Search results

  1. Hess

    Familia ya Gwajima imemkosea Waziri wa Afya, kiungwana wamtafute wamuombe radhi

    Ungeandika kwa kiswahili andiko hili lingekuwa bora sana
  2. Hess

    #COVID19 Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

    Huyu kibwetele hayumbi nini... huyu si alikuwa anafufua misukule huyu
  3. Hess

    Cuthbert Swai ndani ya mtego wa Lema na Mbowe

    Sabaya unaandika ndefuuuuu haiishi
  4. Hess

    Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

    Nchi sasa ndo inasimama... huyo ulomtaja mwache apumzike aliko. Alituharibia nchi mno
  5. Hess

    Unazitukana hospitali za Magufuli halafu ukiumwa unakimbilia hapo hapo?

    Alitoa hela yake chato kuzijenga?
  6. Hess

    Rais Samia ataenda tena kujitambulisha wapi? Sijasikia akizindua hata mradi mmoja

    Mnalinda LEGACY eeeh? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  7. Hess

    Siku 52: Tanzania bila Magufuli

    Unalinda legacy sio?
  8. Hess

    Baada ya kuwamaliza wapinzani, sasa ni rasmi wasomi wanachelewesha maendeleo

    Sent from your Tecno-N2 That's good
  9. Hess

    Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nitagombea Urais Upinzani ukinipa ridhaa

    Ulitaka afanyeje? Hopeless commentator
  10. Hess

    Rwanda yafanikiwa kupata bandari kavu Kenya

    Wewe jamaa unawaza kimataga sana. Naivasha Kigali 900+ km. Dsm Kigali 1400+ then unaleta porojo za gharama. Afu unasema kwa meli shusha pandisha unasema gharama lakini unatoa option ya Mwanza then meli. Mwanza shusha pakia haipo? Reli umeme haina ghsrama? Mataga mnawaza kimatako sana Sent...
  11. Hess

    Tuliokuamini na kukutetea kwenye janga la Corona umetuangusha. Nimepoteza rafiki na ndugu kwa janga la Corona. Serikali chukueni hatua

    Sijui hata kama umeelewa alichoandika barafu. Umetoka mbio kutetea upuuzi kwa jina la lockdown. Umekaririshwa na wewe ukakariri lockdown. Barafu anaongelea ukosefu wa protective gears (PPE) kwa wahudumu unaopelekea nao waambukizwe au wawakwepe wagonjwa. Anaongelea udhaifu wa vituo...
  12. Hess

    Hivi yuko wapi Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Bashiru Ali wakati huu wa mapambano dhidi ya #COVID19?

    Nimeona mjadala kuhusu wapi aliko Rais. Makamu wa Rais, Zanzibar na kabla ya juzi Waziri Mkuu Watu wanahoji kama viongozi hawa ni busara kuikimbia Ikulu kipindi hiki. Nipanue mjadala nami nihoji aliko Katibu Mkuu wa CCM, Makamu Mwenyekiti tuliambiwa mgonjwa, sawa. Yuko wapi Katibu wa Itikadi...
  13. Hess

    Tanzania yaitwa Rot!, Wapinzani Wahongwa Milioni 60! Zitto Tishio kwa JPM, Wasomi Wetu Waitwa "Sycophantic Academics"!, is This True?, Is it Fair?.

    Paskali ni kipaza sauti cha ukweli wa the economics. Unajidai uko upande wa serikali lakini unasapoti kilichoandikwa kwa style fulani hivi. aibu yako ni kujificha kwenye mabawa ya serikali unasema uongo wa economics na ukishauri wachukuliwe hatua eti kwa nini wanaogopwa. Mwandishi wa habari wa...
  14. Hess

    Zacharia Hanspope ni nani?

    Ni yeye
  15. Hess

    Zacharia Hanspope ni nani?

    Tafuta kitabu kinaitwa Kesi ya Uhaini simkumbuki mwandishi
  16. Hess

    Aina 8 za wanaume hatari

    Zero brain wana combination ya tabia tajwa zote
Back
Top Bottom