Nyinyi fanyeni tu hizo porojo na prapaganda za kingese lakini ukweli uko dhahiri kuwa mhutu mchi imemshinda, Period. Na kama huyu hatatokezea The Hague basi hiyo mahakama haina maana.
Bado hata sasa ana ndoto za urais ndiyo maana ameingiza matumizi ta nguvu za dola kwenye chaguzi ili ikitokea akapendekezwa baada ya Kiongozi wa Malaika basi ashinde kwa mtutu wa bunduki.
Good material. Ila nadhani hujanielewa. Sizungumzii maandamano wala sikufungua uzi ili kutia moto wa maandamano. This is an eye opener thread for those who don't know the boy in question! Think big bro Elungata!
Chadema inakujaje hapo mkuu? I hate this kind of talk. Mimi ninapinga fikra za huyu waziri kwa sababu hiyo hiyo ya kutengeneza mchawi wakati sote tulikuwepo wakati marehemu anauliwa! Sujui unanielewa? Kama una ndoto za uDC kawaone akina Bashite na Shoza wakupe mbinu.
Wote tungependa hilo litokee. Ila uzoefu unaonyesha kwamba ukitaka kuukata mti mkubwa ulio karibu na nyumba anza kwanza kuupunguza matawi ili usije ukaidhuru nyumba. Hiyo ndo hoja yangu.
Bila shaka watanzania wengi sasa hivi wanafahamu kinachoendelea kuhamasishwa mitandaoni juu ya maandamano ya wananchi ya kupiga uvunjifu wa amani na ukosefu wa uhuru wa kweli na demokrasia vinavyoendelea kuchukua kasi nchini kwetu.
Juzi mkuu wa nchi akiwa Singida ktk tukio la kufungua kiwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.