Search results

  1. R

    Mwaka mpya ulikukuta wapi?

    yawezekana mwakamzima mkawa mnacheza tu
  2. R

    Serikali ya China imeipa serikali ya Tanzania magari ya kifahari?

    na hata katiba mpya haijaliona hili la viongoz wetu kupenda anasa kuliko wananch
  3. R

    Serikali ya China imeipa serikali ya Tanzania magari ya kifahari?

    Kweli hii nchi imekuwa ya maraha hv hawa viongoz hawawez kutembelea eskudo kumbe maisha bora c kwa kila mtz bali ni kwa kila kiongoz
  4. R

    Kufanya mapenzi sehemu hatarishi

    mimi nishawahi kupiga chooni porini na vichochoroni c mchezo kuna raha yake
  5. R

    anahesabu mara tulizofanya mapenzi

    wa kwangu tunasex kila baada ya ck moja na anafurahi kwani napiga mbili safi
  6. R

    Mke/Mpenzi asiyejamba.....

    kwa wapendanao kujamba mbona ki2 cha kawaida mm dem wangu wakati namnanii lazma ajambe
  7. R

    Kwa mahesabu haya wana Mtwara wamechemka.....

    Hata kama hawana elim kifunguliwa kiwanda cha mbolea c bado watapata ajira kupitia kilimo kwan mbolea itashuka bei na hivyo kuongeza tija ktk kilimo. Hata kama wangesoma hawataajiriwa wote. Kwa hiyo mh naunga madai ya viwanda mkono
  8. R

    Prof. Safari akabidhiwa tena Kesi ya Ubunge Igunga

    Ila ili utam uwe utam itakuwa vema kama Tundu Lissu nae atakuwepo
  9. R

    Lissu: Hakuna sababu ya baadhi ya watu/vigogo kuwa juu ya sheria

    Nawashangaa ccm kutaka mgombea binafsi wakati walitumia pesa nyingi na muda mwingi kupambana na Mtikila ss hivi ni nini wamekigundua hivi wale majaji pamoja na walioitwa marafiki wa mahakama kumbe walikuwa wanachezea kodi za Wtz inshalah mungu yupo
  10. R

    Ridhiwan, Lowassa waelezea utajiri wao

    We kuz kwel mtu kakamatwa na madawa ya kulevya kule china baba yake akawahonga wachina GESI bado unasema c o fisadi kama umetumwa kutetea mafisadi mwisho wenu unakuja
  11. R

    Mbinu za ushindi katika chaguzi - Zitto Kabwe

    Andiko zuri ila halisemi chanzo chake
  12. R

    Utabiri: Rais ajaye Tanzania (2015) ni Mwanamke

    Kama ushirikina una faida basi hata viongozi wakiugua waende kutibiwa kwa waganga na c o kwenda kutibiwa Ulaya kwn wanamaliza pesa halafu linapokuja suala la uchaguzi wanaleta utabiri mbona hawakumzuia NYERERE asife au mbona shekh yahaya hakujizuia asife?
  13. R

    Nakuonea huruma John Magufuli

    Ingekuwa treni ni za watu binafsi bac usingeona malori barabarani maana treni inabeba mzigo mkubwa na kwa bei chee lakini kwa kuwa treni ni za serikali ndio maana zinahujumiwa ila iko siku MUNGU ataondoa haya mateso kwn kila jambo lina mwisho wake
  14. R

    Wabunge ambao wamesema wanastaafu 2015

    Mh Sokwe yeye vip hajatoa tamko maana yule ni jana la Taifa
  15. R

    Mtuhumiwa kesi ya Dk. Ulimboka atoa siri nzito...

    Sawa mkuu ila mimi najua Mbatia nimwanasheria wa chadema na isitoshe mawakili wa cdm wanao ngoza kwa kushinda kesi nyingi halafu hapa kuna harufu ya magamba
  16. R

    Mtuhumiwa kesi ya Dk. Ulimboka atoa siri nzito...

    Nimesoma kwenye gazeti la Tanzania daima jinsi kijana wawatu ambae ni raia wa Kenya anavyoteseka mahabusu kwa kusingiziwa ndie aliemteka Dr Ulimboka na kumtesa kitu ambacho sio kweli.Ss mm roho inaniuma maana serekali kwakuwa wanajua walichokifanya wanapiga danadana wakati kijana wa watu...
  17. R

    Africa's Female Political Power Players: Halima Mdee, Elsie Kanza ndani!

    Cha kufanya aongeze bidii ili asije kuwa kama SPESIOZA KAZIBWE aliewahi kuwa makam wa rais wa Uganda leo hasikiki anatakiwa akaze kama WANGARI MATHAI wa Kenya japo amekufa lakini bado atakumbukwa kwa ujasiri wake wa kutetea msitu wa ngong
  18. R

    Jamani tusaidieni huyu mwenyekiti wa mtaa anatutesa

    Katika mtaa wetu tuna tatizo kubwa la maji tangu tupate uhuru hatuna maji. Wananchi tulio mrengo wa CHADEMA tukaamua tuchange pesa ili tulete maji na wananchi wote wa mtaa wakakubali mchango ulikuwa sh 50000 kila m2. Mwkt kuona hivyo kaweka veto oh anasema hajashirikishwa wakati yeye ndio...
  19. R

    Waif ananilazimisha kutumia tigo

    Mi nadhani ni kwa kuwa TIGO ndio mtandao ambao hauna wateja wengi kama voda na airtel
Back
Top Bottom