Search results

  1. Murashani GALACTICO

    Sakata la mchele mbovu kutoka Tanzania, Rwanda

    Wanyarwanda wanapenda mchele asikwambie mtu maana wao kupika ugali ni tizi kubwa kwao. Mchele hupenda kuuita mcheli. Wataagiza kutoka VIETNAM na kwingineko ila DSM port hawaikwepi. Tozo za hapo atakazobambikwa atarudi tuuu kununua mchele wa tz other wise atulize msondo tuuu
  2. Murashani GALACTICO

    Sakata la mchele mbovu kutoka Tanzania, Rwanda

    Kwa ndege au kwa meli?????
  3. Murashani GALACTICO

    Sakata la mchele mbovu kutoka Tanzania, Rwanda

    Watanzania kuna vita kubwa ya kiuchumi ni Rwanda. Take it from me kama PK ataitwaa NORD AND SURD KIVU basi the whole AFRICA itaitegemea RWANDA kwa chakula na Nishati na materials nyingi sana za viwandani. That area is very potential kwa kila kitu.
  4. Murashani GALACTICO

    Serikali kutolipa mishahara watumishi kwa kisingizio cha kutojaza majukumu yao kwenye mfumo wa ESS ni unyang'anyi usiotumia Silaha

    Huu mfumo bado una weakness nyingi. Sijajaza chochote lakini mshahara wangu wa mwezi wa tatu umesha rest in peace tangu jana
  5. Murashani GALACTICO

    Hawa Wayemen, Pakistan na Iraq ni wa Uislam upi? Mbona Dubai na Saudia ni watu poa sana?

    Kuna mwamba tulikuwa nae form 6 PCM yule mwamba alikuwa anataka kwenda YEMEN miaka mingi iliyopita. Nahisi kashajifia huko kwa WAHOUTH
  6. Murashani GALACTICO

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Vin na radrygo wakialternate kushoto kulia kulia kushoto modric akiwa katika master piece yake kupiga long passes japo sina uhakika kama atauweza mziki wa viungo wa cityzens. Ikiwa ivo tumetinga fainali
  7. Murashani GALACTICO

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Cityzenz naona ni toughest opponent wetu kwa sasa. Makosa ya last season tusiyarudie. Tucheze long passes tutamaliza game mapema. Ila tukikosea tukacheza shortpasses tumeisha kama last season.
  8. Murashani GALACTICO

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Nikimcheki pep rotation anayoifanya sio ya kitoto asee kwenye mechi ya ucl jana kipara kafanya rotation ya aina yake aseee
  9. Murashani GALACTICO

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    I watched the game last night aseee kaa hivi ndo tunacheza aseee tlikuwa very weak. Kama vile tulikuwa ugenini. Nilifikiri kwenye robo au nusu fainali tupewe cityzens tumalizane nao ila napata wasi wasi mkubwa. Hapa nimegundua vitu kadhaaa. 1. Spanish la liga tunaitaka sana tena sana. 2. Ucl...
  10. Murashani GALACTICO

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tupo dimban na lp lepzig
  11. Murashani GALACTICO

    Sifa za kuoa au kuolewa

    Nasoma sasa kitabu cha PR. PAUL SEMBA kinaitwa UFUNGUO WA NDOA. Mtunzi wa kitabu anasema kama kijana wa kiume au wa kike hawezi kujihudumia mahitaji yake ya msinginya kila siku yeye mwenyewe basi hatoshi kabisa kuowa wala kuolewa hadi atakapoweza kujihudumia mwenyewe. Kwa paragraph hiii PR PAUL...
  12. Murashani GALACTICO

    Rais Hussein Mwinyi: Mzee alitupa wosia akiwa hai mimi niwe msimamizi wa Familia pamoja na kuwa kuna wakubwa zangu

    Shida ilianza paleeeeee penye kuowa wanawake zaidi ya mmoja. Ukweli ni kwamba hayupo mwanamke anapenda waolewe wawilinau zaidi kwa mwanamme mmoja. Ni basi tuu sheria za kidini au za ki mila ndo zimewabana kama ni mamlaka yao wangefuta iyo sheria.
  13. Murashani GALACTICO

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Naongezea tuu kwamba hata kepa wakati anauzwa toka BILIBAO kwenda CHELSEA ndo nikaona kwamba clubs nyingi za spain hasa giants wengi ni antimadrid. Buyout clause ilifutwa usiku wa manane ili kepa auzwe chelsea asiende madrid.
  14. Murashani GALACTICO

    Rwanda kumleta Gen Patrick Nyamvumba kama balozi Tanzania

    Nawakumbusha tuu DG wa TISS wa sasa amewahi kuwa balozi wa tz huko rwanda licha ya hati zake za utambulisho kukataliwa several times ila mwishowe wakampokea
  15. Murashani GALACTICO

    Rwanda yaandika barua UN kupinga kupelekwa Jeshi la SADC DRC. Yasema sio jeshi la kulinda amani bali kuivamia Rwanda na kuwafuta Watutsi wa Congo

    Tshekedi na pk watakaa meza ya mazungumzo soon. No one lives longer when sits for resolutions with pk
  16. Murashani GALACTICO

    Rwanda yaandika barua UN kupinga kupelekwa Jeshi la SADC DRC. Yasema sio jeshi la kulinda amani bali kuivamia Rwanda na kuwafuta Watutsi wa Congo

    Unauhakika kule msumbiji yupo peke yake????? Take it from me. I went there several times. Rdf kule msumbiji eneo la waasi kapewa kufanya majukumu ya kipolisi tuu. Mengine ni kujioosha tuu mitandaoni
  17. Murashani GALACTICO

    Rwanda yaandika barua UN kupinga kupelekwa Jeshi la SADC DRC. Yasema sio jeshi la kulinda amani bali kuivamia Rwanda na kuwafuta Watutsi wa Congo

    Ikiwa Congo Dr itamegwa na Kivu ikajitenga basi ushawishi kijeshi na kiuchumi wa Tanzania hapa East Africa utapungua kama sio kuisha kabisa. Natamani kumwona Samia ana declare FULL SCALE war na mamluki wa RDF waliopo Congo DR.
  18. Murashani GALACTICO

    M23 Washambulia tena Mji wa Sake

    Hii haiwezekani kabisa. Hata PK jeshi lake top officers wahutu ni wachache mno. Na siku zijazo hata junior staffs jeshini kutakosekana mhutu hata mmoja. Mark my words. Kuruhusu banyamulenge kwenye jeshi la FARDC ni sawa na kumruhusu KINANA kuwa KATIBU MKUU CHADEMA
  19. Murashani GALACTICO

    M23 Washambulia tena Mji wa Sake

    Pk akidondoshwa CONGO DR itapata kutulia. Shida sio WATUTSI kwa sababu hata BURUNDI watutsi wapo na kwa kiasi fulani amani ipo. Japo watutsi wana kasumba zao za kujiona wao ni wateule kuliko wengine. Nimeishi nao hawa jamaa wana kakujisikia mno. Hilo nalo ni tatizo.
Back
Top Bottom