Search results

  1. J

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Mie napita tu sipendi kuchangia lakini Mambo ya Ndani je? IGP-Polisi, CGP-Magereza, NIDA,Zimamoto,Idara ya Malalamiko(Chagas)
  2. J

    Serikali Imewekwa Mfukoni na Kampuni ya Multichoice!

    Tuombe Mungu ije Fast Jet nyingine katika ving'amuzi watapoa tu kama ilivyokuwa kabla G TV haijafikwa na mauti
  3. J

    Upendeleo wa wazi kwa makatibu muhtasi wa idara ya uhamiaji

    Uchaguzi wa watumishi wa Idara ya Uhamiaji kwa kozi mbalimbali umeonesha kuna tatizo kubwa hasa baada ya Makatibu Muhtasi Grace Kivembele na Maizara yusuf Kudhaminiwa kwenda Manzini Swaziland wakati wengine wakikosa. Watumishi haohao mwaka uliopita walipelekwa Kampala Uganda kwa pesa za Serikali...
  4. J

    Mtandao wa vibali bandia vya uhamiaji mkoa wa arusha waingia sura mpya

    Mtandao wa utoaji vibali bandia katika mkoa wa Arusha umeingia sura mpya baada ya kinara wa shughuli hiyo kuanza kushughulikiwa na Makao makuu. Kinara huyo ambaye amekuwa akitamba kwa muda mrefu bila kuguswa kwa mbinu ya kutumia pesa nyingi na ikibidi hujitoa yeye menywe ili mambo yaishe, hivi...
  5. J

    Idara ya uhamiaji na mabadiliko ya baraza la mawaziri

    Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri hivi karibuni yametoa ahueni kwa taasi za wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na hasa Idara ya Uhamiaji na Zimamoto. Aliyekuwa Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Shamsi Vuai Nahodha alisababisha matabaka ndani ya Idara hiyo hasa kwa kutoa upendeleo kwa maswahiba...
  6. J

    Idara ya uhamiaji na mabadiliko ya baraza la mawaziri

    lililokuwapo ni waziri huyo kufanyia kazi taarifa zisizo rasmi alizokuwa akipelekewa na Afisa Uhamiaji mkoa wa Dar es Salaam ambazo ni za fitina majungu kwa ajili ya kutaka nafasi jambo ambalo alifanikiwa na sasa amekalia nafasi za juu baada ya kuwatoa viongozi aliowafitini. Bila woga na...
  7. J

    Umemsevu vipi mpenzi wako katika simu??

    Mh Hii kali kweli, yaani fake Names
  8. J

    Jane Mponzi wa Vodacom is no more!

    Nadhani hawa walipendana sana, kifo cha Mume kimesababisha kifo cha Mke. Mauti ya Jane ni Kihoro cha kumpoteza mumewe.
  9. J

    ..Mke wa mtu ameniota..

    Pole sana mzee lakini ndoto siku zote si kweli
Back
Top Bottom