Search results

  1. ZE DONE

    Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja casablanca hawastahili kucheza soka la Afrika

    Ivi mashabiki wa simba wameiangalia hii mechi kweli
  2. ZE DONE

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Hivi hii imeisha au bdo
  3. ZE DONE

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Msimuliaji kapotelea kwenye magofu ya Rapta hakufanikiwa kurudi alivooenda kuusaka utajiri.
  4. ZE DONE

    Mikopo Kausha Damu ya Kimtandao

    Hapo ulikopa sh ngapi?😂😂😂😂
  5. ZE DONE

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Nadhani kaongelea kwa wakati uliopo na yeye ni muhusika mkuu hata alipo kua haulaga alikua anaongelea kwa wakati uliopo as if ni kitu kinachoendelea mda huu. Ni sehemu nyingi hasimulii kama ni wakati uliopita labda aliya nukuu matukio.
  6. ZE DONE

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Siku hizi unapotea sana huku.
  7. ZE DONE

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Mwandishi usibadilishe svipengele vya story yako kwa sababu ya coment utaondoa uhalisia itaonekaa ni ua kutunga wkend imeisha hujashusha mzigo.
  8. ZE DONE

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Mzee wa honey trap lete mambo hiyo
  9. ZE DONE

    Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

    Mtibwa je. Ila Yanga atabaki kua bingwa wa kihistoria
  10. ZE DONE

    Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

    Watakao shangilia hili ni wale ambao hawajawahi kulima ila kwa mkulima hili ni pigo kubwa. Kuna mwaka nililima nikawa nasubiri mda wa bei nzuri niuze kilicho nikuta sitaki tena kurudi shambani tena maisha yangu yote. Wakati wa mavuno gunia la mpunga liliuzwa sh55 nilisubiri miezi 7 badae...
  11. ZE DONE

    Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

    Kama unaweza kuwasiliana nae ebu msaidieni huyu dogo anapotea kakubari kua tambara la deki. Club imesha sema kwa maandishi kua kama anaondoka club zifike mezani ziweke bids basi hawawezi kataa offa zitakazo kuja.
  12. ZE DONE

    Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

    Kwa hiyo miaka3 alikubaliana nayo na sio aliwekewa bila kujua kama alivosema. Akae zake kitaa mpaka 2024. Na ile milioni 100 alio rudishiwa haitoshi kwenda cas au fatma karume kaimaliza yote.
  13. ZE DONE

    Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

    Mbona alipokua anatangazwa kua kasaini miaka3 alikua akichekelea kwa pembeni na hakulalamika. Au na kiswahili nacho hajui
  14. ZE DONE

    Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

    Na wakati wanatangaza yeye kakaa upande wa kushoto huku akichekelea labda na kiswahili nacho hajui
  15. ZE DONE

    Baada ya kuona hawana chao tena CAFCC sasa wanatambia Ufungaji Bora wa Mayele kama sehemu ya Kujifariji

    Kutoa top goal scorer na kufika finali mlisha wahi kujaribu? Ligi kuu tumechukua, shirikisho tuna medali, na meza imaenda kupinduliwa pale pale uarabuni. Azam tuna medali ngao ya jamii tulisha isahau haya wewe kolo una nini?
  16. ZE DONE

    Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

    Unaonekana una upungufu sana wa marafiki, inaonyesga unaishi maisha ya upweke sana. Ushauri kwangu jaribu kujichanganya hasa mda baada ya kazi sijui unapendelea vitu gani jaribu kadri ya utakavo weza kuwa na marafiki wazuri na wakweli itakusaidia sana.
  17. ZE DONE

    Kwakuwa Serikali haina dini basi Mapumziko yawe yanaanza siku ya kwanza ya kuswali Eid el Fitr hapa Tanzania

    Kabisa hata wanafunzi wanakuja kutuambia kama mwezi umeandama tusiende shule kama bado tuende hili tatizo la mda mrefu.
  18. ZE DONE

    Utata wa usajili wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya unatuambia sheria zetu za usajili zina mapungufu

    Anaruhusiwa kuongea na timu yoyote kwa sababu kabakiza miezi 6. Na anaruhusiwa pia kusign mkataba wa awali. Tanzania tubadilike kumpa mchezaji mkataba wa mwaka mmoja au miwili ni kujitafutia ugonjwa wa moyo kwa miaka hiii vilabu kama vinamwamini mchezaji vimpe angalau miaka3.
  19. ZE DONE

    Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

    Ivi neno mkuu limepoteza thamani siku hizi. Bwabwa lina thaman ya kuitwa mkuu?
Back
Top Bottom