Search results

  1. D

    Sijaelewa: Jaji amethibitisha kuwa CHADEMA ilitoa wapiga kura Kenya?

    kama walipora hayo maboksi, msimamizi wa uchaguzi alitakiwa afungue kesi ya jinai, lakini kama msimamizi aliomba msaada kwa vile hakuwa na usafiri mwingine, basi mwenyekiti wa tume ya uchaguzi alipaswa awajibishwe kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa weledi (JIPU)
  2. D

    Gazeti la UK laweka hadharani jitihada za Pinda kukwamisha mjadala wa ESCROW

    Jamani!!! na wewe una mgawo wa escrow nini? Mbona hela ya rada ilirudisha kwa jina la chenchi ya rada? na mlizitumia kununulia vitabu?
  3. D

    Donors now confirm withhold of Sh. 1tr Aid over the IPTL Scandal

    Nakuunga mkono ndugu, sisi sio wa kuomba msaada, kwa hali tuliyonayo sisi ni watu wa kusaidia wasiojiweza. hebu angalia, tunayo ardhi nzuri kwa kilimo cha kila zao, Madini ya aina karibu zote yanapatikana Tanzania, Misitu ya mbao na mazao mengine, Mito na vianzo vingine vya maji, Mifugo wa kila...
  4. D

    Wazee Zanzibar tunamtaka Mbowe

    Napita tu!
  5. D

    Naamini maneno ya mh. Lowassa, CHADEMA Arusha itabaki historia

    Vyombo vya dola vinahujumu uchumi na kumsingizia mtu, Lema sio mkuu wa mkoa, wala sio waziri wa biashara wala sio Mkurugenzi wa jiji. Hizi hujuma zanajulikalikana sana na watu wanakubali kujitolea hadi tone la mwisho.
  6. D

    Huyu wa sasa ndio Rais wa mwisho kutawala Bongo kutoka CCM

    Haya maneno yako hayana msingi wa kuyafanya yakubalike katika jamii. Maneno mengine uliyotumia hapa ni kama uchonganishi, Huyo mtu unaemwita EL umemweka katika mazingira mabaya sana, nahofia hata usalama wake. Jinsi ulivyolitumia jina lake inaelekea humtakii mema.
  7. D

    Serikali mbili sasa ni kama kawa

    Hii katiba itakuwa ya Tanganyika, Mzanzibari hataweza kuwa rais kwa mujibu wa katiba inayopendekezwa.
  8. D

    Kauli za Jaji Warioba kuhusu Muundo wa Serikali zimeanza kubadilika kama hoja za UKAWA

    zanzibar ni nchi, na inayo serikali yake, jamhuri ya muungano wa tanzania ni muungano wa nchi zipi.
  9. D

    Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

    Stephane Masatu Wasira wa Bunda, Esta Bulaya amemkalia kooni vibaya, CCM wakilazimisha kumpitisha kwenye kura za maoni basi CHADEMA watashinda. Gregory George Teu wa Mpwapwa, wananchi wake bado wanasubiri barabara ya lami, Jimbo hili haliwezi kuchukuliwa na upinzani kwa miaka 15 ijayo. George...
  10. D

    ACT yakataliwa Mbeya

    Nawashauri hicho chama kinachoitwa ACT Tanzania kingeanzia Unguja, kule hakuna upinzani wa kutosha.
  11. D

    Wanachama wa CHADEMA wafunga ofisi za CCM kata ya Bashnet Mbulu

    Hakuna asieijua, hata waheshimiwa, niliwahi kumsikia Mh Lukuvi akisema "tukianza kunyosheana vidole kuhusu madawa ya kulevya, hakuna atakayesalimika humu ndani". Ndani alimaanisha bungeni. Siku nyingine nilimsikia naibu spika Mh Job Ndugai akiwalalamikia wabunge kunusa na kulamba kitu fulani...
  12. D

    Ndoa Kati ya UKAWA na Tume ya Warioba Kufungwa Rasmi kesho Agosti 12, Buguruni

    Mwenye macho haambiwi tazama, pia walisema watu lisemwalo kama halipo laja.
  13. D

    Ndoa Kati ya UKAWA na Tume ya Warioba Kufungwa Rasmi kesho Agosti 12, Buguruni

    Kwa uzi huu namkumbuka Dr Senkondo Mvungi, "Mungu amlaze mahali pema peponi"
  14. D

    Imedhihiri: Tundu Lissu ni Adui Mkubwa wa CHADEMA

    wewe unataka wanachadema waamini fitina zako ili wamfukuze huyo muhimili wao mkuu halafu muweze kupeta. kumbuka maneno ya mwenyekiti wenu "Ni bora slaa aingie ikulu kuliko Lisu kuingia bungeni" wamekustukia, sio bure kuna jambo.
  15. D

    John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

    Chama atakachohamia kijiandalie mazishi chenyewe.
  16. D

    Ni hatari, Waziri jangili huyu hapa

    kama hii habari ni ya kweli basi wiki ijayo litakuwa limeshafungiwa kwa muda usiojulikana
  17. D

    John Magufuli: Wakataeni wanasiasa wa kauli za mpaka kieleweke vinginevyo damu itamwagika

    Siasa ni kamchezo ka ajabu sana, akija lipumba anagawa kadi kama kawaida, akija slaa anagawa kadi, akija mbatia vivyohivyo, watu ni wale wale. ingetokea siku ukawakagua ungekuta kila mmoja ana kadi zaidi ya moja.Yote hii inawezekana ni njaa au hawaelewi wanalolifanya.
  18. D

    Salamu kwa CCM kutoka kwa wasomi wa UDOM

    unaidhalilisha serikali
  19. D

    CCM yameguka

    Pamoja na kumsifia angalia vizuri utaifa wake, anaweza kuhamia popote baada ya kutimiza lengo lake na kuiacha tz kama toilet paper.
  20. D

    Ni Yupi huyu CHADEMA mwenye cheti feki?

    Kuwa na mbunge wa CHADEMA mwenye cheti feki cha kidato cha nne haihalalishi matumizi ya vyeti feki Tanzania. haya ni majibu mepesi kwa maswali ya kawaida, pia ni dalili za serikali kushindwa kutimiza wajibu wake wa kisheria, kwa hiyo hapa waziri anakiri kuwa serikali anayoitumikia imechoka sana...
Back
Top Bottom