Search results

  1. M

    Msaada: Biashara ya Mashuka toka Uganda

    A Asante sana, ila nimeshapata connection ya Uganda na ni very Simple.
  2. M

    Msaada: Biashara ya Mashuka toka Uganda

    Habari za Mwaka mpya wana jamii. Kuna haya mashuka na blanket za kutoka Uganda. Nataka na mimi nifanye hii biashara. Ila nitafurahi kama nitapata muongozo na namna ya kuyapata toka Uganda. Kama kuna mtu ana uzoefu au connection naomba anishirikishe. Asante sana.
  3. M

    Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya Mashuka kutoka Uganda

    Kama mtu anahitaji kununa toka Uganda, anayapataje. Kama kuna mwenye connection au uzoefu ni vizuri kushirikishana.
  4. M

    Nissan Xtrail taa ya check engine imewaka

    Kwa Mwanza kama wewe ni mwenyeji, napata wapi hii huduma?
  5. M

    Nissan Xtrail taa ya check engine imewaka

    Hii ni Xtrail ya 2007/8. Taa ya check engine inawaka lakini gari inafanya kazi vizuri tu. Nimejaribu procedure za kui-reset lakini bado. Pia nilichomoa battery kwa sekunde chache lakini bado. Kuna jamaa yangu kaniambia yeye inawaka mwaka wa pili sasa na maisha yanaendelea kama kawaida. Kasema...
  6. M

    Car4Sale Nauza nissan note kwa bei ya kizalendo nimekwama

    Ukipata Xtrail ya kizalendo kama hii nicheki kaka.
  7. M

    Kero: Tabia ya kurundika/kumiliki vitu vingi kuzidi uwezo wa kuvimudu au kuvitunza

    Umeelezea vizuri sana na ndio uhalisia wa watanzania wengi. Ila no 7..... kitanda bana.....hapana. Mi na mwenzangu bana huwa kutoka cowgirl kuelekea misssionary, tunabingirika tu mpaka missionary. Sasa kuna siku tulisafiri. Si tukajisaulisha, tukajua tuko kwa Mkapa. Ile kubingirika tu...
  8. M

    Website design...

    Nahitaji website ya biashara ya nguo za kike.
  9. M

    Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Nahitaji website ya biashara ya nguo za kike.
  10. M

    SOFTWARE Tunatengeneza na kudesign logo/website pamoja na android application

    Nahitaji website ya biashara ya nguo za kike.
  11. M

    Je, unajitaji website au tovuti?

    Nahitaji website ya biashara ya nguo za kike.
  12. M

    Natafuta Lightbox kupigia picha bidhaa

    Asante sana.
  13. M

    Natafuta Wateja wa Websites. Niko Arusha

    Mi nataja website ya kuuzia ngua za kike na accessories zao. Web ni sh ngapi kutengeneza. Kama una mifano tuonyeshe.
  14. M

    Natafuta Lightbox kupigia picha bidhaa

    Natafuta lightbox kwaajili ya kupigia picha za bidhaa. Lightbox ndogo kwa picha za viatu na mikoba. Au kubwa za kupiga magauni ya kike. Kama unafahamu mahali zinapatikana kwa Dar au Mwanza nitashukuru sana.
  15. M

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    K Kutoka hapo mpaka T001 EAA ni gari 17,000. Tutatoboa kabla ya December???
  16. M

    Ifahamu nchi kubwa kuliko zote duniani

    Nawaza sijui BAKWATA ya Russia inafanyaje kwenye kutangaza muandamo wa mwezi.
  17. M

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Una picha yoyote naweza kuona?
  18. M

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Nissan xtrail model ya 2008 ni kiasi gani?
  19. M

    Ndege ya ATCL number TC 106 Bomberdier, tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa

    Mi nadhani tufanye fund raising and award the whistleblower. Hii itapromote calture ya kuongea mambo ya namna hii. Jamaa ameamuwa kujilipua.
  20. M

    Nini chanzo cha watu kuvaa shela na pete wakati wa kufunga Ndoa ???

    Ngoja nipige dawa ya mbu kwanza, hii neti naona hainisaidii.
Back
Top Bottom