Search results

  1. I

    Biashara za kuagiza vitu China

    Yeye ndio abishe hapa. Iko siku yako, hata kabla ya kupigwa kwangu kuna ambao alikua anawaagizia na kuwafikishia.
  2. I

    Biashara za kuagiza vitu China

    Mi namtaka anayeweza niagizia jiko la aina hii https://www.aliexpress.com/i/4001297186870.html
  3. I

    Biashara za kuagiza vitu China

    Kuwa makini mkuu, kwanini asiweke hadharani? kuna matapeli humu wana ID za kila aina.
  4. I

    Biashara za kuagiza vitu China

    Mkuu ni kweli, mimi personally nimetapeliwa na mwl RCT, zaidi ya laki 5, akibisha niweke ushahidi humu.
  5. I

    #COVID19 Mzee Makamba: Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki. Lazima wajue uhuru wao unaishia Bungeni

    Isingekua wale wabunge wa covid 19, barua yao ya kufukuzwa ingekua inazurula mitandaoni.
  6. I

    TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Mkuu mimi sina sababu ya kumchafua, nilichoongea ni ukweli mtupu, ushahidi upo. Vinginevyo ningekuchafua hata wewe kwa tuhuma yeyote ya kutunga.
  7. I

    TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Wewe unamjibia kama nani wake?
  8. I

    Msaada nimepoteza ladha ya chakula na harufu

    Itakua upo kwenye dozi flani, kama ni ivo ni kawaida.
  9. I

    TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Mkuu kwanini sijakusingizia wewe? Na nimchafue yeye ili nipate faida gani?
  10. I

    TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Mimi ninachotaka ni refund ya hela uliyopata. Kwanini hunilipi na kwanini umeniblock? Tapeli yeyote anaweza weka au kujifichia kwenye hizo link. Na mbona hukunijulisha kwa email au simu kama kuna hilo tatizo mpaka nilivyaanza kukuanika humu?!
  11. I

    TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Mkuu Salam. Mwl.RCT amenitapeli zaidi ya laki 5 na nusu kupitia huu uzi wake kwa kisingizio cha korona, na hajanirudishia refund. Cha ajabu mnauachia huu uzi wake Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa uendelee, na kuna watu kadhaa nimeona wakimlalamikia. Ninaomba...
  12. I

    Nina miaka 43 na nimeshajenga, tatizo ni gari

    Naomba kujua jisnisa yako.
  13. I

    Kuna haja gani kumtazama marehemu ikiwa tunamfahamu na tumeishi naye miaka mingi kabla ya kifo?

    Hata marehemu huwa anapungiwa mikono akiwa kwenye jeneza lililofunikwa, je huwa anaona?
  14. I

    Naomba ushauri: Nichukue ipi kati ya Redmi Xiaomi na Samsung?

    Naomba contacts za Duka la Kenya.
  15. I

    Kwanini huwa tunahama usiku?

    Ivi wajuba wakuone na lg smarttv 75'' utakua salama kweli, afu unahamia uswahilini!
  16. I

    Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

    Wanawake huwa ukweli mnauita ni udhalilishaji.
Back
Top Bottom