Search results

  1. mpingauonevu

    Kwaheri Tulia, karibu sana Sugu jimboni Mbeya

    https://datebest.net - visit website and win smartphone!
  2. mpingauonevu

    Kitambue chombo VOYAGER 1

    UKIFUATILIA HUU UZI UTAGUNDUA WALIOFUATA VYETI CHUONI ILI WAPATE AJIRA NI WABISHI TU. SIKUSUDII KUMPINGA YEYOTE BALI NAKUSUDIA KUWAKUMBUSHA WALE WANAOKASHIFU BILA KUTAFUTA MANTIKI HIYO SIO ELIMU. ELIMU NI KUKITIA CHANGAMOTO KILE ULICHOAMINI UNAKIJUA. NJE YA MFUMO WA ELIMU KUNA CONCIPIRACY...
  3. mpingauonevu

    Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

    KUNA VITOTO VIJINGA SANA HUMU. SASA ALIYEKUWA VITANI ANAELEZA HALAFU KITOTO KILICHOVAA PAMPASI KINAJIFANYA KIJUAJI. HALAFU VITOTO VYA KIUME VISHOGA NDIO VINADAI VITA HAIKUWA NA UMUHIMU. UNAJUA HAVIJAWAHI KUCHUKULIWA DEMU. MWANAUME ALIYEPORWA DEMU WAKE NDIYE ANAJUA UMUHIMU WA KUMPAMBANIA. SASA...
  4. mpingauonevu

    Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Kaka achana na huyu bwege. Huyu ndio vile vi-Tiss huwa vinajitangaza mitaani kumbe Ni vitaahira tu. Kimsingi hajui anachokupinga ila anatafuta Kiki lakini kumbe Ana ji-expose alivyo mweupe kichwani. Bro I know it takes a hell of brain and resources kutuandalia hizi Makala Tena for free. Just...
  5. mpingauonevu

    Kama si ujio wa wakoloni, uzao wa watu weusi ungekuwa ushafutika duniani (wiped out/ gone extinct)

    Tuko tayari kuanzisha Elimu yetu? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mpingauonevu

    Kama si ujio wa wakoloni, uzao wa watu weusi ungekuwa ushafutika duniani (wiped out/ gone extinct)

    Kwa Nini tulikubali kuwa watumwa? Kwa Nini tulikubali viwanda vyetu vifungwe? Kwa Nini tulikubali???? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mpingauonevu

    Kama si ujio wa wakoloni, uzao wa watu weusi ungekuwa ushafutika duniani (wiped out/ gone extinct)

    Nadhani Kuna mijadala tusiukwepe Kama great thinkers. 1. Muandishi amekosea kusema tungekuwa wiped kabisa. Kuua race fulani sio rahisi. 2. Kukua kwa Nguvu (empire) Ni utashi ambao unasukumwa na hamu ya maendeleo ambayo sisi weusi hatuna 3. Historia ya ZAMANI ya Africa inabeba sehemu ndogo ya...
  8. mpingauonevu

    Je, huu ni ukweli uliofichwa kwa miaka mingi?

    Kuna mambo mengi hatuyajui. Hata ukifuatilia science imejaa codes kibao. Life is about codes. Njia pekee isiyo na codes ni kuacha dhambi. Kuishi kwa upendo na Amani. Muandishi ukisema dhambi ni Nyoka kumuwema amber rutty Eva utakosea sana. 1. Mungu hakuzuia Adamu asigonge utamu. Sasa kama Bible...
  9. mpingauonevu

    Peter zacharia.... Who is he in and out?

    Nilifika Bukoba nikaambiwasukari yote ya huko anaimiliki yeye. Kifupi anaweza kununua sukari yote kabla haijazalishwa. Anauwezo wa kuihold kiwandani na akatumia advantage ya scarce kuimport kwa kuwa tena yeye ndiye importer MKUBWA zaidi. Take it positively nawewe utafanikiwa.
  10. mpingauonevu

    Utupu wa William Malecela: Je, tunaweza kuwaza tofauti?

    Hilo lijinga huwa linatuaibisha sana tutokao Dodoma. Lina mambo ya kitoto sana.
  11. mpingauonevu

    Kufungua TV station

    Wakuu Habari. Najua huku kuna ma-expert wengi. Nataka kufungua TV station. 1. Nahitaji vifaa gani? 2. Gharama yake ikoje? 3. Kujiunga kwenye makampuni e.g Star times gharama zikoje? 4. Je? Nikitaka Mimi niwe free yaani hata kama mteja hajalipa nionekane utaratibu ukoje? 5. Kurusha kwenye...
  12. mpingauonevu

    Movie za intelligensia

    DESPARADO! Mpaka sasa nimeangalia Mara 20
  13. mpingauonevu

    Kwa watumiaji wa fl studio

    Nenda "thepiratebay.org ndiko chimbo kuu. Huko utapata na zaidi. Ni vema machine yako iwe na utorrent nenda Google no free. Torrent sites ndiko utapata kwingine ni matangazo tu. Torrent site ingine kuu ni "kikass"
  14. mpingauonevu

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Mpaka anafariki nadhani alikuwa MWENYEKITI wa Tanzania Chamber of Commerce
  15. mpingauonevu

    Zifahamu dalili 10 za mwanamke aliyetoka kufanya mapenzi kama ni mkeo

    Huyo mwanamke bwege. Hata Uniyeandika uzi balehe za mwanzo hizo. Vitoto visivyojitambua ndivyo utavikamata. Mwanamke rijali humkamati kiivyo
  16. mpingauonevu

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Thanx mkuu kutukumbuka
  17. mpingauonevu

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Dah! Hii ajali imekuwa mbaya kabisa. Waandishi wawili wa kujitolea kwa wakati mmoja kukosekana? Hii ni sabotage[emoji23][emoji23]. Kuna watu hawapendi tufurahi[emoji22][emoji22][emoji22]. Mungu wajalie Neema yako hawa binadamu wako. Japo wanajitolea, kwa unyenyekevu wamalizie tu kurasa...
  18. mpingauonevu

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    No, kwa mfano vitabu vyote vinaeleza kwamba willy Gamba ni mpelelezi maarufu sana kwa kiwango ambacho wananchi wanajivunia. Ila tu, hawamjui huyo willy Gamba ni yupi. The same to Joram Kiango. Siamini wala sijawahi kusikia famous Agents wa CIA, BOSS, KGB, MOSAD nje ya wadau wa mambo hayo.
  19. mpingauonevu

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Kuna uongo wa A.E. Musiba na Ben Mtobwa huwa siukubali. Tokea nizaliwe sijawahi kusikia MTU wa usalama ni maarufu. Sijui walitoa wapi hiyo idea ya kuwafanya wapelezi ni vipenzi vya jamii wakati kimsingi hata hatuijui TISS
Back
Top Bottom