kilio cha wengi wetu cc wanawake ni uzinzi ulopitiliza kwa wanaume mengine yote yanazungumzika wanaume mmeumbwa mwanaume mmoja awe na wanawake 10 shida inaanzia hapo kwenye maumbile, hako katabia ni ka maumbile shida si usomi, kama unaona mkeo msomi anakusumbua watoto wako wa kike piga chini...
Huu mradi mi naona kama kuna watu wazito wameweka pesa wamenunua mabasi hayatoshi, hayatengenezwi, management inashindwa kufanya maamuzi wenye magari yao hawasemwi hawashauriki mradi unabomoka hawapewi mshindani nissssiiiida!!!!!!!!!
Naomba usimdisqualify aliekosea grammer, I am worried atadisquaify hata wanaokosea grammer, my dear sawa unachofanya ila hii plaform sijui kama itakupatia the right man
Kwani yeye hana kasoro zake, wanaume kuweni wastaarabu, Ikishaitwa ndoa maan yake watu wawili wa jinsia tofauti wanaopendana wanaoana, kasoro kasoro lazima ziwepo sababu hao watu wazazi wao ni tofauti, mazingira waliyokulia (familia, shule na mtaa/mji/mkoa) ni tofauti na pengine shule walizosoma...
Kama umesoma we tafuta kazi kimya kimya tu usimwambie kama unatafuta kazi, ukipata ataamua mume au kazi, siku nyingine utajua kama maharage pia yanaweza yakawa chakula yakapikwa yakatiwa nazi na sukari watu wakala na uji au chai, shen.. taip!!
Hongera umekuwa muwazi, wanaume wengi hilo linawaokea sana, pole sana, ila kwa mwanamke ukishazaa ile load ya kubeba mimba inaacha scar ya tumbo kubwa, especially kama mama alizaa kwa kisu au alilishwa vizuri alipokuwa amejifungua ama hakufunga tumbo. Kwa watoto watatu kuzaa peke yake kunaharibu...
mh, nahisi kama kaka haongei maneno matamu mdomoni mwake, nahisi lakini, ni kulalamika tuuuu, domo la kumnogesha bidada limejaa zege, I insist, I THINK!!
mnapenda dharau!, huyo bado mtoto, anachofanya km ni kweli anaiga lakini she is very cute, african lips, calling eyes, v shaped face, natural color black beaty!!!! akichukua mwenzio akitengeneza u will be the first kusarandia, am smelling mwanaume suruali around the corner!
Sasa wale waliofanya mitihani kisha ikafutwa walirudia ili kupata acerage alafu wafutiwe au??? aona average zao kama zimeingizwa kwenye data halafu wanafundi ndio wakafutiwa majibu! Ngashoka kabisa!!!!1
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.