Search results

  1. BOFREE

    Maajabu: NHIF yashika namba 1 kwa mashirika ya umma yanayotengeneza hasara

    nhif wanaibiwa sana kama hawataweka system kwenye mahospital yote yanayotumia nhif ili mteja aone huduma pamoja na kiasi alichotibiwa kuliko kujazishana maform yale. mm nilienda hospital moja kutubiwa garama ni elfu 40000 sasa nikauliza naweza kuona wap kiasi nilichotumia nisignwakaniambia...
  2. BOFREE

    Je Kindamba ni mtu sahihi UDART? Ana exposure yoyote kuhusu sekta ya usafirishaji?

    kila siku tunawambia udart sio kampuni binafsi ni kampuni ya msajili wa hazina asilimia 85 na simon group asilimia 15 ni public company ndio maana unaona wanakomaa kutafuta mbia binafsi ili anunue magari serikali haifanyi biashara inatoa huduma ndio maana wamekwama kununua mabasi mpyaaa kwa...
  3. BOFREE

    Je Kindamba ni mtu sahihi UDART? Ana exposure yoyote kuhusu sekta ya usafirishaji?

    humu naona watu mnachanganya mafaili mara wengine DART mara wengine UDARTebu someni hapa DART- dar es salaam rapid transit agency ni wakala wa serikali katika mradi wa mabasi yaendayo haraka jukum lake kuu ni kundeleza mifumo ya BRT na kuajiri watoa huduma watakaohudumia mwendokasi akiwepo...
  4. BOFREE

    Kwako Mkurugenzi mpya wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART): Katatue changamoto zifuatazo…

    ushauri mzuri lakini kwanza jifunze ujue tofauti kati ya DART na UDART, mkurugemzi mpyaa alieteuliwa juzi na raisi ni wa UDART sio DART
  5. BOFREE

    Kwako Mkurugenzi mpya wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART): Katatue changamoto zifuatazo…

    pamoja na ushauri mzuri lkn bado watu wanashindwa kutofautisha kati ya UDART na DART ivi ni vitu viwili tofaut vilivyopo kwenywe mradi wa mwendokasi, alieteuliwa ivi majuzi sio mkurugenzi wa DART ni wa UDART
  6. BOFREE

    Rais Samia unatukosea sana wanachi wa Kimara, Mbezi, Morocco kwenye suala la Mwendokasi

    haya we uliekuwa unasema udart ni kampuni binafsi haya raisi kamteua mkurugenzi wa udart ambae ni waziri kindaba
  7. BOFREE

    Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

    point ni bora kama mtu amesoma sayansi aende zake chuo akasome diploma ya phermacy aje akafanye baishara au akodishe cheti duka la madawa, au akasome clinical medicin, nersing tofaut na apo ni kupoteza muda
  8. BOFREE

    Rais Samia unatukosea sana wanachi wa Kimara, Mbezi, Morocco kwenye suala la Mwendokasi

    ndio maana yake mkuu UDART ni kampuni ya uma yaan ipo chini ya msajili wa hazina, ivyo imekua ngumu kumtoa ili awekwe mbia mwingne maana shida ni magari na mwenye magari ni udart kutoka imekua ngumu. DART wanasimamia mwendokasi lkn wameshindwa kumtoa UDART sababu ni kampuni ya uma wanabaki...
  9. BOFREE

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    umeongea kitu cha muhimu sana magari ya mbezi ,kibaha yatolewe yaje yasaidie yanayopita mfumo wa BRT maana kuongeza magari imekua anasa kumtoa udart sababu hakidhi vigezo imekua mtihani. Bila DART kuongeza mbia mwingne wakurugenzi watendaji watabadilishwa sana maana UDART( kampuni ya msajili...
  10. BOFREE

    Rais Samia unatukosea sana wanachi wa Kimara, Mbezi, Morocco kwenye suala la Mwendokasi

    soma hapa kijana utaona ni UDART PLC ( public limited company) yaan kampuni ua umma wewe unasema eti binafsi unajua maana ya PLC kasome istoria yake kwenye website yao
  11. BOFREE

    Rais Samia unatukosea sana wanachi wa Kimara, Mbezi, Morocco kwenye suala la Mwendokasi

    unajichanganya ufafanuzi wa UDART umebolonga ebu google basi uone kama sio public limited company (UDART PLC) umiliki ni serikali asilimi 85( msajili wa hazina) saimon group ni asilimia 15 narudia udart sio kampuni binafsi ni kampuni ya uma ilikua binafsi kabla ya kisena hajashtakiwa saimoni...
  12. BOFREE

    Rais Samia unatukosea sana wanachi wa Kimara, Mbezi, Morocco kwenye suala la Mwendokasi

    kabla ya mhede alikuwepo lwakatale na baada ya lwakatale kutenguliwa na waziri mkuu mhede alikuja akijua shida ni mabasi lkn mpaka na yeye anatenguliwa hakuna hata basi moja lililoongezeka.
  13. BOFREE

    Yuko wapi mfanyabiashara na tajiri Hussen Pambakali?

    makoba yupo kariakoo pale msimbazi polisi upande wa kulia kama unaenda kuungana na barabara ya mtaa wa kongo anaduka la nguo pale limeandikwa makoba
  14. BOFREE

    Rais Samia unatukosea sana wanachi wa Kimara, Mbezi, Morocco kwenye suala la Mwendokasi

    ngoja nikupe mchanganuo iko ivi miundombinu yote ya BRT,barabara, majengo ipo chini ya DART( wakala wa serikali wa mabasi yaendayo haraka ) ambae ndio anawapa mikataba makampuni yanayptoa huduma kwenye mwendokasi kama CT ( ulinzi), FOA plan (usafi) na UDART (magari na kukusanya mapato) shida...
  15. BOFREE

    Rais Samia unatukosea sana wanachi wa Kimara, Mbezi, Morocco kwenye suala la Mwendokasi

    nani kakudanganya mabasi ni mali ya UDART ambayo ni kampuni ipo chini ya msajili wa hazina asilimia 85 na saiiimon group asilimia 15 unataka kuniambia ni private iyo, wakati serikali inamilikia asilimia 85 na ndio maana hawataki kutoka wamuachie mtu binafsi sababu ya madeni ya benk ya dunia kila...
  16. BOFREE

    Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    taesa hawalipi siku izi hela hawana utapopangiwa ndio wanatakiwa wakulipe
  17. BOFREE

    Yuko wapi mfanyabiashara na tajiri Hussen Pambakali?

    Makoba ana maduka mawili Kariakoo bado anauza nguo sema siku hizi ni ustadh ingia instagram andika makobamj
  18. BOFREE

    Chuo Kikuu Huria (OUT), mnatakatisha vyeti vya wanasiasa?

    bonge moja la uongo yaan D,E,D iwe division II ya 13 umesoma nchi gani weye adi uyo rafiki yako awe na two ya PGM ya D E D
  19. BOFREE

    Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

    uliza mtu unaemfaham aliepita TRA akueleze anakaguliwa kwa namna gani ili aingizwe kwenye payroll jambo usilolojua ni kama usiku wa giza l, usifikili nafasi za TRA ni kama wale walimu au manesi wanaopangiwa kishapu, tqndaimba,kwimba na wanaenda tu kwa wakurugenzi kureport
  20. BOFREE

    Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

    BOT uliishaona wanaofanyisha usahili ni PSRS(utumishi) au uliishaona majina ya kuitwa kazini kwa BOT kila taasisi inataratibu zake taasisi za kifedha ni kama usalama
Back
Top Bottom