Search results

  1. A

    Kutoka Umasikini Morocco kuwa Waziri wa Elimu ufaransa

    Najat Vallaud-Belkacem - Wikipedia, the free encyclopedia
  2. A

    Kutoka Umasikini Morocco kuwa Waziri wa Elimu ufaransa

    amevaa soksi za nyavu nyeusi!!
  3. A

    Mnadhimu Mkuu

    Mnadhimu maana yake inaendana na neno nidhamu,kwa kawaida, ni mtu anayehusika na kushughulikia maadili katika sekta flani na kuweka kiwango katika majukumu mbalimbali(set standards, like how should army major behave? ,what are his responsibilities ? ,what disciplinary measures should be taken...
  4. A

    Nyerere alisingiziwa mengi sana

    Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, kwa msemo huu ningependa nipitie hoja chache tu alizotoa huyu mama Faiza Foxy kwa ajili ya kuupoteza umma ulio na Uvivu wa kufikiri manake Werevu sidhani kama wameshawishika na hoja zake zisizo na mashiko! Kwa kuanza na hoja ya kuwa...
  5. A

    Israel yaishambulia tena sudan

    they are all worthless to me,first of all ,they are all bunch of racists,we haven't forgotten they way white(Arabs) Sudanese were treating black ones,and now everyone sees the way Israel gov is treating black Jews!! I would have given more thoughts on Sudan,them being African ,but then i don't...
  6. A

    Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

    Wakati mwingine ni bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti,sisi kama Tanzania tuna haki ya kutoa maoni yeyote na pia tuna haki ya kusimamia kauli zetu kwa gharama yeyote la sivyo tutaendeshwa na next time watatuchukulia kuwa sisi ni big 4 nothing ,hii ni cold war na hakuna...
  7. A

    Kikwete, funga mpaka wa Rwanda ili EAC kieleweke!

    Naona hii ni fursa nyingine tunayo pewa watanzania ya ku exploit option nyingine zitakazotengenezwa na kutengwa kwetu,watanzania ni kama vile tulishasahau kuwa kuna nchi nyingine nyingi tu zinazo tuzunguka tunazo weza kuzitumia kwa faida yetu,ni wakati sasa wa kuingalia congo kama mshirika wa...
  8. A

    MREMBO SANA::KITOVU kikuubwa kama NGUMI.

    Ninachoshindwa kuelewa ni kwa nini mtoa mada ashambuliwe?ameanza kuelezea tatito,akafuatia na adha zake akamalizia na kutoa ushauri kuwa linatibika.Mimi baada ya hii mada ndo najua sasa kuwa linatibika kwa hiyo nimeelimika,tuzielewe mada tusiongozwe na hisia tu katika kujibu mada.
  9. A

    The Ponda Syndrome:- Kama Officially Sio Taifa La Wanafiki Basi We are Almost There!!

    I never thought i will one day support you le mutuz but what u say today isbthe naked truth! Kwa ajili gani watu wawalilie wachochezi halafu wema wasililiwe,wanasiasa ni wanafiki tena wanafiki sana ponda kupigwa risasi ni kosa ila mchochezi kuliliwa ni unafiki uliokithiri
  10. A

    Mjadala: Uchinjaji, vyakula halal nchini na vyanzo vya mgogoro dini

    Habari kwa wote! Kufuatia matatizo yanayoendelea nchini hasa katika swala la uchinjaji wa vitoweo na kukua kwa chuki baina ya Wakristu na waislamu ni dhahiri sasa ni wakati muafaka wa serikali kuchukua hatua thabiti kumaliza haya matatizo. Kwa upande wangu naona serikali imekua ikiyachukilia...
  11. A

    Nabaguliwa kisa dini na kabila

    Mi ninahoona hapo kuna kitu muhimu kinakosekana,love,kama love ingekuweka hivyo vyote ni vitu vidogo sana tumeona watu wakifanya mamb makubwa kwa love,my take wote hawakupendi ila wanakujali hivyo ni just a way ya kukwambia hapana!
  12. A

    Turn your limited gb harddisk into unlimited storage hdd.

    Niwazacho mimi wazo la notifeki au codes anaziongelea ni kitu kinachoweza ku be realised kwa sababu ishu inayohitajika hapo ni kutengeneza virtual memory ambayo ni tofauti na physical memory it is in this line of thinking Intel created the first multitask processor i.e intel processor of the...
  13. A

    Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

    nijuavyo mimi ss wanaume hata kama humpendi mtoto wa kike ni vigumu kuwaambia wengi huwa tunawaacha kama loose ball siku mamie wa ukweli amenizingua nakuja kwako kupunguzia machungu,kuwa muangalifu!
  14. A

    msaada bei za tablet za kawaida

    bei ya kawaida ina vary na quality ya kitu mfano samsung galaxy note with unique features kama processor quad core,s pen,os ice cream sandwich inauzwa 1.2 hadi 1.4mil kwangu ni ya kawaida manake ningetegemea iwe xpensive zaidi ya hapo
  15. A

    Chausiku Huyu HAPAAAA

    Kwa wale waliowahi kusoma Song of Lawino huyo ni clementine
  16. A

    ni halali birthday kupita kimyakimya nami nna mpenzi

    punguza presha,kwa watu wengine kama mimi bday ni minor issue sijawahi kukumbuka birthday yangu,most of the time friends ndo huwa wananikumbusha,sasa ya mtu mwingine ndo basi tena
  17. A

    hivi hii kitu inawezekana camera kwenye PC

    inawezekana kinachohitajika ni kununua external camera ambayo inakuwa na usb cable yake na pia una download driver zake kazi inakuwa imekwisha
  18. A

    Nimezaa naye kaniacha naomba ushauri.

    what unite people in marriage bond is love not the history,it seems what you had with that mama ya mtoto wako ni history tu,She has made a wise decision ya kukwambia hawezi kuishi na wewe kuhusu mtoto mnatakiwa mjadili kuhusu partenity issue ikishindikana ndani ya family level mnaweza kwenda...
  19. A

    mtoto wa kihindi msaada

    Just mpe dedication ya kuch kuch hotaye kama intro!
  20. A

    Yupi anayesema ukweli kati ya hawa watoto?

    wote wamesema ukweli, aliesema ni gold mine amepatia na ka boy kamepatia kakija kusomea uchumi kataelewa zaidi maanake kwenye Mgodi ili tutoe dhahabu tunahitaji investment(ndo hapo katoto kanasema baba'ake anasema hela yote huenda huko)
Back
Top Bottom