidi...
  3. S

    Mawazo yakinifu kuhusu Kivuko (MV kigamboni na MV magogoni)

    Ndugu yangu zaleoleo acha uvivu. si kushangai kwani ndio utamaduni wetu waafrika. (wavivu kusoma sana) Hapo katika message kuna vipengele vifuatavyo. kwa kifupi, maelezo zaidi,nini kifanyike na maoni namba. we soma unachotaka kusoma ukiona hujaelewa kuna maelezo zaidi au huna mda tafuta sehemu...
  4. S

    Mawazo yakinifu kuhusu Kivuko (MV kigamboni na MV magogoni)

    wahusika mnayapata kweli haya??
  5. S

    Mawazo yakinifu kuhusu Kivuko (MV kigamboni na MV magogoni)

    :welcome:Habari zenu wadau, Napenda kuchukua nafasi hii, kutoa maoni yangu kuhusiana na pantoni zetu za Dar na hata za mikoani. Wahusika mpatapo mawazo haya ni vema mkayafanyia kazi kwa yale mtakayoona yana tija. Maoni 1. wahusika ni vyema kutoa elimu ya kuyatumia jaketi okovu(LIFE JACKET) na...
Back
Top Bottom