Kaka asante, naendelea na kazi. Maana nimesikia hii habari online Clouds wakati niko kwenye train nikata kushuka nirudi nyumbani nikalale. Asante kwa taarifa. Mwaka huu, watagawana mbao
Ripoti ya time ya mwakyembe kuhusiana Na mchakato wa kampuni ya Richmond ndiyo ilipelekea Mzee lowasa kupewa aka ya fisadi. Kuna madai kwamba Kuna vitu havikusomwa siku Ile Dodoma hili kuficha aibu kwa serikali. Lakini pia,ripoti ilionyesha uhusika wa Mzee lowasa kwenye hili suala...
Kupata majibu sahihi ya Hilo suala. Aliye Na ripoti ya tume ya mwakyembe atuwekee hapa,hili tusome yale ambayo hayakusomwa siku Ile dodoma. Hii itasaidia kila moja kujiridhisha Na ukweli wa mambo ulivyokuwa.
I confer you my Ph.D, nimekuwa nikifikiri hivi toka tetesi za Mzee Ngoyai kuhamia CDM/UKAWA. Hili kuweka hesabu vizuri Na kuwapa chenga ya mwili CCM,kwa kuwaaminisha kwamba mzee leigwanani ndiyo mgombea. Unawapiga goli la tobo,Mzee ngoyai anapanga mashambulizi Na kurusha makombora hatari ambayo...
Bahati mbaya saana nimekulia kitaaluma katika maabara aliyofanyia kazi Watson, Pale Cambridge university Na kuudhuria saana kwenye baa ambayo walikaa Na mwenzie baada ya kukugundia winding structure of DNA. Achana Na hayo. Nauli hii ilimfanya Watson afukuzwe kazi huko marekani. Mawazo haya...
THE BIG SHOW
Mkuu the big show,umoengea kwa hisia kali saana,mpaka machozi yamenitoka. Nimeamua kuchukua emergency leave kutoka shule UK,kuja kujiandisha BVR Na October,nitarudi kwa kazi moja Tu to vote for UKAWa,kwisha. Wakati wa kuanguka mana Na kwale toka mbinguni Ni sasa,Na hautajirudia...
Division five at work. Ukiwa hujui hesabu ni shida saaana mkuu. Viti 99 versus 70, is not statistically significant, the difference is not statistically significant (P-value is >0.05 or >5%). Ndiyo maana wanaCDM wanaandaa ibada. Wakati mwingine kukaa kimya ni vizuri.
Hizi shule za kata ni shida saana ila nashukuru hizi ndizo zinaongeza wanachama na wapenzi wa UKAWA. Ukiwa hujui hesabu uwe unaakaa kimya. Viti 99 versus 70, the difference is not statistically significant, meaning P-value is not less than 5% (0.05). Pole mkuu kama utashindwa kuelewa, I am...
POLISI NA FUVU LA KICHWA CHA BINANDAMU: JE, SIYO FUVU HILI HILI LILITUMIKA PIA KATIKA TUKIO HILI LA 2009
Katikati ya wiki hii ambayo wizara la mambo ya ndani iliwakilisha bajeti yake na jeshi la polisi kujikuta katika lawama kubwa saana ya kubabikiza wananchi kesi, japo ndani ya bunge...
hakika, Mungu amsamehe huyu mama. Nakumbuka wakati wa kujaza form za mikopo pale magomeni alimtandika vibao dada moja alikuwa akisoma UDSM hali ambayo ulizusha mtafaruku mkubwa na wazazi wa yule binti. Ilibidi vijana tuandamane mpaka kwa Makamba Boma hili kupata msaada. Mama alikuwa anatisha ile...
Well said. This is a problem currently disturbing you. The main question you have is "AFTER ONE AND HALF YEAR OF LIVING IN MARRIAGES PLUS SIX YEARS OF PLAYING ON EACH OTHER, NO FRUITS OF THE WOMB HAS BEEN OBSERVED/ YOUR HUSBAND HAVE FAILED TO PRODUCE SPERMATOZOA TO FERTILIZED YOUR OVUM? Somehow...
Kaiza, just to remind you the quotations you have put on your page was not from Msigwa, this was from the great scientist, Albert Austein
" The same way of thinking which have taken you where you are may not take you where you want to go"
Asante
This is the way gentlemen think about and agree on the truth. Big up man for this true colour decision of a gentleman. I have stopped for a minute to write my PhD manuscript to congratulate you for this wise decision. Make her a friend of you too.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.