Search results

  1. D

    Je, ni nini tofauti kati ya SMG na AK-47?

    Smg nasikia haiwezi kupenya kwenye bullet proof vest Ila AK47 nasikia inapenya
  2. D

    Usipunjwe tena nyama buchani

    Pia hata mawe yenyewe hata kwenye maduka ya mangi inua halafu geuza kwa chini utaona limechimbika makusudi ili iwe faida kwao. Jihadharini
  3. D

    Huduma ya meno bandia kwa Tanzania inapatikana wapi?

    Msasani Peninsula Hospital wanafanya, ukiangalia hata page yao ya instagram Leo wameweka picha ya hiyo kitu
  4. D

    Toyota Altezza Inauzwa 6.5 Million haipungui

    Toyota Altezza inauzwa, mwaka 1999, engine capacity 1925, silver color, leather seats, ipo Dar es Salaam, bei 6.5 million haipungui. Maelezo zaidi piga 0713399109 au 0765448488.
  5. D

    Altezza inauzwa 6.5 million haipungui

    Sorry, simu ninayotumia inapata shida ku-upload picha.
  6. D

    Altezza inauzwa 6.5 million haipungui

    Altezza namba C inatembea, iko vizuri bado. Haina tatizo. Bima kubwa, registration ipo kamili. Maswali na majibu yote utapata kwa simu namba 0713399109. Serious calls for serious buyers only.
  7. D

    Garden za kuchezea watoto

    Si nimeshasema hapo banana sitaki shari polisi,au ukonga banana hupajui?
  8. D

    Garden za kuchezea watoto

    CHE GUEVARA-II kwanini usiende Kwa Mzungu/Kiota? Kama unaenda Stakishari Polisi banana, garden swimming pool nzuri,namba zao sina bahati mbaya, bila shaka hutapotea.
  9. D

    Msaada wa mawazo, Please

    kina urefu gani kwenda chini? Slope kiasi gani bomba za maji taka inazo kuelekea shimo? Kwa maswali hayo nafikiri unaweza ukapata majibu
  10. D

    Inaudhi mtu anabipu alafu ukipiga simu yake iko bize mfululizo

    Sijui watu hawajui kuwa ukibipu mara moja inatosha mtu kuona na kukupigia akipata nafasi? Pia nahisi mtu akibipu huwa anaendelea kubipu mfululizo ndio maana simu yake inakuwa bize muda wote baada ya hapo. Kama hujui matumizi ya kubipu basi piga...
  11. D

    Msaada tutani jamani

    Mlipe huyo mlupo uliyemchukua corner bar, utamu umeonja alafu hutaki kumlipa?
  12. D

    Hospitali ya AMI iliyoko Masaki yafungwa

    Nasikia wafanyakazi wengi wamehamia ile hospitali mpya inaitwa MSASANI PENINSULA HOSPITAL, ipo msasani ile njia inatokea mikocheni Tanesco. Ipo mwanzoni huku upande wa Msasani ile barara ya ndani. Nina ndugu yangu ameanza kazi hapo juzi juzi ameniambia.
  13. D

    Mtuhumiwa wa Ugaidi Garissa ambaye ni Mtanzania aliogopa kujilipua

    Makachero wapo busy wanamhoji yule mchungaji wa kawe...
  14. D

    Malaika Band wavunjiwa vyombo bar ya White House Kimara

    Ilitokea wakati wateja walio lipa elf kumi kiingilio na kutomwona Christian Bella ukumbini. Wateja wacharuka na kuwapiga wakongo...
  15. D

    Je huyu ni nani?

    Huyo ni Illich Ramirez Sanchez. Kwa jina lingine anaitwa "Carlos" The Jackal, mwanaharakati wa dunia miaka ile na jasusi wa amani. Hatakuja kutokea kama huyu...
  16. D

    Ruge nini ulichomfanyia Q-chief?

    Ameacha wizi wa power window za magari pamoja na kundi lake?
  17. D

    Taja jina la huyu mnyama

    black panther mtoto
  18. D

    Shule Niliyompeleka mwanangu ndo hii

    kasingiziwa mtoto huyo, mtoto lazaliwa mchina...
  19. D

    Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

    Mimi siyo daktari lakini picha ambazo nimeziona hapo juu zinaonyesha glove za hospitali pamoja na pamba/gauze na vipande vya miili. Yawezekana wamekata kata vipande hivyo ili kupunguza ushahidi.
Back
Top Bottom