Hivi unajua kwa nini mabomu yanalipuliwa Arusha? Unajua kuwa nchi ya Tanzania ina heshima kubwa kwa sababu ya Arusha? Na Je, wajua kuwa amani ya Tanzania inategemea zaidi amani ya Arusha? Sina maana ya kusema kwamba amani ya Tanzania imetoweka ila nashawishika kusema iko hatarini kutoweka...
Leo katika kipindi cha Hot Mix katika chaneli ya EATV kutakuwa na mahojiano na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa..... Ni kuanzia saa kumi na moja jioni leo Tarehe 15/08/2013.... Karibuni
Kama hujui, wanaume ni wambea zaidi ya wanawake, tofauti ni kwamba wao hawasutani hadharani!
Katika jamii yoyote mtu mwenye tabia ya umbea huchukiwa, hutengwa na hata wakati mwingine hupigwa kwa kuonekana kuwa ni chanzo cha migogoro na huku viongozi wa dini wakimwona mtu wa aina hiyo kuwa ni...
Fanya juhudi za makusudi kumkimbia yoyote anayekuletea habari za mtu mwingine, tafuta marafiki wanaozungumzia maendeleo, hata ukiwa peke yako soma habari zinazokupa mtazamo na fikra mpya, epuka habari za maisha ya watu zisizo na tija katika maisha yako..
Habari zenu ndugu zangu wadau wa MMU? Ni matumaini yangu kuwa wote mu wazima. Mimi nipo bukheri wa Afya.
Leo ningependa tujadiliane na kushauriana kuhusu suala la vijana wa kiume kuamua kuoa katika umri mdogo. Ningependa tujadiliane mambo yafuatayo;
1-Kwanini kumekuwa na idadi ndogo ya...
S.L.P 2655770 DSM
26/03/2013.
Ndg, Wadau wa ChitChat
YAH: OMBI LA KUKUTEMBELEA PASSAKA
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni ndg.yako wa karibu na ni Mtanzania halisi.
NINAOMBA KUKARIBISHWA KWENYE SIKUKUU YA PASAKA,Nina uzoefu wa kula vizuri UBWABWA pasipo kudondosha...
Yawezekana unapita katika magumu na unaona hakuna njia tena na unakata tamaa. Umefika mahali na unasema siwezi kupata kazi tena, hii kazi siwezi tena, haya mahusiano yamenishinda, hii NDOA imenishinda, hawa watoto wamenishinda, hii shule imenishinda, siwezi kujenga, hii biashara imekufa...
Napenda kuchukua nafasi hii kumkaribisha bibie sweetlady jukwaani.... tumetoka hospitali kufanya vipimo vya DNA(Vinasaba) na nimegundua kuwa mtoto aliyejifungua juzi sio wa nitonye ila bwana nitonye ndo alikuwa analazimishia.. nililizimika kufanya vipimo baada ya mtoto huyo kufanana nami kwa...
Ogopa Sana Mtu Anayekuwa Na Wewe Kwa Sababu Haoni Chaguo Lake. Adhabu Yako Ni Kubwa Mbele Ya Safari Ingawa Unaweza Kujiona Upo Kwenye Bwawa La Asali Mwanzoni. Kiama Chako Ni Pale Atakapomuona Anayedhani Ndiye Sahihi Kwake. Utasilitiwa Upende Usipende!
MAPENZI Yana Siri Kubwa. Kila Mmoja Ana...
Bishanga : Sweetie otea nimekununulia zawadi gani ya birthday?
The secretary : Oh jamani sweetie umeninunulia nini?
Bishanga : Unakumbuka ile RAV4 uliionaga ukaipenda sana rangi yake?
The secretary : Woooow honey! oh my God! Umeninunulia ile??! I luv u so much Bishanga wangu ...
Hali zenu ndugu zangu wa humu MMU? Natumaini kuwa wote mu wazima wa afya,Tumshukuru Mungu kwa ajili ya uzima na afya aliyotujalia.
Siku ya leo napenda tuongelee suala zima la uvunjikaji wa mahusiano na nini cha kufanya baada ya kuachana.. Napenda kukushauri kuwa usiwe mpweke na usiwe mnyonge...
Vijana wengi wamejikuta katika mahusiano na hata ndoa na watu wasiowataka wala kuwapenda kwa sababu hawakujipa muda wa kuheal baada ya mahusiano ya mwanzo kuvunjika.
Mara baada tu ya kuvunja mahusiano wanaanzisha mapya na mara nyingine kufunga ndoa kwa haraka wakitaka kujionyesha kwa yule...
MARA nyingi vijana hupata taabu sana katika suala la kuchagua mchumba. Vijana wa kiume ndio hasa hupata wakati mgumu zaidi kwani jamii imewapa wajibu wa kuanzisha mazungumzo yahusianayo na mapenzi. Hata hivyo, vijana wa kike nao wanao wajibu wa kuchagua ili kuhakikisha kuwa hawaanguki...
Watu Wengi Ambao Wako Kwenye Uhusiano Wanalalamika Kuwa Wenzi Wao Hawawaoneshi Upendo Kama Ilivyokuwa Siku Za Mwanzo Za Uhusiano Wao. Wanaeleza Kuwa Wanaona Uhusiano Wao Unalegalega Na Mapenzi Yanapungua Taratibu Kama Barafu Iyeyukavyo Juani.
Ili Kuepuka Yote Haya, Hauna Budi Kujifunza...
Habari za muda huu wadau wa JF hasa jukwaa hili la MMU? Ni matumaini yangu kuwa wengi wetu ni wazima... Kwa wale mnaoumwa au mnauguza ndugu basi nawapa pole sana najua mda si mrefu mtakuwa katika hali nzuri . Pia nawapa pole wale walioondokewa na ndugu zao wapendwa.... Mungu awape pumziko...
Habari za muda huu wadau wote wa ukurasa huu wa MMU na JF kwa ujumla? Binafsi napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mungu Muumba ardhi na mbingu kwa kunijaalia uzima na afya tele pamoja na furaha hapa ulimwenguni.Ninyi marafiki mmekuwa sehemu ya furaha yangu. Mungu awabariki sana
kwa mara...
Habari zenu wapenzi wasomaji wa ukurasa huu wa MMU? Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea vizuri na mfungo wa Kwaresma kwa wale mnaofunga.
Leo nimeona vyema Tuongee kuhusu wale waliovunjika moyo katika swala nzima la mapenzi na ni ninsi gani wanaweza kukabiliana na maumivu ya kuumizwa...
Mu hali gani mabibi na mabwana wa humu MMU? Ni matumaini yangu kuwa wote humu mu wazima wa afya. Kwa mara nyingine leo nimeona bora tuzungumzie suala zima la athari za marafiki katika mahusiano...
Katika mahusiano ya mapenzi yoyote kuna watu wanaitwa MARAFIKI. Kabla sijaendelea sana ni...
Habari zenu wadau wa MMU?
Kwa mara nyingine tena tunakutana katika ukurasa wetu huu wa MMU kujadili na kuangalia mbambo mbali mbali yanayotuhusu katika mapenzi.
Leo tutaongea juu ya kuridhika katika mapenzi. Kila kukicha mapenzi katika maisha ya mwanadamu yamekuwa yakichukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.