Search results

  1. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nipo umbali wa mita 140 kutoka kwenye nyumba yenye umeme, mimi nilipo nahitaji njia tatu kwa ajili ya kuendesha mashine, hii itagharimu kiasi gani?
  2. M

    Wakazi wa mkoa wa Kagera ni washirikina sana tofauti na tunavyowachukulia

    Mzee hili la Rutihinda kuzikwa Buguruni lifanyie utafiti zaidi, mimi huyu Gavana akifariki wazazi wangu walikua wanafanya kazi huko nakumbuka Ngara ilikua na wageni wengi walikuja msibani kutoka Dsm so I believe alizikwa Ngara. Kuhusu kujenga kwao you might be right or wrong, nyumbani kwao mpaka...
  3. M

    Bar ya Board Room inaungua

    Nina wasi wasi maombi ya walokole ndo yanatuletea hizi shida. Serikali iingilie kati.
  4. M

    Nachelewa kufika mwisho hata niendeshe vipi

    Nyie ndo mnatuharibia barabara mnatembeza magari hammalizi safari mnaacha barabara imejaa mipasuko tukija na magari yetu classic tunaishia kuvunja shaft za magari. Angalia aina ya oil unayotumia nyingine ndo hizo gari linaishia kutoa moshi tu, kama si hivyo badili gari haraka chukua chuma...
  5. M

    Kuna Tatizo gani benki ya CRDB?

    Benki ya kifala sana hii kwa sasa, wapo na huduma yao ya e-banking wanahimiza watu kujiunga ila bado wako zama za mawe hawa jamaa. Wiki jana nilitoka nje ya nchi kidogo nikataka kutuma chochote kwa familia hii "system"yao inagoma haitoi password, kutafta msaada kwao zaidi ya wiki mbili hakuna...
  6. M

    Kilimo kinahitaji uwekezeji mkubwa ili uone faida

    Anything, mention it. Matunda, mahindi, migomba, ufuta, mahindi...nk. Ni pori bado sijaweza kusafisha ila ni eneo potential sana na mto uko in less than 2km
  7. M

    Kilimo kinahitaji uwekezeji mkubwa ili uone faida

    Ninazo heka 50 karibu na mkata, kama vipi njoo hayo mawazo yako tupige partnership
  8. M

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita asimamishwa kazi

    Kwani ni lini Wakurugenzi wa Serikali hii wameanza kutumia Rav 4? Wananchi walishapiga kelele hizi V8 ziondolewe kupunguza gharama ila bado tunawaona viongozi kibao wanazo na mpya mtaani, huyu jamaa ameonewa tu kwa maneno ya mwanasiasa tena mwanasiasa mwenyewe kichwa kibovu. Hivi zile V8 za CCM...
  9. M

    Hongereni sana TAKUKURU ( PCCB ) kwa Kuvitaja Vyuo Vikuu vya UDSM na UDOM ndiyo Vinara wa Rushwa ya Ngono

    Hahahahaa...hii thinking yako inatosha kutujuza SAUT kinatoa watu wa aina gani
  10. M

    Recliner Sofa pure leather zinapatikana zikiwa na Warranty ya miaka 10

    Kwema? Sorry mnaweza kunilink na mtaalam wenu kuassemble recliners? Ninayo seti yangu bado mpy sema watoto wamerukia rukia zimelegea nahitaji kurekebisha
  11. M

    Kampuni ya Engineering/Land Surveying

    Hapana mkuu, nilirudi nchini nikawa kwenye harakati za kulianzisha nikapata mchongo mwingine kwenda nje ya nchi tena na sioni kama bado nina ndoto hiyo maana sijajua nchini narudi lini. Nilikuwa nimekuja na baadhi ya vifaa basic vimekaa tu home kwa sasa naviuza, siku nikirudi nitaangalia...
  12. M

    Rais Magufuli asaini sheria ya Watanzania kujipima UKIMWI wenyewe

    Hii safi sana! Steps za kufuata mpaka kufanya sex : 1. Natongoza, akikataa bye, akikubali next 2. Tunakutana kujipima eneo karibu na anapoishi ili majibu yake yakimpa kiwewe mimi nasepa jirani zake watashughulika, akikataa bye, akikubali next 3. Akiwa +ve bye akiwa -ve next 5. Kazi kazini,next...
  13. M

    Wema, kupungua mwili sasa basi. Utakuwa mifupa

    Huyu binti ni mfano halisi wa kutumika kuwafundisha dada zetu na watoto wetu wakike kutojivunia wala kuridhika na uzuri, girls are born with an expiry date, huyo ndo tayari jua limeshazama. History! Mitoto ya kike siku hizi ikishazaliwa na uzuri madreva bodaboda wakaanza kusifia na kuhonga...
  14. M

    Kubadili engine ya harrier 3.0 four

    Nia yangu si kufanya malumbano na wewe, haunijui na sikujui pia hivyo sina sababu yoyote kukudanganya na haininufaishi chochote. Wenye mawazo ya kujenga wamenipa na imesaidia, gari ilikuwa na faults. SIjui wewe reference yako ni gari gani lakini kwa ukubwa wa bodi ya Harrier na kama bado...
  15. M

    Kubadili engine ya harrier 3.0 four

    Asante, namtafta fundi sahihi nicheck hili
  16. M

    Kubadili engine ya harrier 3.0 four

    Asante kwa ushauri. Huyu Lege namcheck
  17. M

    Kubadili engine ya harrier 3.0 four

    Ndo hivyo, frustrating. Nitaufanyia kazi ushauri Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom