Search results

  1. G

    NYUMBA ya KUPANGA ARUSHA

    Nyumba ya kupanga ipo ARUSHA Mjini Fire-Daraja mbili,self contained,ina maji na umeme, jiko na baraza.BEI ni maelewano.Simu 0713988677.
  2. G

    Hoja binafsi: Waliosaini kusudio la kumwajibisha PM watangazwe kama mashujaaa na wazalendo!

    CHEYO na OLESENDEKA ni waoga,vibaraka,ndumilakuwili,hawafai ktk jamii kwa sasa wamepitwa na wakati.HONGERA sana DEO FILIKONJOMBE we ni zaidi ya MZALENDO unajali MASLAHI ya UMMA.Keep up.
  3. G

    Hongera Mnadhimu LISSU

    Pendekezo la LISU kuwa kuna haja ya kumchukulia waziri Mkuu hatua na hatimaye likaafikiwa na ZITO kwenye Majumuisho ni zuri linapaswa liungwe mkono na WABUNGE wote wenye MAPENZI mema na NCHI hii bila kutanguliza maslahi ya vyama vyetu. Najua WAZIRI MKUU SI FISADI ila WASAIDIZI WAKE Lakini...
  4. G

    Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

    CHADEMA mnabahati sana haya yanayojitokeza TZ kwa sasa ni mpango wa MUNGU kuleta Mabadiliko ya kisiasa TZ kwa kuiondoa CCM madarakani.Mkitumia fursa hii vizuri 2012 mnaweza kuingia IKULU.Tambueni kuwa mmepata bahati kubwa sana na si amini kama mtapata fursa nyingine kama hiyo nchi inakabiliwa na...
  5. G

    Uchaguzi bungeni umetoa Funzo

    Watoto wa maskini hawana chao nani anakujua?Elimu ya mtoto wa maskini anaipatia kwenye shule za kata Saint Kayumba atazungumza Kingereza kipi wakati huko hakuna taaluma?Mgombea anapaswa awe na sifa kama Haiba,Mvuto,Bashasha,msomi,Anayejiamini,Social na pia awe na vijisent vya kutafuta uongozi...
  6. G

    CHADEMA leaders you have let us down in grooming EALA Candidates, a lot of credit to NCCR MAGEUZI

    Mama Nderiko Kessy amefunika mbaya hata kama hatapita ameitangaza NCCR vizuri.CHADEMA Komu si mwanasiasa namfahamu amegombea mara 2 kule MOSHI ameambulia patupu so next time msipeleke mtu ni mtu bali pelekeni mgombea atakaye kitangaza Chama na si msindikizaji.Kwli leo PEOPLES tumechemka.MGOMBEA...
  7. G

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    Milya mkaribisheni ila afuatiliwe vizuri isije ikawa ni pandikizi la CCM ka MREMA akaleta mushkeri kwenye chama.Kumbuka CCM nao hawapendi kuona CHADEMA wanazidi kukubalika kule ARUSHA hivyo yawezekana mmetumiwa bomu liwasambaratishe.Kumbuka jimbo la ARUSHA liko wazi so linanyemelewa.Vijana wote...
  8. G

    Arumeru kwachafuka

    wana Arumeru hiyo ardhi ni urithi toka wa wazee wenu so gawaneni ni mali yenu ILA kama ni la watanzania wenzenu acheni kama ni ya wazungu,wahindi, na waarabu yatwaeni haraka.
  9. G

    Opinion: Ubunge wa Afrika Mashariki, Washindi ni Hawa?!

    Tz watu hawangalii elimu ila wanaangalia urafiki na maslahi mengine pesa.
  10. G

    Kwa wanachadema na wapenda mabadiliko

    5.UJINGA kwa wananchi wetu wanakubali kupokea vihela,khanga,kofia,na hatimaye kuuza haki yao. 6.UMASIKINI nao uunachangia watu wanauza shahada ili wapate shibe . 7.MWAMKO DUNI WA WANANCHI baadhi ya wananchi wanapuuzia suala la uchaguzi .
  11. G

    Kamati ya Katiba: Prof. Baregu kuapa bila Biblia wa Quaran nini tafsiri yake?

    Hongera baregu kukataa ukoloni na utumwa.dini kwa sasa ni unafiki.unaweza ukatumia quaran au biblia na bado ukafanya upuuzi.kataa unafiki.
  12. G

    Kesho tume ya katiba inaapishwa ikulu

    Kesho tume iliyoundwa na Rais itaapishwa rasmi ikulu Dar.Nawasihi Wtz wenzangu tuache malumbano yasiyo kuwa na msingi kuhusu wajumbe dini zao wametokea wapi ni wa vyama gani nk.Jambo la msingi Mtz mwenzangu tunapaswa tujue kwamba KATIBA ni sheria mama tushiriki kikamilifu ktk mchakato wa kuandaa...
  13. G

    Kesho tume ya katiba inaapishwa ikulu

    Kesho tume iliyoundwa na Rais itaapishwa rasmi ikulu Dar. Nawasihi Wtz wenzangu tuache malumbano yasiyo kuwa na msingi kuhusu wajumbe dini zao wametokea wapi ni wa vyama gani nk.Jambo la msingi Mtz mwenzangu tunapaswa tujue kwamba KATIBA ni sheria mama tushiriki kikamilifu ktk mchakato wa...
  14. G

    Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

    Sokoine ni kiongozi aliyetukuka wenye upeo, mchapakazi, mzalendo, mwadilifu, mwenye utu, asiyependa dhuluma ,uonevu ,mpenda haki asiye kuwa na makuu. Huwezi kumlinganisha EL na Sokoine kwani ni sawa na kumlinganisha Mungu na shetani. Huku kwema mapya ya huku ni madini mliyoacha kwa sasa wenye...
  15. G

    Tanzania's CAG Report; March 2012

    wamechukua vijisenti 5.8 billion walivitumia kule Arumeru nini? au ndo posho ya jaji aliyemhukumu Lema?Mi sishangai huko tudogo maana zisizojulikana ndo nyigi zaidi kumbuka leo waziri mkuu bungeni ameweka wazi hali si shwari tufunge mikanda zaidi sasa sijui kama tutapona heri ya kanumba...
  16. G

    Ni sawa wizara kutumia kodi ya wananchi kutumika kwenye mazishi ya Kanumba?

    Hongera watz wenzangu kwa kuuona ukweli tuseme ukweli ili tuijenge tz bora ya kesho.Kodi zetu zitumike vizuri kwa manufaa yetu sote na si vinginevyo huo utakuwa ni usaliti na kubaguana.Wtz amkeni tutetee rasilimali zetu ikiwemo rasilimali fedha watu wasizichezee hovyo kama anavyotaka kufanya...
  17. G

    Ni sawa wizara kutumia kodi ya wananchi kutumika kwenye mazishi ya Kanumba?

    Mimi nadhani Waziri ametoa hela zake maana ana mahela simnakumbuka aliwahi kujenga shule? Kama ametumia hela zetu arudishe haraka huo ujinga hatutaweza kuuvumilia pesa zetu zinatumika visivyo kuna waathirika wa mabomu,mafuriko hawana msaada waetelekezwa huku waziri anatoa mahela yote kwa msiba...
  18. G

    Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

    Kesho ni tar 12/04/ tunakumbuka siku ambayo waziri mkuu wetu mpendwa Sokoine alipoaga dunia kwa ajali ya gari.Mimi namkumbuka Sokoine kwa mambo yafuatayo Uzalendo,Ujasiri,Uadilifu,Uajibikaji na mtu asiyependa Uonevu na Ubaguzi.Je viongozi wetu wa sasa tunaweza kuwafananisha na Sokoine...
  19. G

    Baadhi ya Wazanzibari Wapinga Muungano wadai kura ya maoni kuhusu Muungano

    wazanzibar kama ni kwa utashi wenu na mnaona muungano hauna maana wala faida kwa sasa ni vizuri kuwepo kwa kura ya maoni ili muamue mnataka muungano au la.Chemkeni
  20. G

    Mnyika anaonyesha umakini, uzalendo na kutambua lilompeleka Bungeni

    Hakika yote uliyonena ni kweli tupu mnyika ni kijana makini,mzalendo,anayejituma na mwenye upeo.wanaubungo hongereni kwa chaguo safi.Tunataka wabunge wote muige Mnyika na Tundu lissu.Ubunge kwao ni utumishi.
Back
Top Bottom