Search results

  1. F

    Update ya mkutano wa wanahabari na Mh. Magufuli

    Habari wadau! Nilisikia kuwa Mh. Waziri wa Ujenzi leo atafanya kikao na Wanahabari pale Idara ya habari maelezo kuanzia saa 3 asubuhi, please naombeni updates kwa mlio karibu
  2. F

    Waziri Mwakyembe tizama na huku pia

    Habari wana JF. Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa mawaziri katika serikali ya Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, ni ukweli usiopingika kwamba waziri mwenye dhamana ya uchukuzi Mh. Dk Harison Mwakyembe ni miongoni mwa watendaji bora kabisa wenye uwezo wa kuchukua maamuzi pale inapohitajika. Ni ukweli...
  3. F

    Mgogoro kati ya Waziri Kagasheki na H.shauri ya Manispaa ya Bukoba.....kila mara Dr. Slaa anatajwa

    Ni kweli Dk, Slaa ametajwa sana katika mkutano wa Mh. Kagasheki. Nimegundua kwamba Dk Slaa ni tishio na anarekebisha uozo. Ushauri wangu kwa Wanakagera, wasawazishe tofauti hizi kati ya Mbunge na Meya kwani hazileti tija yeyote kwa maendeleo ya Bukoba na wananchi wake. Kwa mwenye taarifa eti ni...
  4. F

    Watanzania na umasikini wetu

    Habari wana JF. Nimetafakari kwa kina sana juu ya huu umasikini wetu unaotukabili Watanzania kama taifa na kama Mtanzania mmoja mmoja. Umasikini huu unaotukabili ni wa aina 2, umasikini wa kwanza ni ule wa kujitakia wenyewe na mwingine ni ule wa kupandikizwa. Umasikini wa kujitakia ni ule...
  5. F

    Mh. Dk Mwakyembe chukua hatua

    Habari wana JF. Kwanza nianze kwa kukupongeza Mh. Waziri kwa hatua ambayo umeanza kuichukua, yaani hatua ya kuongoza wizara kwa kutoka Ofisini na kutizama matatizo ya wananchi yanayowakabiri yaliyo chini ya Wizara yako, kwa kweli hiyo ni hatua nzuri kabisa. Kwanza kabisa ulianzia pale TRL...
  6. F

    Simba na Nyoso

    Habari wana JF, nafuatilia kwa makini kipindi hiki cha usajili wa wachezaji wa timu zetu kuelekea msimu mwingine wa ligi kuu ya Tanzania kwa timu zetu hizi za Bongo. Ukifuatilia kwa kina utaona vyombo vingi vya habari vinatupia macho klabu kubwa za Yanga na Simba na sasa kwa kiasi fulani klabu...
  7. F

    Lowassa aongoza kamati ya bunge ziarani-Morocco

    Two things to be done; 1. Picha hizi ni za lini? 2. Ni lini pia alipitishwa airport kupelekwa kwa matibabu. Tukiyajibu haya nadhani tutasonga, kuumwa ni suala la dharula, unaweza kuwa mzima sasa na baadae ukapatwa na ugonjwa.
  8. F

    Sherehe za Mei Mosi Tanga, JK mgeni rasmi

    Don't be ignorant of politics, things are now on the other stage bro
  9. F

    JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!

    Kaka William, ni dhahiri kwamba unaweza ukawa na mtizamo mzuri sana dhidi ya taifa lako. Sina hakika ndani ya CCM kama watakupitisha kwa namna ambayo kuna makundi yanayohasimiana kisiasa ndani ya CCM. Sasa jina lako tu yaani Malechela, linaweza likakuweka katika kundi ambalo pengine nguvu yake...
  10. F

    Msimamizi wa uchaguzi Arumeru anastahili

    We need people like Kagenzi! Big up, mzee Mungu akupe maisha marefu kwa kuepuka vurugu ambazo zingeweza kutokea kama haki na sauti ya Wana Arumeru ingepokwa.
  11. F

    Clouds na Matusi ya Lusinde inamaanisha Nini?

    Kama uliwasilkiliza vema walikuwa wakishangilia kwa kubeza na kuonyesha ujinga wa Mh. Lusinde. Lo! aibu yake na aibu yao pia.
  12. F

    Maneno ya mh. Nasari leo asubuhi tbc

    Jamani asubuhi nimekuta katika TBC Mh. Mbunge mteule Joshua Nasari akizungumza mara baada ya matokeo kutangazwa rasmi. Wadau kwa anayeweza kutukumbusha alisema nini? Please post tuyaone.
  13. F

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Jamani asubuhi nimekuta katika TBC Mh. Mbunge mteule Joshua Nasari akizungumza mara baada ya matokeo kutangazwa rasmi. Wadau kwa anayeweza kutukumbusha alisema nini? Please post tuyaone.
  14. F

    Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

    Mh. Lusinde kwa kweli hajajidhalilisha yeye mwenyewe tu. Amekidhalilisha chama cha mapinduzi, amemdhalilisha mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Mh. Dk Jakaya M. Kikwete, ama kwa hakika mtu huyu hafai kabisa. Jamani naunga mkono hoja sheria ichukue mkondo wake, ama la! hata chama cha mapinduzi...
  15. F

    Hodi hodi waungwana!!!!

    Karibu jamvini kaka/dada!
  16. F

    Vincent Nyerere ateuliwe mkurugenzi wa kampeni na oparation CHADEMA

    Kwa hali ilivyo sasa katika Tanzania hii inayofunguka hata wakikupeleka wewe ukawe Mgr wa kampeni hautashindwa matatizo ya wana wa nchi hii yako mengi kaka, ni kushambulia tu.
  17. F

    ....Hivi manispaa ya ilala imefilisika.....????...au matumizi makubwa kuliko mapato?

    Unatuuliza sisi. Mwambie diwani wako aliye katika council hiyo atakujibu ati. Mnayataka wenyewe mkiambiwa hmsikii.
  18. F

    Dr Slaa kutana na Vijana kila mwisho wa mwenzi(2012/15 sept)

    Good idea, i salute. We need to empower youth.
  19. F

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Oh! Lord Jesus, mponye Lowasa arejee kwenye siasa na mchango pamoja na changamoto za Nchi yetu. Amen.
Back
Top Bottom