Search results

  1. CHINGUMBE

    Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

    Cha ajabu wafanyakaz wa ofisni kwako wote unawajua majina ila anayewalea watoto wako na kuhakikisha ulinzi wako unakwepa kujua jina lake, subiri mwanao apate utapiamlo utajua jina lake hadi ukoo wao.
  2. CHINGUMBE

    Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

    Ukatili wa KIMAJINA, huwezi kukaa na ndugu miaka miwili hujui jina lake huo ni UKATILI kabisa, kumbuka huyo ni sehemu ya familia yenu.
  3. CHINGUMBE

    Niruhusu nikusaidie kutatua changamoto yako kiafya

    Dr. Habari? Mwenzi wangu anasumbuliwa na matatizo kadhaa kama ifuatavyo:- 1. Mzunguko wa hedhi hauko sawa, inaweza pita miez had 3 hajapata na akipata inakuwa mfurulizo hadi wiki, na pia inaweza kutokea tena ndan ya siku kabla ya mwez kuisha. 2. Maumivu ya kiuno hasa wakati wa haja ndogo...
  4. CHINGUMBE

    Tupeane maujanja ya Excel

    Hongera san ndugu Ethos kwa uzi huu na Mungu atubark sote!
  5. CHINGUMBE

    Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Paka Asali wakatbuso ukiwa safi na uiache kwa dakika 15 had 30 kisha nawa kwa maj ya uvuguvugu, fanya hvyo asubuhi na jioni baada ya kuoga!
  6. CHINGUMBE

    Msaada wenu tafadhal wataalam wa smart phone

    Nashukuru kwa msaada wako mkuu. Nmefankiwa.
  7. CHINGUMBE

    Msaada wenu tafadhal wataalam wa smart phone

    Cjakuelewa mkuu tatzo n huawei kivip!?
  8. CHINGUMBE

    Msaada wenu tafadhal wataalam wa smart phone

    Nina huawei y300 kila nkitaka ku-install Apps kutoa play store inaniambia space ndogo wakat kuna zaid ya mb 140 internal na zaid ya 180 kweny sd sasa cjui tatzo!
  9. CHINGUMBE

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kuna mwl. anahitaji wa kubadilishana nae yeye yupo Buhigwe-kigoma na anahtaji kuja mkoa wa Ruvuma kwenye almashaur yoyote. Ni PM kwa mawasiliano zaid.
  10. CHINGUMBE

    Watu 20 wafa ajalini Busega

    Tunaita waathirika na sio wahanga kwasababu wahanga ni waliojitolea kufanya jambo kwa maslah ya wengine.
  11. CHINGUMBE

    Je unapata tatizo la simu yako kuishiwa charge mahali pabaya

    Jina na picha ya kifaa mkuu!!!
  12. CHINGUMBE

    Ajira za walimu wapya hizoo!

    Yetu macho na masikio!!
  13. CHINGUMBE

    Kubadilishana simu.ascend y300

    Vp unaweza kuifrash na ikawork fresh!?????
  14. CHINGUMBE

    Natafuta sim

    kuna nokia lumia 510 lete 150k
  15. CHINGUMBE

    Nawapenda sana wanake wa Kinyakyusa

    duh!!!! no comment!!!
  16. CHINGUMBE

    msaada wa internet setup ya airtel

    Wanajamvi naomba msaada jinsi ya kuset internet ya airtel kwenye simu ya nokia asha 210
  17. CHINGUMBE

    Anayeichafua TAHLISO huyu hapa

    Joni wako anakazi sana kama baba yake hajui matumizi ya r na l,je joni si ndio hajui kusoma na kuandika na ndio anamaliza darasa la saba hivyo. Arikuwa,lais,rake kaz unayo na mwalimu wako wa kiswahili.
  18. CHINGUMBE

    Makinda: Mishahara ya wabunge ni midogo, wanakuwa hoi wakimaliza ubunge

    Namfikiria mwalimu wangu sijui na yeye ataongezewa manake kila tukikutana nahisi ndo anazidi kichoka duuu.!!! Mama makinda weee ila Mungu hapendi!!!!
  19. CHINGUMBE

    Jamani msaada

    Tafsiri wewe basi kama mwenzio kakosea na kwann uwe na lugha ya ukali hvyo.???????
Back
Top Bottom