kaz ujuzi vyet mbwembwe. kama ni mimi boc naangalia utendaj wa kaz na ufanis wake kazin nakumtatulia tatizo lake ktk swala la lugha namwachia mwalimu wake
nilikua kituoni mwenge ghafla katokea trafik akamwita kondakta njoo alafu akaenda kwenye meza ya magazeti akachukua magazeti mawili akaondoka konda ndie mlipaji bila kupatana. je hii ni haki kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.