Search results

  1. Silver Rock

    Mgomo wa madaktari unachochewa na chama Pinzani-Gazeti RAIA MWEMA

    Sidhan kama hilo ni sahii kila mtu anaomba maslahi yake. Yawe juu sidhan kama kuna shinikizo la wapinzani Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  2. Silver Rock

    CCM kujibu mapigo dhidi ya CHADEMA?

    mnahangaika nyie NYINYI M kama alivowaita Sugu...tatizo sio chama hapo...chama ni kizuri ila watendaji wake ni wabovu kuanzia mwenyekiti wa taifa msanii..mpaka mwenyekiti wa kata wa NYINYI M ni msanii.....badilikeni kwanza ndo muanze kushindana na CDM
  3. Silver Rock

    Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

    hakuna ulichosema hapo, hakuna sababu za msingi
  4. Silver Rock

    Nape Nnauye: Tumehujumiwa..

    mfa maji haishi kutapatapa....pamabana NAPE ila ukweli ni kuwa mmechoka:smile-big:
  5. Silver Rock

    Siri ya kushindwa CCM Arumeru Mashariki

    sio hilo tu pia sera mbovu za CCM kuendelea na mambo yao ya kuwa na siasa ya kizamani....
  6. Silver Rock

    Tido Muhando

    mi naamini Tido ni mtu anaesimama kwenye ukweli na si mtu wa kuyumbishwa kama bendera inayofuata upepo,ukifuatilia kwa makini kwa nini Tido katoka TBC utagundua kuwa ni kusema ukweli,kusimama kwenye ukweli,hana mtu wa kumsumbua mi ninavoamini kama umeamua kufanya kazi basi fanya kazi kazi bila...
  7. Silver Rock

    Nasari jana jioni kata ya maji ya Chai ktk Picha

    vijana wakapige kura siku hiyo ili Nassari ashinde kwa kishindo,hawa mafisadi wataisoma namba
  8. Silver Rock

    Tido Muhando

    Tido muhando kuwa mkurugenzi mtendaji wa Mwananchi hapo ni kuikosoa serikali kuwa haikuwa sawa wakati inamfukuza TBC kisa yeye ni muwazi.....sasa hivi TBC vipindi upendeleo kibao hakuna ukweli kama alipokuwepo Tido Muhando.....ngoja waone mwananchi itakavo kuwa nzuri now, hakuna kuficha...
  9. Silver Rock

    JK anamuandaa Edward Lowasa kuwa rais mwaka 2015

    hii ni kali aise...mafisadi wataiua nchi hii...kila kitu bila pesa hakitoenda
  10. Silver Rock

    Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

    The boundaries and content of what is considered private differ among cultures and individuals, but share basic common themes. Privacy is sometimes related to anonymity, the wish to remain unnoticed or unidentified in the public realm. When something is private to a person, it usually means...
  11. Silver Rock

    Mgomo wa madaktari na kiburi cha watawala wetu, nani anaumia?

    siku zote masikini hapati haki yake bila kugoma....kwan walimu huwa wanalipwa madeni yao bila kutishia kugoma?
  12. Silver Rock

    Mgomo wa madaktari na kiburi cha watawala wetu, nani anaumia?

    mjinga ww hujitambui wala hujui kinachoendelea ushasema madaktari haraf unasema wajinga una akili ww?kama huna cha kusema kaa kimya co ku2andikia utumbo.
  13. Silver Rock

    Should abortion be legal or illegal in Tanzania?

    In Tanzania abortion is illegal, however the penal code only provides for attempting abortion under section 150 of the penal code provides for a crime on attempt to abortion, other countries eg. South Africa has declared abortion legal under certain circumstance especially if the pregnancy will...
  14. Silver Rock

    msaada:baba na mama wanapoachana na mtoto wa mwaka na nusu inakuaje?

    Mka aliyetoa ushauri hapo juu yupo corect na namuunga mkono,custody ya mtoto hawez pewa baba endapo mtoto bado ni mdogo chini ya miaka 7, ni lazima apewe mama hapo
  15. Silver Rock

    extention of time for revision to the High Court

    natafuta provision ya law kwa ajili ya kuomba extension ya time High Court kwa ajili ya kufanya Revision ya kesi iliyoamuliwa na District Court...maana ushapita mwaka mzima ambao ndo time limit ya kuomba revision according to MCA,,...
  16. Silver Rock

    Madaktari wamuweka JK kikaangoni! Ni kuhusu uamuzi wa kumfukuza kazi Dr Mponda

    Tatizo rais wetu usanii mwingi,hayupo serious na kila analofanya,timua tu hao sasa hapo nae sioni kazi anayofanya kama anashindwa kumfukuza mtu ambae analega mgogoro katika sekta ya afya....be serious kikwete
  17. Silver Rock

    Madaktari wamuweka JK kikaangoni! Ni kuhusu uamuzi wa kumfukuza kazi Dr Mponda

    nadhani ifike mahala viongozi wajifunze kujiuzulu wanapoona wameshindwa kumudu kazi wanazopewa maana mpaka watu wagome ujue hali ni mbaya kwa kweli
Back
Top Bottom