Search results

  1. GIB

    Siri yafichuka: Picha ya Mwigulu Nchemba na mgombea udiwani wa CHADEMA Elerai

    Naamini Mod anatenda haki kwa wana jf. nainajulikana wazi kuwa mtu akileta taarifa za uongo anastahizi zawadi ya ban. hivyo tunaomba wote waliaanzia habari ya mgombea wa CDM kuamia CCM apate ban.
  2. GIB

    Ni kipi kinawapa ujeuri wabunge wa CHADEMA?

    yule kibajaji alikuwa anatoa maziwa na asali. akinya kanya kuku akinya bata kaarisha. majitu mengine bwana ovyoooooo. kweli kuna watu na viatu.
  3. GIB

    "Askari mmoja alirarua gauni langu, nikabaki uchi mbele ya baba”

    kweli tunapo elekea karibuni tutafika. watu hawana hata chembe ya huruma. Mungu naomba uwajeuze wao waliompiga huyo dada pamoja na baba yake wawe mawe ya kusagia. wote tuseme ameni
  4. GIB

    Tabia ya chadema kukumbatia na kuwatetea wahalifu kwa ku pre empty mahakama

    naogopa ban ila ningekuambia neno ambalo ungelikumbuka maisha yako yote.
  5. GIB

    WAZIRI MKUU PINDA: Maiti wote wa mlipuko wa Bomu watazikwa na Serikali!!

    je maandamano yamefika sehemu gani na mimi ni kajoin? mimi nipo hapa karibu ns Greenland resort hotel. nayasubiri kwa hamu. leo na hamu ya kubigwa bomu la machozi na maji yanayowasha, nijikumbushe miaka ile nikiwa UDSM. hasa tarehe 19/4/2004 pale mbele kidogo ya geti dogo la chuo cha aridhi...
  6. GIB

    Waraka wa CHADEMA-UK kwa Rais, Mabalozi, Taasisi za Haki za Binadamu

    Asante sana. hadi kieleweke
  7. GIB

    kwanini CHADEMA wameshikwa na kigugumuzi???

    soma hii useme nini msanii Mboye au serikali yetu? au nawewe nimiongoni wawale machiz---i wanao vaachupi kichwani kisha wanajisifia . tafakari Majeruhi mwingine, Abdallah Hilali (39), aliyelazwa katika Hospitali ya Arusha Lutheran Center, amedai kuwa majeraha aliyopata miguuni yametokana na...
  8. GIB

    kwanini CHADEMA wameshikwa na kigugumuzi???

    hii ndiyo Tanzania bana ni zidi ya uijuavyo.
  9. GIB

    kwanini CHADEMA wameshikwa na kigugumuzi???

    Mbona haya huku yasema? kama wewe siyo mnafki na mchakubimbi tena mbeyaaa sana tu. %^)&_&_- yako. Majeruhi mwingine, Abdallah Hilali (39), aliyelazwa katika Hospitali ya Arusha Lutheran Center, amedai kuwa majeraha aliyopata miguuni yametokana na kupigwa risasi na polisi na kudondokewa na...
  10. GIB

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    natamani ukubali kuwa ccm inazidi kupoteza umaarufu miongoni mwa wa tz. kwahiyo msijiite baba wa democrasia. kwani naamini unajua ccm inasaidiwa na watu wangapi. hivyo siyo kitu cha kujizunia kabisa. naukumbuke daftari la kudumu la wa piga kura halijawa updated tokea 2010.
  11. GIB

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Ndugu Tz tuna fuata just simple majority. Ila shida yangu nataka kujua kabla ya leo hizo kata zilikuwa zinaongozwa na chama gani. just like that
  12. GIB

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Asante kwa taarifa. naomba ufafanuzi zaidi kwenye hizo kata 15 mwanzoni zilikuwa zinaongozwa na chama gani? pia hizo 5 za CDM mwanzoni zilikuwa chama gani baada ya hapo ndiyo tutaweza kusema chochote.
  13. GIB

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    ushindi wa taifa star vs Ivory coast
  14. GIB

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Naamini ulikuwa unamaanisha kugaragazwa huku.
  15. GIB

    Asante serikali kwa bajeti yenye kulenga zaidi walala hoi!!!

    wewe ndugu mbona unanitafutia BAN bure. sitaki kubigwa ban ila kwahizi kauli zako nitakubali ban.
Back
Top Bottom