Search results

  1. lusubilo lucas

    Hivi kwanini Lowassa anachukiwa na viongozi wa CCM?

    Hivi kama wewe nimffuatiliaji mzuri wa vyombo vya habari na mambo ya taifa lako unaweza kusema Lowassa sio Fisadi, Au unaougonjwa wa kusahau au una maslai binafsi, tuambie ni kazi gani ambayo Lowasa amechapa? Kashfa ya richmond ni moja tu amehusika katika mambo mengi ya kulihujumu taifa hili
  2. lusubilo lucas

    SAMSUNG GALAXY TABLET 10.1 BEI ni 450k

    Bei~450k contacts~0779142033
  3. lusubilo lucas

    Hp elitebook laptop bei naafuu

    hp elitebook 6930p ina webcam ram 2gb hhd 120gb processor 2.4 price~~370,000 contacts~~0779142033
  4. lusubilo lucas

    Samsung galaxy tablet 10.1 bei nafuu

    samsung galaxy tablet 10. Used but in good condition supports simcard 16gb internal memory inakubali whatsapp,viber........... Price~~550,000 contacts~0779142033
  5. lusubilo lucas

    Vunjo la bei mwezi wa chrismas

    samsung digital camera es95 price---170,000/ megapixel 16.1 2 years warranty contacts--0779142033 kwanini ununue sasa 1. Bei ndogo ukilinganisha na bei kwengine ni zaidi ya laki mbili 2.kila siku unayo ishi iwe shida au raha haiji kujirudia hivyo ni vizuri utunze kumbukumbu zako na wale...
  6. lusubilo lucas

    Used camera bei nafuu

    7x digital zoom
  7. lusubilo lucas

    Used camera bei nafuu

    model:hp photosmart 945 5.3 megapixel auto focus 8x optical zoom price: 180,000/= contact: 0779142033
  8. lusubilo lucas

    Bei nafuu vifaa vya stationary

    hp printer 4 functions(print,copy,scan and fax) officejet 4500-----350,000/= usb flash lg,sony,trascend 2gb------------------------------------------7000/= 4gb------------------------------------------8000/=...
  9. lusubilo lucas

    Jipatie bidhaa za electronic kwa bei nafuu

    1. LAPTOP (Elitebook 6930p ,HHD-250GB)-----------------------------------------600,000/= 2.FLASH 16 GB---------------------------------------------------------------------25,000/= 3.FLASH 8 GB----------------------------------------------------------------------10,000/= 4.FLASH 4...
  10. lusubilo lucas

    Taarifa: Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF)

    Tusaidiane wakuu Jina la saccos na mahali zilipo tuchangamkie hizi fursa
  11. lusubilo lucas

    msaada wadau nahitaji laine ya tigo pesa

    call me 0714918741
  12. lusubilo lucas

    Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

    Vijana tuwe wise mama porojo amebandika barua na anaomba uchunguzi ufanyike na uongozi wa chadema kwa manufaa ya watu wa arusha na kujenga uongozi bora ndani ya chama cha chadema.kwanini tunadakia kuanza kupinga haraka.kama mtu ameleta tuhuma basi zichunguzwe kiundani ili ukweli uwe wazi.Ni...
  13. lusubilo lucas

    Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

    Mkuu umekuja na hoja nzuri kama tunataka kujenga chama imara pinzani ni lazima tukosowe pale inapohitajika inanishangaza sana kila anaekosoa eti gamba.Maana ni njia moja ya kukosoa kwa nguvu ndio itaonesha kwamba watu wako makini ata viongozi wetu watakuwa makini zaidi.PEOPLES GET THE LEADERS...
  14. lusubilo lucas

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Unajua waislami mjirekebishe sana mi nimejaribu kufuatilia maisha ya waislamu waliosoma na kufanikiwa kimaisha ni watu wazuri sana nimekaa jirani na muislam kutoka iran alikuwa mtu mzuri na alikuwa anahimiza watoto wake kwenda shule sana sio madrasa sana,saizi ninaishi na waislam wa Iraq wote...
  15. lusubilo lucas

    Leo ni siku ya kukumbuka kifo cha hayati Mwalimu J.K. Nyerere

    wewe ndio tukuulize unafanya haya kwa maslai ya nani? kila mtu mwenye akili timamu anajua Nyerere ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo watanzania
  16. lusubilo lucas

    Israel fingerprints all over 9/11 attacks: US lawmaker

    Unaweza tusaidia kama habari hizi ni za kweli kwanini israel walifanya hivyo?
  17. lusubilo lucas

    CHADEMA imeonyesha udhaifu kuongoza nchi, ijipange upya

    Watanzania pale ambapo chadema inakosea ni vizuri kuikosoa ili kujenga chama imara,ndio hatuwezi kuringanisha ccm na chadema ila tuwe wise kukosoa pale panapotakiwa kukosolewa.ndio hatuwezi kuipa ccm madaraka lakini ni lazima tuikosowe chadema kwa nguvu kwasababu kwa sasa hatuna kimbilio
  18. lusubilo lucas

    Waandishi wa habari uhuru gani zaidi ya huu???

    unaweza kutoa sababu kwanini gazeti la mwanahalisi limefungiwa?hadi mwandishi wa habari anauliwa kinyama wewe ulioni hilo. unamatatizo makuba sana kwenye ubongo wako wewe
  19. lusubilo lucas

    wapi ntaapply bachelor of science in chemistry?

    Unaweza kufanya kazi viwandani,mashirika ya viwango km tbs,na sehem nyingine ambako chemistry inakuwa applied
  20. lusubilo lucas

    Ungefanya nini ukiwa Rais wa Tanzania kwa mwezi mmoja?

    Hivi ww kwenye mjadala kama huu wa kuelimisha kweli ww unachukua nafasi kuandika upumbavu au laana inakutafuna au ushetani wako,hali ya nchi inatisha wewe unakuja kuandika ujinga hapa
Back
Top Bottom