Kaka Nyalotsi,
Mbali na kumjua Dr Kigwangalla kama mwanaCCM na 'mfia chama' kuna namna nyingine yoyote ile unayomjua?
Kama haumjui vizuri naomba nikuambie kuwa Dr Kigwangalla ni mtu wa aina gani:
1. Ni msomi mwenye elimu ya digrii nne, na zote kali tu. Amesoma PhD kwenye mambo ya Afya ya...
Mkuu Peter Dafi,
La shule hatuna shaka nalo, la uwezo hatuna shaka nalo.
Kwa kigezo cha shule tu, Dr Kigwangalla anawaacha mbali masuper-star vijana wenzake kwenye siasa za CCM.
Uzoefu ungeweza kumwangusha, kama mamlaka ya uteuzi itahitaji mtu wa aina hiyo, maana yeye amekuwa Mwenyekiti wa...
Ni ngumu sana kudhani kuwa kutakuwa na kampeni ambazo upande mmoja hauzitumii ipasavyo weaknesses za upande wa pili. Maana hiyo ndiyo essence ya kampeni haswa - kuuza sera zako nzuri na kumbomoa adui kwa kuonyesha namna ambavyo hawezi kutengeneza mikakati mizuri ya kuwaletea maendeleo ama kuisimamia
Mkuu zungu pule, nimevutiwa na mchango wako na aidi na slogan yako uliyoweka kama nukuu ya Obama kule chini...nadhani ndiyo jibu la mheshimiwa kama atarudi tena kukusoma na kukujibu
Mtu yeyote yule mwenye uwezo wa kuchambua mambo anafaa kuwa waziri mkuu, na siyo lazima awe mwanasheria, maana kuna ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali ina jukumu la kumsaidia kama kuna issues za kisheria za kushughulikia.
Mtu mchambuzi na mwenye uwezo wa juu wa kujenga hoja na uthubutu...
Mukulu anapenda kufanya kazi na watu wenye umri wa chini yake, hivyo usishangae kati ya hawa mayoung stars wa siasa za CCM wa sasa, yaani akina Mwigulu, Kigwangalla na Makamba, mmoja wao akawa Waziri Mkuu wa Tanzania ya Magufuli!
Dr. Hamis Kigwangalla for Prime Minister
Kwanza nikiri kusema kuwa siku zote nimekuwa mshabiki wa Dr Kigwangalla. Nina sababu.
Huyu kijana haeleweki kwenye macho ya watu wanaomuangalia juu juu na kwa haraka kwa sababu anafanya mambo yake kwa hekima, busara na weledi wa hali ya juu, kwa hakika...
Kwa mujibu wa taarifa za timu yake ya kampeni inayojiita 'Citizens For Kigwangalla', Hamis Kigwangalla amezunguka mikoa 20 na amepata wadhamini 41,389, japokuwa amewasilisha fomu yake ikiwa na wadhamini 45 kwa kila mkoa, hivyo jumla amewasilisha fomu ikiwa na wadhamini 900.
Kama watu wasomi...
Kwa jinsi nilivyotazama mdahalo wa jana:
1. Januari makamba ni mtu mwenye dharau sana
2. mwigulu nchemba ana calibre ya kuwa waziri - urais bado, kuna mambo mengi ana changanya changanya
3. hamis kigwangalla ana akili nyingi sana - urais bado sana, hajawa maarufu na haeleweki haraka haraka...
Urais 2015: Nimjuavyo Dk Hamisi Kigwangalla na Uchambuzi Hafifu wa Julius Mtatiro
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi. CCM ni chama chenye nafasi kubwa kwenye kutoa viongozi wengi zaidi kuliko chama kingine chochote. Kwenye nafasi ya Urais, ni wazi kabisa vyama vyote vinajua haviko tayari...
ndg Mchambuzi, umenukuliwa na Kigwangalla kwenye kitabu chake. Kuna mahala anaelezea mabadiliko kutokea ndani na kundi lingine la watu likipigia chapuo kuhusu mabadiliko kutokea nje ya mfumo. Na hapo ameitaja Jamii Forums na baadhi ya wachangiaji mahiri kama Mchambuzi. Jipatie nakala yako usome...
Siku za hivi karibuni tumeshuhudia aina mpya ya wanasiasa wanaofanya siasa ya kutazama mbali. Tumeshuhudia January Makamba akitoa kitabu chake, mara Zitto Kabwe na sasa Kitabu kipya kutoka kwa wanasiasa kimetungwa na kuchapishwa na Dr. Hamisi Kigwangalla, ambaye ni Mbunge wa Nzega na Mwenyekiti...
Hotuba aliyoitoa jana mwenyekiti wa kamati ya TAMISEMI hapa mjini Dodoma imefunika Bunge kumfanya Kigwangalla awe shujaa wa wakati mpaka sasa hakuna aliyemfikia.
Ameweza kukonga nyoyo za watu sana haswa pale alipozungumzia kubana matumizi kwa kutaka serikali ipunguzwe saizi.
Na pale...
Leo kawenye kikao cha kamati ya TAMISEMI, mh Kigwangalla, ambaye ni mwenyekiti wa kamati hiyo ameng'aka alipokuwa akihoji kwa nini BRT haianzi kazi wakati kamati iliagiza miezi sita iliyopita kuwa mchakato wa kuwapata waendeshaji wazawa kwa ajili ya interim service uanze haraka ili kufikia mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.